Tanzania kuingiza hewa ya ukaa sokoni
WIZARA ya Maliasili na Utalii imeahidi kuiingiza Tanzania katika biashara ya kimataifa ya uuzaji wa hewa ya ukaa duniani kama moja ya kipato kipya kwa serikali pamoja na wananchi mmoja mmoja.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima20 Nov
‘Tutatendelea kuzibana nchi tajiri hewa ukaa’
NAIBU Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Ummy Mwalimu, amesema bado nchi za Afrika zitaendelea kuzibana nchi tajiri kutozalisha hewa ya ukaa inayochangia kwa kiasi kikubwa mabadiliko ya tabianchi....
11 years ago
Mwananchi11 Feb
Waruhusiwa kuingiza bidhaa sokoni
11 years ago
Tanzania Daima21 Apr
Goshashy kuingiza sokoni ‘Pepeto’
MWANAMUZIKI wa nyimbo za Injili, Ruben Goshashy, anatarajiwa kuingiza sokoni albamu mpya ya nyimbo za injili itakayokwenda kwa jina la ‘Pepeto’ ambayo inazungumzia jinsi maisha yanavyobadilika kutoka kwenye anasa hadi...
10 years ago
StarTV13 Feb
Wazalishaji, wasambazaji waaswa kuingiza Sukari sokoni
Na Neema Ndetto,
Dar es Salaam
Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika imewaagiza wazalishaji na wasambazaji wakubwa wa sukari nchini kuingiza Sukari sokoni na kuhakikisha inapatikana kwa bei ambayo watanzania wanaweza kuimudu.
Maagizo hayo yametolewa baada ya Serikali kuzuia sukari ya nje kuuzwa hapa nchini hali iliyosababisha kupanda kwa bei ya sukari kati ya shilingi 2500 hadi 3000.
cialis nitrato
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Waziri wa Kilimo,...
11 years ago
Bongo521 Jul
Tudd Thomas afuata nyayo za Dr. Dre, kuingiza sokoni headphone zake ‘TTP’
10 years ago
MichuziWasira aagiza wadau wa Sukari kuingiza sokoni bidhaa hiyo badala ya kuifungia ghalani
10 years ago
GPLWASIRA AAGIZA WADAU WA SUKARI KUINGIZA SOKONI BIDHAA HIYO BADALA YA KUIFUNGIA GHALANI
10 years ago
MichuziWWF YATOA MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA IDARA ZA HALMASHAURI YA MANSIPAA YA KINONDONI KMC JUU YA KUKABILIANA NA UENEAJI WA HEWA UKAA NA NISHATI JADIDIFU NCHINI