Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muziki wa Hip Hop haupo kibiashara — Young Dee

Rapper Young Dee amesema muziki wa Hip Hop haupo kibiashara na kwamba wasanii wanaofanya muziki huo wanafanya kwaajili ya passion tu. Akizungumza jana na E-Newz ya EATV, Young Dee alisema kama msanii wa Hip Hop anataka kufanya biashara ni muhimu atoe nyimbo mara kwa mara. “Kwa upande wangu mimi hapa haijakaa kibiashara sana kihivyo,” alisema. […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Muziki wa Hip Hop miaka 40 baadaye

Mchipuko, wasanii na historia ya miaka arobaini ya muziki wa Hip Hop. Nini kimebadilika?

 

10 years ago

Vijimambo

SWAHILI HIP HOP KILA SIKU YA JUMAMOSI 10AM ET, KUONGEA LIVE NA WASANII MBALIMBALI WA SWAHILI HIP HOP

Kilimanjaro Studio sasa inakuletea kipindi cha muziki wa kizazi kipya kila siku ya Jumamosi saa 4 asubuhi kwa saa za Amerika ya mashariki Mtayarishaji na mtangazaji wa kipindi ni Buheti AbdulrahmanKipindi hiki kitakuwezesha kujua mambo yaliyojiri kila wiki kuhusiana na muziki na wanamuziki wa Bongo Flava na nafasi pekee ya kuweza kuburudika na muziki wa Bongo Flava huku ukipata historia ya wanamuziki hao.Ni kila Jumamosi ndani ya Kilimanjaro Studio kupitia www.vijimamboradio.com, au...

 

9 years ago

Bongo5

Ali Choki asema muziki anaopenda zaidi kusikiliza ni Hip Hop

choki

Muimbaji wa muziki wa dansi nchini, Ali Choki a.k.a mzee wa farasi ameweka wazi kuwa katika maisha yake ya kila siku anapenda zaidi kusikiliza muziki wa Hiphop kuliko aina yoyote nyingine ya muziki.

Choki

Ali Choki alisema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Weekend Breakfast ya East Africa Radio siku ya Jumapili, Choki amedai hata siri kubwa ya uandishi wake pamoja na visa anavyokuwa anaimba vinatokana na kusikiliza sana muziki wa Hip Hop hasa zaidi kwa rappers kutoka nje.

“Unajua kitu ambacho...

 

10 years ago

CloudsFM

BANANA ZORO: YUPO KATIKA MAFUNZO YA KUFANYA MUZIKI WA HIP HOP

Msanii wa Bongo Fleva,Banana zoro baada ya kufanya miziki ya aina nyingi kuanzia Rnb, Zouk, Afro Pop, Rock na mengineyo kwa zaidi ya miaka 10 aliyotumikia kwenye muziki wa Bongo flava, sasa hivi ameingia darasani kufundishwa jinsi ya kurap na kufanya muziki wa Hiphop, na mwalimu wake ni Mwana fa.‘’Nimefanya miziki ya aina nyingi kwenye Bongo Fleva,na sasa nimeingia darasani kufanya hip hop na mwalimu wangu Mwana FA kwahiyo mashabiki wangu wasubirie tu,’’alisema Banana...

 

11 years ago

Mwananchi

Banza Stone: Alianza muziki kwa kuwa mwana Hip Hop 1989

>Kati ya mambo ambayo huenda ulikuwa huyajui, ni kuhusu mwanamuziki wa dansi nchini Ramadhani Masanja, ‘Banza Stone’, mmoja kati ya wanamuziki wa dansi wa kizazi kipya wanaosisimua jukwaani kuwa aliwahi kuwa mwana Hip Hop.

 

11 years ago

GPL

FID Q NAYE NDANI YA GLOBAL TV ONLINE, AFUNGUKA KUHUSU TUZO ZA KILI NA MUZIKI WA HIP HOP

Rapper Farid Kubanda a.k.a Fid Q akipozi na baadhi ya wafanyakazi wa Global Publishers Ltd. Fid Q akiwa na waandishi wa Championi, Sweetbert Lukonge (kulia) na Nicodemus Jonas.…

 

10 years ago

Bongo5

Young Killer ajiunga na kundi la Mtu Chee, achukua nafasi ya Young Dee aliyejitoa

Baada kuwa kimya kwa takribani miaka miwili, Kundi la Mtu Chee lililokuwa linaundwa na rappers watatu, Ibrahim Mandingo a.k.a Country Boy, David Genzi a.k.a Young Dee pamoja na Boniventure Kabogo a.k.a Stamina linarudi rasmi likiwa na mabadiliko. Country Boy Member na mmoja wa waanzilishi wa kundi hilo Country Boy amesema kuwa Mtu Chee imepata member […]

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

AllAfrica.Com

Hip Hop Star Now MP in Tanzania


The Star
Hip Hop Star Now MP in Tanzania
AllAfrica.com
Tanzanian Hip Hop singer Joseph Haule popularly known as Professor Jay has won a parliamentary seat in the Tanzanian elections. The star clinched the Mikumi Constituency seat on an Opposition Chadema (Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo) ticket.
Professor Jay wins parliamentary seatThe Star

all 3

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani