MKAGUZI NA MDHIBITI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI,PROFESA JUMA ASSAD ATEMBELEA MAONYESHO YA UTUMISHI WA UMMA YANAYOENDELEA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR
Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali,Profesa Juma Assad akisaini katika kitabu cha wageni katika banda la Mamlaka ya Udhibiti wa Chakula na Dawa (TFDA) katika viwanja wa Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo anayeshuhudia ni Meneja wa Mawasiliano TFDA,Gaudensia Simwanza.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Chakula na Dawa (TFDA).Hitt Sirro akimpa maelezo katibu Mkuu Kiongozi ,Balozi Ombeni Sefue (mwenye Kofia) katika Manonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Jijini Dar es...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWADAU WAENDELEA KUTEMBELEA BANDA LA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA YANAYOENDELEA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-rypkc2hBik0/VH2itVhQaQI/AAAAAAAG0xA/uAEEMJmUK1Q/s72-c/cag8.jpg)
JK AMUAPISHA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI PROFESA MUSA JUMA ASSAD LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-rypkc2hBik0/VH2itVhQaQI/AAAAAAAG0xA/uAEEMJmUK1Q/s1600/cag8.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-5vDV-Wx1ayU/VH2itJtHCmI/AAAAAAAG0w8/-e1p7PWEqTo/s1600/cag9.jpg)
10 years ago
Michuzi02 Dec
Profesa Mussa Juma Assad ateuliwa kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
![](https://2.bp.blogspot.com/-j0-E67quVHw/VHxu-JEV9MI/AAAAAAADJNQ/yDIj8THY26s/s1600/2.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-eGv-ufN1spI/VHxvRVpbjKI/AAAAAAADJNY/GqyrSZCfmek/s1600/Kurugenzi-ya-mawasiliano-ya-Ikulu.jpg)
Taarifa iliyotolewa leo, Jumatatu, Desemba Mosi, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, inasema kuwa uteuzi wa Bwana Assad ulianza Novemba 5, mwaka huu, 2014. Taarifa hiyo imeongeza kuwa Bwana Assad ataapishwa kesho, Jumanne, Desemba 2, saa nne asubuhi, Ikulu, Dar es Salaam.
Kabla ya...
10 years ago
Dewji Blog01 Dec
Rais Kikwete amteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad (pichani) kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Taarifa iliyotolewa leo, Jumatatu, Desemba Mosi, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, inasema kuwa uteuzi wa Bwana Assad ulianza Novemba 5, mwaka huu, 2014.
Taarifa hiyo imeongeza kuwa Bwana Assad ataapishwa kesho, Jumanne, Desemba 2, saa nne asubuhi, Ikulu, Dar es Salaam.
Kabla ya uteuzi wake, Bwana...
10 years ago
GPLMAMIA WAFURIKA BANDA LA NHIF, KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA BANDA LA WIZARA YAKE KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA
10 years ago
VijimamboBOHARI YA DAWA (MSD) YASHIRIKI MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
MichuziMAMIA WAFURIKA BANDA LA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF), KUPIMA AFYA ZAO KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR
10 years ago
MichuziWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI YASHIRIKI MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA YANAYOENDELEA KATIKA VIWANYA VYA MNAZI MMOJA
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.