NJIA ZA "PANYA" ZA SUKARI ZINAUA VIWANDA VYA NDANI - ZITTO KABWE

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali na Mashirika ya Umma (PAC),Mh. Zitto Kabwe (wa tatu kulia) akizungumza wakati akiongoza kikao cha Kamati yake na Uongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kilichofanyika kwenye ofisi ndogo za Bunge,Jijini Dar es salaam leo.
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),Rished Bade akizungumza katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali na Mashirika ya Umma (PAC) na Uongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kilichofanyika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi16 Nov
Viwanda vya sukari visipolindwa vitakufa
9 years ago
Mtanzania08 Dec
Sukari kutoka nje inavyoua viwanda vya nchini
>>TPC wataka itozwe kodi ya asilimia 100
NA UPENDO MOSHA, MOSHI
TANZANIA ni miongoni mwa nchi zinazoendelea Afrika kupitia sekta mbalimbali za kiuchumi vikiwemo viwanda.
Licha ya umuhimu wa viwanda hivyo bado kumekuwa hakuna sera madhubuti zinazolenga kuboresha na kuendeleza
viwanda vya ndani.
Sekta hiyo bado inakabiliwa na changamoto nyingi kiasi cha kuchelewesha malengo yaliokusudiwa ya kukuza uchumi na maisha bora kwa wananchi wake.
Sera zilizopo zinaruhusu kuuzwa kwa bidhaa mbalimbali...
5 years ago
Michuzi
BASHUNGWA AWATAKA WENYE VIWANDA VYA SUKARI KUREJEA MIKATABA YA UBINAFSISHWAJI

Mhe. Bashungwa aliyasema hayo mkoani Kilimanjaro alipofanya ziara katika kiwanda cha cha kuzalisha sukari cha TPC ili kujiridhisha na hali ya uzalishaji viwandani hapa.
Kuna viwanda vinne Kagera sugar, Mtibwa Sugar, Kilombero Sugar na TPC wakati vinabinafsishwa vilipewa malengo...
10 years ago
GPL
ZITO KABWE AWAACHA NJIA PANDA WANANCHI VIWANJA VYA MWEMBEYANGA DAR
11 years ago
Tanzania Daima13 Feb
Sumaye ataka viwanda vya ndani vilindwe
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amesema kuwa ni vigumu kuuondoa umaskini nchini kama serikali haitaongeza uuzaji wa bidhaa zake nje ya nchi. Alisema serikali pia lazima ivilinde viwanda vyake vichanga...
10 years ago
Habarileo06 Nov
Wazalishaji sukari watishia kufunga viwanda
WAZALISHAJI wa sukari nchini wametishia kufunga viwanda vyao iwapo Serikali itashindwa kuchukua uamuzi sahihi utakaosaidia kunusuru viwanda vya ndani kwa manufaa ya sera ya kukuza uchumi wa wananchi na taifa.
5 years ago
MichuziMBUNGE RITA KABATI AOMBA USHURU WA MAZIWA KUTOKA NJE YA NCHI UONGEZWE ILI KULINDA VIWANDA VYA NDANI
Aidha, Kabati ameipongeza Kampuni ya Kuzalisha Maziwa ya ASAS ya mjini Iringa kwa kutumia fursa ya kuongeza ushuru wa bidhaa kwa kuzalisha maziwa mengi.
Kabati ametoa ombi na pongezi hizo Bungeni jiini Dodoma wakati akichangia Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi iliyowasilishwa na Waziri wa Luhaga Mpina.
Mbunge huyo wa Viti Maalum alisema...
10 years ago
Mwananchi16 Feb
Ruzuku ‘kiduchu’ zinaua elimu vyuo vya umma
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA ATEMBELEA VIWANDA VYA GENERAL TYRE NA A TO Z JIJINI ARUSHA