RAIS KIKWETE AMTEUA PROFESA MBETTE KUWA MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI WA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAWASILIANO SAYANSI NA TEKNOLOJIA TAARIFA KWA UMMA UTEUZI WA MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI WA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Prof. Tolly Salvatory Augustin Mbwette kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kwa kipindi cha miaka miaka mitatu kuanzia tarehe 12 Oktoba 2015.
Uteuzi huo ni kwa mujibu wa kifungu Na. 9 (4) (a) cha Sheria...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AMTEUA DK. MIGHANDA MANYAHI KUWA MWENYEKITI MPYA WA BODI YA TANESCO
Kwa taarifa iliyotolewa leo na kwa vyombo vya habari na kusainiwa na Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini ilisema ,kufuatia uteuzi huo,Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amewateua Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TANESCO .
Wajumbe wa bodi walioteuliwa ni Kissa Vivian...
9 years ago
Dewji Blog29 Oct
JK amteua Natu Rashid Msuya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Rais wa Kujitegemea (PTF)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Natu Rashid Msuya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Rais wa Kujitegemea (PTF).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Alhamisi, Oktoba 29, 2015 Ikulu, Dar es Salaam na Katibu Mkuu – Ikulu, Ndugu Peter Ilomo uteuzi huo ulianza Jumapili ya Oktoba 25 mwaka huu, 2015 na ni wa miaka mitatu.
Bibi Natu Msuya ni Mshauri wa Wanafunzi, Chuo Kikuu Kishiriki cha DUCE cha Dar es Salaam.
Imetolewa...
11 years ago
MichuziRais Kikwete amteua Bw. Gabriel Nderumaki kuwa Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali, Tanzania Standard NewsPapers (TSN).
Kulingana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Uteuzi huu umeanza tarehe 19 Mei, 2014.
Kabla ya uteuzi huo Bwana Nderumaki alikuwa Kaimu Mhariri...
10 years ago
Mwananchi01 Dec
Rais Kikwete amteua Profesa Assad kuwa CAG Mpya
5 years ago
CCM Blog10 years ago
MichuziUTEUZI WA MWENYEKITI NA WAJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI YA BODI YA KOROSHO TANZANIA
Aidha, Mhe. Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika amewateua wafuatao kuwa wajumbe wa Bodi hiyo ya Wakurugenzi kwa mujibu wa kifungu cha 4(1) cha Sheria ya Korosho ya mwaka 2009 (Sura ya 203 ya...
11 years ago
Michuzi10 years ago
Dewji Blog01 Dec
Rais Kikwete amteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad (pichani) kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Taarifa iliyotolewa leo, Jumatatu, Desemba Mosi, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, inasema kuwa uteuzi wa Bwana Assad ulianza Novemba 5, mwaka huu, 2014.
Taarifa hiyo imeongeza kuwa Bwana Assad ataapishwa kesho, Jumanne, Desemba 2, saa nne asubuhi, Ikulu, Dar es Salaam.
Kabla ya uteuzi wake, Bwana...
10 years ago
MichuziDk. Hussein ateuliwa kuwa mwenyekiti wa muda wa Bodi ya Wakurugenzi ya NBC
Hatua hiyo imetokana na kuteuliwa kwa aliyekuwa mwenyekiti wa bodi ya benki hiyo, Profesa Mussa Assad, kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari iliyotolewa jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Muda wa NBC, Bwana Pius Tibazarwa alisema Dk Hussein atashika wadhifa wa uenyekiti wa...