Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri atoa siku 14 bidhaa feki kuondolewa sokoni

Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kigoda amevipa siku 14 viwanda vinavyozalisha bidhaa zilizo chini ya kiwango kuziondoa sokoni sambamba na kuujulisha umma namna watakavyoziharibu na kuziteketeza.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Simbachawene atoa siku tano kuondolewa kwa  Uchafu Uliokusanywa Dodoma

 

Waziri wa ofisi ya Rais, Tamisemi, utumishi na utawala bora Mheshimiwa George Simbachawene ametoa siku 5 kwa wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi wote kuhakikisha uchafu uliokusanywa siku ya uhuru tarehe 9 Decemba mwaka huu  wakati wa kufanya usafi unaondolewa mara moja.

Pamoja na hilo amewataka viongozi hao kuwasilisha mikakati yao ya haraka ya kuhakikisha mfumo wa kufanya usafi katika miji yao unaendelea.

Hivi karibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. John Pombe Magufuli...

 

10 years ago

Mwananchi

Naibu waziri atoa siku 14 kwa TRA

Naibu Waziri Wizara ya Fedha, Adam Malima ametoa siku 14 kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kukaa na wafanyabiashara nchini na kutatua kero zote za kodi zilizopo.

 

11 years ago

Mwananchi

Waruhusiwa kuingiza bidhaa sokoni

Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Mezzan Oil, Cuthbert Sawe ameshukuru Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kuruhusu bidhaa za kampuni hiyo kuingia sokoni baada ya kuridhika na viwango vya ubora. Alisema baada ya kuthibitisha ubora wa vilainishi

 

9 years ago

StarTV

Waziri Muhongo atoa siku saba kwa TANESCO

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter  Muhongo  ametoa siku saba kwa  shirika la ugavi wa Umeme nchini TANESCO kuunganisha umeme katika kituo cha ushuru wa forodha kilichopo kwenye mpaka wa Rusumo wilayani Ngara mkoani Kagera kwa upande wa Tanzania ambacho kimekuwa kikitegemea umeme kutoka nchini jirani ya Rwanda.

Waziri Muhongo ametoa maagizo hayo baada ya kupata taarifa kutoka kwa Maafisa wa forodha wa kituo hicho ambao wamemuelezea changamoto ya mara kwa mara ya  ukosefu wa umeme...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MBARAWA ATOA SIKU TATU UKARABATI RELI YA KATI

Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amewataka watendaji wa Shirika la Reli nchini (TRL) na Kampuni Hodhi ya Mali za Reli (RAHCO) kuhakikisha sehemu ya reli iliyosombwa na mafuriko wilayani Kilosa mkoani Morogoro inaunganishwa ndani ya siku tatu na huduma za treni kurejea. Prof. Mbarawa amesema hayo baada ya kukagua sehemu ya reli hiyo kutoka Kilosa hadi Magulu- Kidete kuona athari zilizosababishwa na mafuriko yaliotokana na mvua zilizonyesha katika mikoa ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Bidhaa feki kudhibitiwa

Serikali ipo katika mkakati wa kuandaa sheria ya kuwabana wafanyabiashara wanao agiza na kuingiza bidhaa nchini zisizo na ubora.

 

10 years ago

Mwananchi

Krismasi yaanza kubadili bei za bidhaa sokoni

Maandalizi ya sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya yameanza kusababisha mabadiliko katika bei za bidhaa mbalimbali kwenye masoko ya jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Bidhaa feki zamiminika Zanzibar

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, imekiri kuingizwa vifaa vya umeme na ujenzi vilivyo chini ya viwango vya ubora katika soko la ndani na kuathiri baadhi ya wananchi wanaotumia bidhaa hizo imefahamika.

 

9 years ago

Bongo Movies

Filamu Ya ‘Chungu Cha Tatu’ Yamalizika Sokoni , Wauza Feki Mbaroni

JB

JB

Kopi za filamu mpya ya JB na Wema Sepetu, ‘Chungu Cha Tatu’ zilizoingia sokoni Jumatatu hii zimemalizika ikiwa ni siku tatu toka iachiwe.

Akizungumza na Bongo5 Alhamis hii, JB alisema kasi ya mauzo ya filamu hiyo, ina kila dalili ya kuvunja rekodi ya filamu yake iliyopita Mzee wa Swagga.

“Filamu inaenda vizuri sana, Jumatatu baada ya kuingia sokoni masaa manne kopi zilizoingia sokoni ziliisha, Jumanne tukazalisha tena zikaisha, leo hii tumezalisha nyingine nyingi kwa sababu hata mikoani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani