SHISHI BABY BARNABA MAHABA TENA?
Stori: Musa Mateja WASANII waliowahi kuogelea katika dimbwi zito la mahaba kisha kumwagana, Zuwena Mohamed ‘Shishi Baby’ na Elias Barnaba ‘Barnaba Boy’, wamezua maswali mapya kwa mashabiki na kuleta tafsiri kuwa huenda wamerudiana. Mastaa wa Bongo Fleva Zuwena Mohamed ‘Shishi Baby’ na Elias Barnaba ‘Barnaba Boy’ beneti. Tukio la wawili hao kugandana kama zamani lilijitokeza...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
TheCitizen07 Aug
What next for shishi baby?
10 years ago
VijimamboSHILOLE SHISHI BABY ALIPOFANYA KWELI UBELGIJI
Wachaa weeee Msanii Shilole akipata kumbukumbu ya picha Shilole akiwa na Balozi wa Madagasca nchini Belgium
kwa picha zaidi bofya soma zaidiDada Rose akiwa na Shilole Shilole aliombwa saini na balozi wa Madagasca[Mnyamwezi umetishaaaaa] wakakutangazeeee
New artist Max at workDili ikienda sawa Shilole kula...
10 years ago
Mwananchi06 Sep
Shishi Baby: Muziki kwanza, Filamu baadaye
10 years ago
Dewji Blog24 Nov
Shilole Shishi Baby atua Ubelgiji kwa kishindo…Ijumaa atafanya show Leuven na Jumamosi Brussel
Furaha ilishika nafasi pale mwanadada Shilole alipowasili uwanja wa kimataifa wa ndege wa Zaventem jijini Brussel.
Msanii Shilole akiwa na furaha baada ya kupokelewa na wenyeji wake uwanja wa ndege wa kimataifa wa Zaventem jijini Brussel. The Big Boss Mohammed akiwa na msanii Shilole muda mfupi tu baada ya kuwasili uwanjani BrusselMsanii Shishi Baby Shilole akipata picha na mmoja wa sapota wake bidada Latifa
Chantel akiwa na msanii Shilole baby Shilole akipata picha na mmoja wa...
10 years ago
Bongo Movies02 May
Mahaba Niue, Adui Kuwa ‘Baby’!!
Ilianza kama utani lakini siku zilivyosonga ndivyo uhusiano wao ulivyowekwa wazi, hao ni watu wawili waliowahi kuwa maadui wakubwa miaka kadhaa nyuma.
Hapo nawazungumzia staa wa filamu Shamsa Ford na msanii wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ambao kwa sasa wamezama kwenye mahaba niue.
Awali, wahusika wote walitumia nguvu kubwa kukanusha juu ya uhusiano wao lakini inatajwa kuwa mahaba yao ndiyo gumzo kuliko ya wengine wote katika Bongo Muvi na yanashika nafasi ya pili katika...
11 years ago
GPL10 Mar
GLOBAL TV ONLINE; MTU KATI NA SHILOLE 'SHISHI BABY'
10 years ago
Bongo Movies10 May
Ukistaajabu Ile Tattoo ‘Shishi baby’ kwa Mziwanda Jionee Hii ya ‘Irene Uwoya’ kwa Vjaymapenzi!
Katika hali ya kuonyesha hisia zake kwa staa wa bongo movies, Irene Uwoya kijana anayejiita Vjaymapenzi amejichora tattoo yenye jina la staa huyo mkononi na kufunguka haya mtandaoni.
“Itatokea kwa iman yenye uvumilivu wa wazi maana unaeza jizuia kwenda haja lakini sio kujizuia kumpenda mtu alitunukiwa ndani ya moyo wako na nafsi ikamkubali...ni rahisi sana kuwa tayara kwa lolote sababu chaguo la moyo ni chaguo la furaha na faraja ya maisha...kumpenda Irene Uwoya ni ugonjwa wangu na sijui...
10 years ago
GPLMAHABA NIGARAGAZE, ADUI AWE ‘BABY’ WANGU