Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Siku 100, Rais Buhari amefanikiwa?

Rais wa Nigeria,Muhammadu Buhari aliahidi kumaliza changamoto ya ugaidi na vitendo vya rushwa nchini mwake

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

RAIS WA TFF JAMAL MALINZI AZUNGUMZIA MAFANIKIO YA UONGOZI WAKE NDANI YA SIKU 100

 Rais wa shirikisho la Mpira wa miguu nchini TFF Ndugu Jamal Malinzi katikati akizungungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam leo juu ya mafanikio ya uongozi wake kwa siku mia moja toka waingie madarakani, Kulia ni Afisa habari wa TFF Bonifas Wambura na kushoto ni Mshauri wa ufundi Bwana Rutayunga Peregenus  Pichani ni baadhi ya Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakifuatilia mkutano huo uliofanyika leo ndani ya moja ya ukumbi wa hotel ya Kempisk Hyatt Regence...

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais wa Nigeria ni Muhhamadu Buhari

Goodluck amekiri kushindwa katika uchaguzi huo ulioshuhudia ushindani mkali

 

9 years ago

BBCSwahili

Rais Buhari asifia jeshi lake

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amesema jeshi la nchi yake liimepata mafanikio katika mapambano dhidi ya wanamgambo wa Boko Haram

 

10 years ago

BBCSwahili

Buhari ameapishwa kuwa rais wa Nigeria

Viongozi kutoka kote duniani wamewasili Abuja Nigeria kushuhudia kuapishwa kwa rais mpya wa Nigeria jenerali Muhammadu Buhari

 

9 years ago

BBCSwahili

Rais Buhari atangaza utajiri wake

Rais wa Nigeria ametangaza ana $150,000 kwenye benki, hatua hiyo ya kutangaza utajiri wake ikilenga kuendeleza uwazi serikalini.

 

9 years ago

BBCSwahili

Rais Buhari asema amewabana Boko Haram

Rais wa Nigeria, Mohammadu Buhari, ameiambia BBC kuwa majeshi yake yanakaribia kulishinda kundi la kiislam , Boko Haram.

 

10 years ago

StarTV

Muhamadu Buhari aapishwa kuwa rais wa Nigeria


Buhari ameapishwa kuwa rais wa Nigeria

Mshindi wa uchaguzi mkuu nchini Nigeria Muhamadu Buhari ameapishwa kama rais mpya wa nchi hiyo.


Waziri wa maswala ya kigeni wa Marekani akiwa Abuja

Bwana Buhari ambaye ni kiongozi wa zamani wa kijeshi amechukua uongozi kutoka kwa rais wa zamani Goodluck Jonathan ambaye amemtaka kuiunganisha nchi hiyo wakati inapokabiliana na tisho kutoka kundi la Boko Haram.


Kiongozi wa Ethiopia akiwasili Abuja

Buhari anasema kuwa lengo lake ni kupambana ufisadi ambao...

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Buhari amewafuta kazi wakuu Jeshini

Rais wa Nigeria Muhammad Buhari amewafuta kazi wakuu wa jeshi la angani,majini na nchi kavu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani