Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda: Umaskini hauwezi kuondolewa kwa siku 100

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amewabeza wanaosema umaskini wa Watanzania unaweza kuondolewa ndani ya siku 100.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Simbachawene atoa siku tano kuondolewa kwa  Uchafu Uliokusanywa Dodoma

 

Waziri wa ofisi ya Rais, Tamisemi, utumishi na utawala bora Mheshimiwa George Simbachawene ametoa siku 5 kwa wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi wote kuhakikisha uchafu uliokusanywa siku ya uhuru tarehe 9 Decemba mwaka huu  wakati wa kufanya usafi unaondolewa mara moja.

Pamoja na hilo amewataka viongozi hao kuwasilisha mikakati yao ya haraka ya kuhakikisha mfumo wa kufanya usafi katika miji yao unaendelea.

Hivi karibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. John Pombe Magufuli...

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa: Kwa siku 100 nitafanya mambo 13

Mgombea urais wa Chadema na Ukawa, Edward Lowassa ametaja mambo 13 atakayoyafanya ndani ya siku 100 iwapo atachaguliwa kuwa Rais, huku akisema “atawakata kilimilimi” wanaombeza kuwa hawezi kuondoa umaskini wa wananchi.

 

10 years ago

Mwananchi

Wanawake chachu kuondoa umaskini-Mizengo Pinda

Serikali imesema wanawake wa Tanzania watakuwa chachu ya taifa kuwa na uchumi wa ushindani utakaoondoa umaskini iwapo wataweza kutambua na kushiriki katika fursa zinazowazunguka kiuchumi.

 

10 years ago

StarTV

Wachimbaji Geita watakiwa kuondolewa ndani ya siku saba

Na Salma Mrisho,

Geita.

 

Mkuu wa Mkoa wa Geita Fatma Mwassa ametoa siku saba kwa ofisi ya madini mkoani humo kuhakikisha wachimbaji wadogo waliovamia na kufanya shughuli zao katika vyanzo vya maji wanahamishwa mara moja.

 

Mkuu wa Mkoa ameeleza kuishangaa ofisi ya madini kwa kushindwa kutimiza wajibu wake na kuwaacha wachimbaji hao wakizidi kuharibu vyanzo vya maji vinavyohatarisha afya ya watumiaji wa maji kutokana na matumizi ya zebaki wanayotumia katika uchenjuaji wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Waziri atoa siku 14 bidhaa feki kuondolewa sokoni

Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kigoda amevipa siku 14 viwanda vinavyozalisha bidhaa zilizo chini ya kiwango kuziondoa sokoni sambamba na kuujulisha umma namna watakavyoziharibu na kuziteketeza.

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda awasili Tanga kwa ziara ya kikazi ya siku moja

PG4A5378

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na wasanii wa kikundi cha wanawake wa cha Tanga  cha Msanja baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga kwa ziara ya siku moja ya kikazi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A5383

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na wasanii wa kikundi cha wanawake wa cha Tanga  cha Msanja baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga kwa ziara ya siku moja ya kikazi Kulia ni Mkuu wa Mkoa huo Chiku   Gallawa. (Picha na Ofisi ya Waziri...

 

11 years ago

BBCSwahili

Siku 100 za mauaji ya Rwanda

Kwa nini mume alimuua mke, jirani akamuua jirani na mamia ya wanawake kufanywa watumwa wa ngono Rwanda?

 

9 years ago

BBCSwahili

Siku 100, Rais Buhari amefanikiwa?

Rais wa Nigeria,Muhammadu Buhari aliahidi kumaliza changamoto ya ugaidi na vitendo vya rushwa nchini mwake

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani