Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simbachawene atoa siku tano kuondolewa kwa  Uchafu Uliokusanywa Dodoma

 

Waziri wa ofisi ya Rais, Tamisemi, utumishi na utawala bora Mheshimiwa George Simbachawene ametoa siku 5 kwa wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi wote kuhakikisha uchafu uliokusanywa siku ya uhuru tarehe 9 Decemba mwaka huu  wakati wa kufanya usafi unaondolewa mara moja.

Pamoja na hilo amewataka viongozi hao kuwasilisha mikakati yao ya haraka ya kuhakikisha mfumo wa kufanya usafi katika miji yao unaendelea.

Hivi karibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. John Pombe Magufuli...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Waziri atoa siku 14 bidhaa feki kuondolewa sokoni

Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kigoda amevipa siku 14 viwanda vinavyozalisha bidhaa zilizo chini ya kiwango kuziondoa sokoni sambamba na kuujulisha umma namna watakavyoziharibu na kuziteketeza.

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MAZINGIRA) ATOA TAMKO KUHUSU SIKU YA KUPAMBANA NA KUENEA KWA HALI YA JANGWA NA UKAME DUNIANI MJINI DODOMA LEO

Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Makamu wa Rais (Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza na waandishi wa Habari katika Ukumbi wa Habari, Bungeni alipokutana nao kutoa Tamko kwa niaba ya Waziri kuhusu Siku ya kupambana na Kuenea kwa hali ya Jangwa na Ukame Dunia leo tarehe 16 Juni, 2014. Picha na Owen Mwandumbya.

 

9 years ago

Mwananchi

Pinda: Umaskini hauwezi kuondolewa kwa siku 100

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amewabeza wanaosema umaskini wa Watanzania unaweza kuondolewa ndani ya siku 100.

 

9 years ago

Michuzi

Waziri Simbachawene aagiza kusimamishwa kazi kwa maafisa biashara wawili wa manispaa ya Dodoma

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. George Simbachawene amemuagiza Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma kuwasimamisha kazi mara moja Kaimu Afisa Biashara wa Manispaa ya Dodoma Bw. Elias N. Kamara na Bibi Donatila D. Vedasto (Afisa Biashara) kuanzia leo tarehe 30/12/2015 kwa kosa la kusababisha urasimu katika utoaji wa leseni za biashara.
Kutokana na hali hiyo Mhe. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma kumuondoa kwenye...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Simbachawene amsimamsisha kazi Kaimu Afisa Biashara wa Manispaa ya Dodoma kwa kuhusika na urasimu

si3

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. George Simbachawene (pichani) amemuagiza Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma kuwasimamisha kazi mara moja Kaimu Afisa Biashara wa Manispaa ya Dodoma Bw. Elias N. Kamara na  Bibi Donatila D. Vedasto (Afisa Biashara) kuanzia leo tarehe 30/12/2015 kwa kosa la kusababisha urasimu katika utoaji wa leseni za biashara.

Kutokana na hali hiyo Mhe. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma kumuondoa kwenye...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YAKABIDHI PIKIPIKI TANO KWA JESHI LA POLISI — DODOMA

Benki ya NMB jana ilikabidhi pikipiki 5 aina ya Honda kwa jeshi la polisi kwaajili ya kusaidia kazi za kila siku za jeshi hilo katika hafla iliyofanyika nje ya ukumbi wa St. Gasper katika mkutano wa maafisa wa polisi unaoendelea mjini hapa.
Pikipiki hizo zilizokabidhiwa kwa Waziri wa Mambo ya Ndani,Mh Mathias Chikawe na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB,Tom Borgols, zina thamani ya shilingi Milioni 10.
Waziri Chikawe alishukuru NMB kwa kuona umuhimu wa kusaidia jeshi la polisi na hivyo kuwataka...

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli atoa siku 7 kwa wapigaji

Pg 1>> Awaambia wasipolipa kodi ndani ya muda huo wataisoma namba

>> Afichua serikali kutopeleka fedha za maendeleo Wizarani

>> Amuonya mfanyabiashara anayetaka kumili ufukwe wa Coco

Na Kulwa Mzee , Dar es Salaam

RAIS Dk. John Magufuli, ametoa siku saba kwa wafanyabiashara waliopitish makontena yao bandarini bila kulipa kodi, kujisalimisha wenyewe na kulipa fedha hizo za serikali na watakaokamatwa baada ya muda huo watachukuliwa hatua zaidi za kisheria.

Kauli hiyo ya Rais Magufuli, imekuja siku...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani