Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete amteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)

2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad (pichani) kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Taarifa iliyotolewa leo, Jumatatu, Desemba Mosi, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, inasema kuwa uteuzi wa Bwana Assad ulianza Novemba 5, mwaka huu, 2014.

Taarifa hiyo imeongeza kuwa Bwana Assad ataapishwa kesho, Jumanne, Desemba 2, saa nne asubuhi, Ikulu, Dar es Salaam.

Kabla ya uteuzi wake, Bwana...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Profesa Mussa Juma Assad ateuliwa kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)

 Profesa Mussa Juma Assad---  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Taarifa iliyotolewa leo, Jumatatu, Desemba Mosi, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, inasema kuwa uteuzi wa Bwana Assad ulianza Novemba 5, mwaka huu, 2014. Taarifa hiyo imeongeza kuwa Bwana Assad ataapishwa kesho, Jumanne, Desemba 2, saa nne asubuhi, Ikulu, Dar es Salaam.

Kabla ya...

 

10 years ago

Michuzi

JK AMUAPISHA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI PROFESA MUSA JUMA ASSAD LEO

 Rais Jakaya Mrisho kikwete katika picha ya pamoja na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad na wafanyakazi wa ofisi ya CAG  Ikulu jijini Dar es salaam leo Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa  Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad na CAG Mstaafu Bw. Ludovick Utouh Ikulu jijini Dar es salaam leo.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

MKAGUZI NA MDHIBITI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI,PROFESA JUMA ASSAD ATEMBELEA MAONYESHO YA UTUMISHI WA UMMA YANAYOENDELEA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR

 Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali,Profesa Juma Assad akisaini katika kitabu cha wageni katika banda la Mamlaka ya Udhibiti wa Chakula na Dawa (TFDA) katika viwanja wa Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo  anayeshuhudia ni Meneja wa Mawasiliano TFDA,Gaudensia Simwanza.  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Chakula na Dawa (TFDA).Hitt Sirro akimpa maelezo katibu Mkuu Kiongozi ,Balozi Ombeni Sefue (mwenye Kofia) katika Manonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Jijini Dar es...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AMTEUA PROF MUSSA ASSAD KUWA CAG MPYA, KUAPISHWA KESHO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Taarifa iliyotolewa leo, Jumatatu, Desemba Mosi, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, inasema kuwa uteuzi wa Bwana Assad ulianza Novemba 5, mwaka huu, 2014. Taarifa hiyo imeongeza kuwa Bwana Assad ataapishwa kesho, Jumanne, Desemba 2, saa nne asubuhi,...

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete amteua Profesa Assad kuwa CAG Mpya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

 

11 years ago

Michuzi

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu za Serikali awasilisha bungeni ripoti ya ukaguzi


Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu za Serikali Ndugu Ludovick S.L.Utouh akizungumza na waandishi wa habari(hawako)pichani kuhusu mambo muhimu yaliyopo kwenye ripoti ya ukaguzi wa hesabu ya Mwaka wa fedha ulioishia Juni 30 2013 kama ilivyo wasilishwa Bungeni Tarehe 7 Mei,2014. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu za Serikali Ndugu Ludovick S.L.Utouh akiwa katika picha ya pamoja na wataalam alioongozana nao. Sehemu ya vitabu vyenye ripoti hiyo. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu za...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AMUAPISHA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI LEO IKULU

Rais Jakaya Mrisho kikwete akimuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 02, 2014Rais Jakaya Mrisho kikwete akitia sahihi yake kwenye nyaraka baada ya kumuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 02, 2014Rais Jakaya Mrisho kikwete akimkabidhi Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad nyaraka baada ya...

 

10 years ago

Michuzi

MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZASERIKALI TANZANIA AKUTANA RAIS SHEIN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Tanzania Ludovick Utoh alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Tanzania Ludovick Utoh alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi baada ya mazungumzo yao.[Picha na Ikulu.]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani