Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK amteua Natu Rashid Msuya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Rais wa Kujitegemea (PTF)

Ikulu-tz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Natu Rashid Msuya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Rais wa Kujitegemea (PTF).

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Alhamisi, Oktoba 29, 2015 Ikulu, Dar es Salaam na Katibu Mkuu – Ikulu, Ndugu Peter Ilomo uteuzi huo ulianza Jumapili ya Oktoba 25 mwaka huu, 2015 na ni wa miaka mitatu.

Bibi Natu Msuya ni Mshauri wa Wanafunzi, Chuo Kikuu Kishiriki cha DUCE cha Dar es Salaam.

Imetolewa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

NATU RASHID MSUYA ATEULIWA KUWA MWENYEKITI WA BODI YA WADHAMINI YA MFUKO WA RAIS WA KUJITEGEMEA (PTF).

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Natu Rashid Msuya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Rais wa Kujitegemea (PTF).


Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Alhamisi, Oktoba 29, 2015 Ikulu, Dar es Salaam na Katibu Mkuu - Ikulu, Ndugu Peter Ilomo uteuzi huo ulianza Jumapili ya Oktoba 25 mwaka huu, 2015 na ni wa miaka mitatu.


Bibi...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AMTEUA DK. MIGHANDA MANYAHI KUWA MWENYEKITI MPYA WA BODI YA TANESCO

Na Chalila KibudaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Dk.Mighanda Manyahi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO).
Kwa taarifa iliyotolewa leo na kwa vyombo vya habari  na kusainiwa na Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini ilisema ,kufuatia uteuzi huo,Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter  Muhongo amewateua Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TANESCO .
Wajumbe wa bodi walioteuliwa ni Kissa Vivian...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AMTEUA PROFESA MBETTE KUWA MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI WA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAWASILIANO SAYANSI NA TEKNOLOJIA TAARIFA KWA UMMA UTEUZI WA MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI WA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA         Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Prof. Tolly Salvatory Augustin Mbwette  kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kwa kipindi cha miaka miaka mitatu kuanzia tarehe 12 Oktoba 2015. 


Uteuzi huo ni kwa mujibu wa kifungu Na. 9 (4) (a) cha Sheria...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete amteua Diwani Msuya kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai

DSC00265

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani  Athumani Msuya (pichani), kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai (Director of Criminal Investigation).

Kabla ya uteuzi huu CP Msuya alikuwa Kaimu Kamishna wa kamisheni ya Intelijensia ya Jinai. CP Msuya anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Robert S. Manumba ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria.

Rais Kikwete pia amemteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete amteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai, pia amteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola kuongoza Idara ya Intelijensia ya Jinai

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani  Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai (Director of Criminal Investigation).
Kabla ya uteuzi huu CP Msuya alikuwa Kaimu Kamishna wa kamisheni ya Intelijensia ya Jinai. CP Msuya anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Robert S. Manumba ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria.
Rais Kikwete pia amemteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani