Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete aapishwa kuwa mwenyekiti EAC

Rais Jakaya Kikwete amekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), akichukua jukumu hilo kutoka kwa Rais Uhuru Kenyatta aliyemaliza muda wake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AREJEA NCHINI-ACHAGULIWA MWENYEKITI MPYA WA EAC

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Profesa Mark Mwandosya akimkaribisha Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki , Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya Rais kuwasili katika uwanja wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere akitokea Nairobi Kenya ambapo alihudhuria mkutano wa kilele wa wakuu wa nchi Jumuiya ya Afrika Mashariki.Kushoto ni Waziri wa Elimu na Mafunzo Dkt.Shukuru Kawambwa(picha na Freddy Maro)

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AMTEUA DK. MIGHANDA MANYAHI KUWA MWENYEKITI MPYA WA BODI YA TANESCO

Na Chalila KibudaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Dk.Mighanda Manyahi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO).
Kwa taarifa iliyotolewa leo na kwa vyombo vya habari  na kusainiwa na Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini ilisema ,kufuatia uteuzi huo,Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter  Muhongo amewateua Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TANESCO .
Wajumbe wa bodi walioteuliwa ni Kissa Vivian...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AMTEUA PROFESA MBETTE KUWA MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI WA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAWASILIANO SAYANSI NA TEKNOLOJIA TAARIFA KWA UMMA UTEUZI WA MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI WA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA         Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Prof. Tolly Salvatory Augustin Mbwette  kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kwa kipindi cha miaka miaka mitatu kuanzia tarehe 12 Oktoba 2015. 


Uteuzi huo ni kwa mujibu wa kifungu Na. 9 (4) (a) cha Sheria...

 

10 years ago

StarTV

Muhamadu Buhari aapishwa kuwa rais wa Nigeria


Buhari ameapishwa kuwa rais wa Nigeria

Mshindi wa uchaguzi mkuu nchini Nigeria Muhamadu Buhari ameapishwa kama rais mpya wa nchi hiyo.


Waziri wa maswala ya kigeni wa Marekani akiwa Abuja

Bwana Buhari ambaye ni kiongozi wa zamani wa kijeshi amechukua uongozi kutoka kwa rais wa zamani Goodluck Jonathan ambaye amemtaka kuiunganisha nchi hiyo wakati inapokabiliana na tisho kutoka kundi la Boko Haram.


Kiongozi wa Ethiopia akiwasili Abuja

Buhari anasema kuwa lengo lake ni kupambana ufisadi ambao...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AZINDUA KOZI MAALUMU YA MAADILI NA UONGOZI, AMSIMIKA MZEE MSEKWA KUWA MWENYEKITI WA KIBWETA CHA MWALIMU NYERERE


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua kitabu cha Programu ya Uongozi na Maadili  katika Chuo cha Kumbukumbu ya Nyerere Kigamoni jijini Dar es salaam leo. Kushoto kwake  ni Waziri wa Elimu Dkt Shukuru Kawambwa na kulia kwake ni Mkuu wa Chuo hicho Profesa Shadrack Mwakalila.  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsimika rasmi Mzee Pius Msekwa kuwa Mwenyekiti wa Kibweta cha Mwalimu Nyerere cha Uongozi na  Maadili wakati wa uzinduzi wa Kozi Maalum ya Maadili na Uongozi katika Chuo cha Kumbukumbu ya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Evariste Ndayishimiye: Aapishwa kuwa rais mpya wa Burundi

Maelfu ya raia wa Burundi wamefurika katika uwanja huo kushuhudia kuapishwa kwa rais huyo kufuatia kifo cha aliyekuwa rais wa taifa hilo Pierre Nkurunziza.

 

11 years ago

StarTV

Ashraf Ghani aapishwa kuwa rais mpya Afghanistan

Ashraf Ghani ameapishwa kuwa rais mpya wa Afghanistan, akichukua nafasi ya Hamid Karzai katika sherehe zilizofanyika ikulu ya rais mjini Kabul.

 

 
Kuapishwa kwa Bwana Ghani kunakuja baada ya miezi sita, huku kukiwa na mvutano mkubwa kuhusu kulalamikia udanganyifu katika kupiga na kuhesabu kura.

 

 
Kwa mujibu wa mkataba uliosimamiwa na Marekani Bwana Ghani atashirikiana madaraka na mshindi wa pili katika uchaguzi wa urais Bwana Abdullah Abdullah ambaye atakuwa afisa mtendaji mkuu.

 

 
Kundi...

 

9 years ago

GPL

DK. MAGUFULI AAPISHWA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Hatimaye aliyekuwa Rais Mteule Dk. John Pombe Magufuli ameapishwa rasmi kuwa rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hivi sasa katika sherehe zinazoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani