PIGA KWANZA MASWALI BAADAYE-UMOJA WA MATAIFA
![](http://4.bp.blogspot.com/-sw9hN_CFFZc/VFCo5UTP_aI/AAAAAAAGt_s/13ZYcXUNkBs/s72-c/unnamed%2B(56).jpg)
Bw. Martin Kobler, Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mkuu wa Misheni ya Kulinda amani katika DRC ( MONUSCO) akiwasilisha taarifa kuhusu MONUSCO mbele ya Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa hapo siku ya jumatatu. Katika maelezo yake Bw. Kobler amesema walinzi wa amani hawapaswi kukaa na kutochukua hatua au kuanza kuuliza maswali badala ya kuwakabili waasi wenye silaha ambao wanaonekana dhahiri kutishia usalama wa raia au hata usalama wao wenyewe. Na kwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili21 Nov
Ngono kwanza, dawa baadaye
10 years ago
Mwananchi11 Feb
Uzalendo kwanza mengine baadaye
11 years ago
HabarileoMbunge: Jimbo kwanza, Chadema baadaye
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1pYGM2xUDQnC01V2rQniGlBxRpOa34gRQzr3Y5hNd1r0zW99QJJ*uPCSMgpVrFTbNX2UAN1taXqwbF1WF40BBlkOib53fBeQ/amanda.jpg)
AMANDA STAREHE KWANZA, MUNGU BAADAYE
11 years ago
Tanzania Daima05 Feb
Katiba mpya kwanza, wasaka urais baadaye
MWAKA 1995 Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere alituasa Watanzania tumchague mtu ambaye anachukia rushwa kwa dhati. Kwa maneno ya Mwalimu, ukimtazama mtu huyo anapotamka neno rushwa uridhike kwamba anaichukia rushwa...
10 years ago
Mwananchi06 Sep
Shishi Baby: Muziki kwanza, Filamu baadaye
10 years ago
Mwananchi21 Sep
Piga mswaki, piga deki, piga amani
10 years ago
Mwananchi31 Oct
Lipumba: Kwanza CCM ing’oke, ruzuku baadaye
10 years ago
Dewji Blog03 Oct
Uzalendo kwanza: Piga kura uboreshe maisha ya watu wenye ulemavu wa ngozi
Shirika linalojibidisha na kutetea na kulinda watu wenye ulemavu wa ngozi nchini Under the Same Sun, (UTSS) limeteuliwa kushindania Tuzo ya Haki za Binadamu ijulikanayo kama “Tulip” itolewayo nchini Uholanzi. Iwapo UTSS watashinda tuzo hiyo, ni dhahiri kwamba kutakuwa na mapinduzi makubwa katika uboreshaji wa maisha ya watu wenye ulemavu wa ngozi. Shiriki kwa kupiga kura ili UTSS washinde Tuzo hii na kulinda ndugu zetu wenye Ulemavu wa Ngozi Tanzania kwa kupiga kura hapa chini na...