Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BENKI YA NMB YAKABIDHI PIKIPIKI TANO KWA JESHI LA POLISI — DODOMA

Benki ya NMB jana ilikabidhi pikipiki 5 aina ya Honda kwa jeshi la polisi kwaajili ya kusaidia kazi za kila siku za jeshi hilo katika hafla iliyofanyika nje ya ukumbi wa St. Gasper katika mkutano wa maafisa wa polisi unaoendelea mjini hapa.
Pikipiki hizo zilizokabidhiwa kwa Waziri wa Mambo ya Ndani,Mh Mathias Chikawe na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB,Tom Borgols, zina thamani ya shilingi Milioni 10.
Waziri Chikawe alishukuru NMB kwa kuona umuhimu wa kusaidia jeshi la polisi na hivyo kuwataka...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NGO's YA APEC KWA KUSHIRIKIANA NA JESHI LA POLISI DODOMA YAFUNGA MAFUZO KWA WAENDESHA PIKIPIKI (BODABODA) MKOANI HUMO

 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma,SACP David Misime akiongea katika kufunga mafuzo kwa waendesha pikipiki (Bodaboda) wa Manispaa ya Dodoma yaliyoendeshwa na Shirika lisilo la kiserikali la –APEC - kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi.Muwakilishi wa Waendesha Pikipiki (Bodaboda) Mkoa wa Dodoma, Bw. Erasto Kasugu akisoma risala kwa mgeni rasmi,wakati wa kufunga mafuzo kwa waendesha pikipiki (Bodaboda) wa Manispaa ya Dodoma yaliyoendeshwa na Shirika lisilo la kiserikali la –APEC - kwa...

 

10 years ago

Michuzi

NMB Yalishukuru Jeshi la Polisi kwa kuifanya benki hiyo kuwa chaguo lao la kwanza

Benki ya NMB imewafagilia jeshi la polisi kwa kuikubali benki yao kuwa benki chaguo la kwanza na kusema kitendo hicho kinadhihirisha kuridhishwa kwao na huduma bora za kibenki zinazotolewa na NMB kupitia Makundi mbalimbali katika jamii ya Tanzania.  Hayo yalisemwa jana mjini Dodoma na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB – Tom Borghols alipokuwa akitoa Maneno ya utangulizi.Aliyasema hayo kabla ya Mkuu wa kitengo cha wateja binafsi wa benki ya NMB - Abdulmajid Nsekela kuwasilisha  maada...

 

11 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA LAWASHIKILIA WATU AROBAINI NA TANO KWA MAKOSA MBALIMBALI YA UHALIFU

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi David A. Misime - SACP
Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma linashikilia arobaini na tano kwa makosa mbalimbali ya uhalifu katika msako wa wahalifu uliofanyika tarehe kati ya tarehe 27/02/2014 hadi 01/03/2014.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi David A. Misime - SACP amesema tarehe 27/02/2014 walikamatwa jumla a watuhumiwa 42 kwa makosa...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YAKABIDHI MADAWATI KWA SHULE ZA MSINGI MWANZA NA MUSOMA

 Wanafunzi  wa Shule ya Msingi Kiseke Wilaya  ya Ilemela Mkoani Mwanza,  wakiwa wameketi kwenye madawati  64 yenye thamani  ya shilingi milioni 5 waliyokabidhiwa na Benki ya NMB kama sehemu ya msaada kwa shule hiyo.Bw. Daniel Makorere, Afisa Elimu Wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza  akimshukuru Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB Bw. Waziri Barnabas(kushoto) baada ya kupokea madawati yenye thamani ya shilingi milioni 5 kutoka benki ya NMB. Msaada huo wa madawati ulikabidhiwa kutoka NMB kwa Shule ya...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YAKABIDHI SHILINGI MILIONI 100 KWA WAZIRI MKUU KUPAMBANA NA CORONA

Benki ya NMB katika kudhibiti na kupambana dhidi ya virusi vya Corona imekabidhi shilingi milioni 100 kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kama sehemu ya mchango wake kwa serikali katika mapambano hayo.
Waziri mkuu amekabidhiwa fedha hizo na Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya NMB-Ruth Zaipuna mwishoni mwa wiki katika ofisi ya Waziri Mkuu, Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (wa tatu kushoto) akipokea hundi ya Sh. Milioni 100 kwa ajili ya mapambano dhidi ya ugonjwa wa Corona kutoka kwa Kaimu...

 

10 years ago

Michuzi

NMB YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU ZA POLISI


Mkuu wa Kitengo cha Wateja binafsi wa benki ya NMB, Bw.Abdulmajid Nsekela( katikati) akimkabidhi vifaa vya Michezo Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Mary Nzuki kwa ajili ya Timu za Polisi ambazo ni Kombaini ya Polisi itakayoshiriki Michezo ya majeshi kwa nchi za kusini mwa Afrika nchini Swaziland pamoja na timu za mpira wa miguu za Polisi Dar es Salaam na Polisi Morogoro.Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Michezo Mrakibu mwanadamizi wa Polisi (SSP) Jonas Mahanga(Picha na Frank Geofray-Jeshi la...

 

5 years ago

Michuzi

NMB YAKABIDHI VIFAA NA VITENDEA KAZI KWA OFISI YA WAZIRI MKUU JIJINI DODOMA


Mkurugenzi wa Kitengo cha Maadhimisho na Sherehe za Taifa Bw.Mohamed Kiganja akipokea moja ya saa zilizotolewa na Benki ya NMB Dodoma, aliyekabidhi vifaa hivyo ni Meneja wa Kanda wa benki hiyo Bw. Nsolo Mlozi ikiwa ni sehemu ya kuonesha ushirikiano kati ya banki hiyo na Ofisi ya Waziri Mkuu ambapo walikabidhi saa 200, peni 200 na Vikombe 200...

 

10 years ago

Vijimambo

NMB BANK YALIPATIA JESHI LA POLISI VIFAA VYA MICHEZO, NI KWA AJILI YA TIMU ZA POLISI DAR NA MORO

Mkuu wa Kitengo cha Wateja binafsi wa benki ya NMB, Bw.Abdulmajid Nsekela( katikati) akimkabidhi vifaa vya Michezo Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Mary Nzuki kwa ajili ya Timu za Polisi ambazo ni Kombaini ya Polisi itakayoshiriki Michezo ya majeshi kwa nchi za kusini mwa Afrika nchini Swaziland pamoja na timu za mpira wa miguu za Polisi Dar es Salaam na Polisi Morogoro.Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Michezo Mrakibu mwanadamizi wa Polisi (SSP) Jonas Mahanga(Picha na Frank Geofray-Jeshi la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani