JK AMUAPISHA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI PROFESA MUSA JUMA ASSAD LEO

Rais Jakaya Mrisho kikwete katika picha ya pamoja na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad na wafanyakazi wa ofisi ya CAG Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad na CAG Mstaafu Bw. Ludovick Utouh Ikulu jijini Dar es salaam leo.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi02 Dec
Profesa Mussa Juma Assad ateuliwa kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)


Taarifa iliyotolewa leo, Jumatatu, Desemba Mosi, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, inasema kuwa uteuzi wa Bwana Assad ulianza Novemba 5, mwaka huu, 2014. Taarifa hiyo imeongeza kuwa Bwana Assad ataapishwa kesho, Jumanne, Desemba 2, saa nne asubuhi, Ikulu, Dar es Salaam.
Kabla ya...
10 years ago
Dewji Blog01 Dec
Rais Kikwete amteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad (pichani) kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Taarifa iliyotolewa leo, Jumatatu, Desemba Mosi, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, inasema kuwa uteuzi wa Bwana Assad ulianza Novemba 5, mwaka huu, 2014.
Taarifa hiyo imeongeza kuwa Bwana Assad ataapishwa kesho, Jumanne, Desemba 2, saa nne asubuhi, Ikulu, Dar es Salaam.
Kabla ya uteuzi wake, Bwana...
10 years ago
MichuziMKAGUZI NA MDHIBITI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI,PROFESA JUMA ASSAD ATEMBELEA MAONYESHO YA UTUMISHI WA UMMA YANAYOENDELEA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR
10 years ago
Michuzi03 Dec
10 years ago
Vijimambo03 Dec
RAIS KIKWETE AMUAPISHA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI LEO IKULU



11 years ago
Michuzi.jpg)
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu za Serikali awasilisha bungeni ripoti ya ukaguzi
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
11 years ago
Michuzi.jpg)
MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZASERIKALI TANZANIA AKUTANA RAIS SHEIN
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Zitto Kabwe, MB27 Nov
TAARIFA YA KAMATI KUFUATIA MATOKEO YA UKAGUZI MAALUM WA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KATIKA AKAUNTI YA TEGETA ESCROW ILIYOKUWA KATIKA BENKI KUU YA TANZANIA
TAARIFA YA KAMATI KUFUATIA MATOKEO YA UKAGUZI MAALUM WA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KATIKA AKAUNTI YA TEGETA ESCROW ILIYOKUWA KATIKA BENKI KUU YA TANZANIA
View this document on Scribd
10 years ago
Michuzi
MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI MSTAAFU LUDOVICK UTOAH AAGWA.


