Dk. Hussein ateuliwa kuwa mwenyekiti wa muda wa Bodi ya Wakurugenzi ya NBC
.jpg)
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imemteua Dk Kassim Hussein kuwa mwenyekiti wa muda wa bodi ya wakurugenzi.
Hatua hiyo imetokana na kuteuliwa kwa aliyekuwa mwenyekiti wa bodi ya benki hiyo, Profesa Mussa Assad, kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari iliyotolewa jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Muda wa NBC, Bwana Pius Tibazarwa alisema Dk Hussein atashika wadhifa wa uenyekiti wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AMTEUA PROFESA MBETTE KUWA MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI WA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA

Uteuzi huo ni kwa mujibu wa kifungu Na. 9 (4) (a) cha Sheria...
10 years ago
Michuzi
NATU RASHID MSUYA ATEULIWA KUWA MWENYEKITI WA BODI YA WADHAMINI YA MFUKO WA RAIS WA KUJITEGEMEA (PTF).

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Alhamisi, Oktoba 29, 2015 Ikulu, Dar es Salaam na Katibu Mkuu - Ikulu, Ndugu Peter Ilomo uteuzi huo ulianza Jumapili ya Oktoba 25 mwaka huu, 2015 na ni wa miaka mitatu.
Bibi...
10 years ago
Michuzi
UTEUZI WA MWENYEKITI NA WAJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI YA BODI YA KOROSHO TANZANIA

Aidha, Mhe. Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika amewateua wafuatao kuwa wajumbe wa Bodi hiyo ya Wakurugenzi kwa mujibu wa kifungu cha 4(1) cha Sheria ya Korosho ya mwaka 2009 (Sura ya 203 ya...
11 years ago
Tanzania Daima17 Oct
Balozi Maajar ateuliwa Mwenyekiti bodi ya BOA
BALOZI Mwanaidi Sinare Maajar ameteuliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Benki ya Afrika (BOA) na kuidhinishwa na Benki Kuu ya Tanzania. Kabla ya uteuzi huo, Balozi Maajar alikuwa mjumbe wa Bodi...
10 years ago
Michuzi
Balozi Juma Mwapachu awa Mwenyekiti Bodi ya Wakurugenzi Airtel Tanzania

Balozi Mwapachu ni Katibu Mkuu aliyepita wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, nafasi aliyoishika kati ya Aprili 2006 na Aprili 2011. Kabla ya uteuzi huu, Mwapachu alikuwa Balozi Mwakilishi Ufaransa na UNESCO.
Mwapachu ni mhitimu wa shahada ya...
5 years ago
Michuzi
ALIYEKUWA MWENYEKITI BODI YA WAKURUGENZI REA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA SERENGETI

Nyagoga ambaye amewahi kuwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi wa taasisi mbalimbali hapa Nchini, ametangaza nia ya kugombea nafasi hiyo jana kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi jana mjini...
10 years ago
BBCSwahili30 Jan
Mugabe ateuliwa kuwa mwenyekiti wa AU
11 years ago
Michuzi
Balozi Ami Mpungwe ateuliwa kuwa mwenyekiti wa (Chemba ya Madini na Nishati Tanzania)

Pamoja na kuwa Balozi mstaafu na kiongozi mzoefu wa sekta ya madini, Balozi Mpungwe, yupo katika nafasi nzuri ya kuiongoza Chemba kukua kiuongozi katika nafasi yake kama kioo cha sekta ya madini na kuwa kiunganishi...
10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AMTEUA DK. MIGHANDA MANYAHI KUWA MWENYEKITI MPYA WA BODI YA TANESCO

Kwa taarifa iliyotolewa leo na kwa vyombo vya habari na kusainiwa na Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini ilisema ,kufuatia uteuzi huo,Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amewateua Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TANESCO .
Wajumbe wa bodi walioteuliwa ni Kissa Vivian...