Rais Buhari asifia jeshi lake
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amesema jeshi la nchi yake liimepata mafanikio katika mapambano dhidi ya wanamgambo wa Boko Haram
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili12 Nov
Buhari atangaza baraza lake la mawaziri
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari hatimaye ametangaza wizara na mawaziri watakaozisimamia, miezi saba baada yake kushinda uchaguzi wa urais.
10 years ago
Habarileo10 Aug
Magufuli asifia uongozi wa Rais Kikwete
WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli amesema Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, amekiongoza chama hicho kwa misingi imara iliyodumisha umoja na mshikamano. Amesema iwapo Watanzania watamchagua kuwa rais, atasimamia ilani ya uchaguzi ijayo na kwamba hatawaangusha.
10 years ago
BBCSwahili01 Apr
Rais wa Nigeria ni Muhhamadu Buhari
Goodluck amekiri kushindwa katika uchaguzi huo ulioshuhudia ushindani mkali
10 years ago
BBCSwahili29 May
Buhari ameapishwa kuwa rais wa Nigeria
Viongozi kutoka kote duniani wamewasili Abuja Nigeria kushuhudia kuapishwa kwa rais mpya wa Nigeria jenerali Muhammadu Buhari
9 years ago
BBCSwahili04 Sep
Rais Buhari atangaza utajiri wake
Rais wa Nigeria ametangaza ana $150,000 kwenye benki, hatua hiyo ya kutangaza utajiri wake ikilenga kuendeleza uwazi serikalini.
9 years ago
BBCSwahili04 Sep
Siku 100, Rais Buhari amefanikiwa?
Rais wa Nigeria,Muhammadu Buhari aliahidi kumaliza changamoto ya ugaidi na vitendo vya rushwa nchini mwake
10 years ago
BBCSwahili06 Dec
Uingereza kuweka jeshi lake Bahrain
Uingereza imesaini makubaliano na Bahrain ya kujenga kituo cha jeshi la wanamaji nchini humo.
11 years ago
BBCSwahili27 Jun
Uingereza yaomba ruhusa ya jeshi lake
Uingereza imesema kuwa inafanya mazungumzo na kenya ili kutatua mzozo kuhusu mafunzo ya wanajeshi wake nchini humo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania