Muziki wa Hip Hop miaka 40 baadaye
Mchipuko, wasanii na historia ya miaka arobaini ya muziki wa Hip Hop. Nini kimebadilika?
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo528 Sep
Muziki wa Hip Hop haupo kibiashara — Young Dee
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-QlkfBN0BMVg/VfpRVYi2U5I/AAAAAAAD7rs/sPyS4TmvR2U/s72-c/Bongo-Flava-Logo%2B%25283%2529.jpg)
SWAHILI HIP HOP KILA SIKU YA JUMAMOSI 10AM ET, KUONGEA LIVE NA WASANII MBALIMBALI WA SWAHILI HIP HOP
![](http://3.bp.blogspot.com/-QlkfBN0BMVg/VfpRVYi2U5I/AAAAAAAD7rs/sPyS4TmvR2U/s400/Bongo-Flava-Logo%2B%25283%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-0B_Dy7O2VNE/VfpRVpp2OSI/AAAAAAAD7rw/II801JgrByg/s400/Bongo-Flava-Logo%2B%25282%2529.jpg)
9 years ago
Bongo521 Dec
Ali Choki asema muziki anaopenda zaidi kusikiliza ni Hip Hop
![choki](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/choki-300x194.jpg)
Muimbaji wa muziki wa dansi nchini, Ali Choki a.k.a mzee wa farasi ameweka wazi kuwa katika maisha yake ya kila siku anapenda zaidi kusikiliza muziki wa Hiphop kuliko aina yoyote nyingine ya muziki.
Ali Choki alisema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Weekend Breakfast ya East Africa Radio siku ya Jumapili, Choki amedai hata siri kubwa ya uandishi wake pamoja na visa anavyokuwa anaimba vinatokana na kusikiliza sana muziki wa Hip Hop hasa zaidi kwa rappers kutoka nje.
“Unajua kitu ambacho...
10 years ago
CloudsFM19 Nov
BANANA ZORO: YUPO KATIKA MAFUNZO YA KUFANYA MUZIKI WA HIP HOP
Msanii wa Bongo Fleva,Banana zoro baada ya kufanya miziki ya aina nyingi kuanzia Rnb, Zouk, Afro Pop, Rock na mengineyo kwa zaidi ya miaka 10 aliyotumikia kwenye muziki wa Bongo flava, sasa hivi ameingia darasani kufundishwa jinsi ya kurap na kufanya muziki wa Hiphop, na mwalimu wake ni Mwana fa.
‘’Nimefanya miziki ya aina nyingi kwenye Bongo Fleva,na sasa nimeingia darasani kufanya hip hop na mwalimu wangu Mwana FA kwahiyo mashabiki wangu wasubirie tu,’’alisema Banana...
11 years ago
Mwananchi01 Mar
Banza Stone: Alianza muziki kwa kuwa mwana Hip Hop 1989
11 years ago
GPLFID Q NAYE NDANI YA GLOBAL TV ONLINE, AFUNGUKA KUHUSU TUZO ZA KILI NA MUZIKI WA HIP HOP
9 years ago
Mtanzania21 Oct
Chemical: Hip hop si ya wanaume tu
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MSANII wa muziki wa hip hop nchini, Claudia Lubao ‘Chemical’, amewataka wasanii wa kike wafanye vitu vinavyoonekana vigumu kufanywa na wanawake ili wadhihirishie umma sera ya haki sawa kwa wote.
Chemical alisema mabinti wengi wanahofu ya kufanya aina hiyo ya muziki kwa sababu inaeleweka kuwa muziki ni kwa ajili ya wanaume pekee kitu ambacho si sahihi.
“Kikubwa ni kuthubutu na kufanya kile tunachokipenda bila kujali kitapokelewa kwa mtazamo gani kama mimi nafurahi kuwa...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-BFNK9EkP88E/UxSEP9xwvMI/AAAAAAAFQzo/_3AkVYq_c98/s72-c/Haki+Cover.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima04 Apr
Vichwa vinavyoibeba Hip Hop
MUZIKI wa Tanzania hususan wa kizazi kipya ‘Bongofleva’ unazidi kupasua anga kila kukicha kutokana na sababu kadha wa kadha, hivyo kukubalika kwa wengi. Awali wakati vijana wa miaka 90 walipoanza...