Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muhamadu Buhari aapishwa kuwa rais wa Nigeria


Buhari ameapishwa kuwa rais wa Nigeria

Mshindi wa uchaguzi mkuu nchini Nigeria Muhamadu Buhari ameapishwa kama rais mpya wa nchi hiyo.


Waziri wa maswala ya kigeni wa Marekani akiwa Abuja

Bwana Buhari ambaye ni kiongozi wa zamani wa kijeshi amechukua uongozi kutoka kwa rais wa zamani Goodluck Jonathan ambaye amemtaka kuiunganisha nchi hiyo wakati inapokabiliana na tisho kutoka kundi la Boko Haram.


Kiongozi wa Ethiopia akiwasili Abuja

Buhari anasema kuwa lengo lake ni kupambana ufisadi ambao...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Buhari ameapishwa kuwa rais wa Nigeria

Viongozi kutoka kote duniani wamewasili Abuja Nigeria kushuhudia kuapishwa kwa rais mpya wa Nigeria jenerali Muhammadu Buhari

 

10 years ago

Bongo5

Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari kujiteua mwenyewe kuwa waziri wa mafuta

Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari Jumatano hii alitarajiwa kulitangaza baraza la mawaziri na kwamba angejiteua mwenyewe kuwa waziri wa mafuta. Jumanne hii, Buhari alisema jijini New York, anakohudhuria mkutano wa mkuu wa umoja wa mataifa kuwa atajiteua mwenyewe kuongoza wizara hiyo nyeti. Lengo lake ni kuondoa ufisadi na rushwa iliyokithiri kwenye sekta hiyo. Rais huyo […]

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete aapishwa kuwa mwenyekiti EAC

Rais Jakaya Kikwete amekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), akichukua jukumu hilo kutoka kwa Rais Uhuru Kenyatta aliyemaliza muda wake.

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais wa Nigeria ni Muhhamadu Buhari

Goodluck amekiri kushindwa katika uchaguzi huo ulioshuhudia ushindani mkali

 

5 years ago

BBCSwahili

Evariste Ndayishimiye: Aapishwa kuwa rais mpya wa Burundi

Maelfu ya raia wa Burundi wamefurika katika uwanja huo kushuhudia kuapishwa kwa rais huyo kufuatia kifo cha aliyekuwa rais wa taifa hilo Pierre Nkurunziza.

 

11 years ago

StarTV

Ashraf Ghani aapishwa kuwa rais mpya Afghanistan

Ashraf Ghani ameapishwa kuwa rais mpya wa Afghanistan, akichukua nafasi ya Hamid Karzai katika sherehe zilizofanyika ikulu ya rais mjini Kabul.

 

 
Kuapishwa kwa Bwana Ghani kunakuja baada ya miezi sita, huku kukiwa na mvutano mkubwa kuhusu kulalamikia udanganyifu katika kupiga na kuhesabu kura.

 

 
Kwa mujibu wa mkataba uliosimamiwa na Marekani Bwana Ghani atashirikiana madaraka na mshindi wa pili katika uchaguzi wa urais Bwana Abdullah Abdullah ambaye atakuwa afisa mtendaji mkuu.

 

 
Kundi...

 

9 years ago

GPL

DK. MAGUFULI AAPISHWA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Hatimaye aliyekuwa Rais Mteule Dk. John Pombe Magufuli ameapishwa rasmi kuwa rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hivi sasa katika sherehe zinazoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es…

 

10 years ago

BBCSwahili

Jenerali Buhari ndiye rais mpya wa Nigeria

Mgombea wa Upinzani nchini Nigeria, Muhammadu Buhari wa chama cha upinzani cha APC amemshinda Goodluck Jonathan katika uchaguzi uliokuwa na ushindani mkubwa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani