Uingereza yaomba ruhusa ya jeshi lake
Uingereza imesema kuwa inafanya mazungumzo na kenya ili kutatua mzozo kuhusu mafunzo ya wanajeshi wake nchini humo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili06 Dec
Uingereza kuweka jeshi lake Bahrain
9 years ago
BBCSwahili08 Sep
Rais Buhari asifia jeshi lake
9 years ago
BBCSwahili12 Oct
Uganda kuondoa jeshi lake Sudan K
9 years ago
BBCSwahili09 Dec
Jeshi la Uingereza kufanya mazoezi Kenya
9 years ago
BBCSwahili30 Oct
Uganda imeondoa jeshi lake Sudan Kusini
10 years ago
BBCSwahili03 Jul
Lazima ruhusa ya kushika mimba Uchina
10 years ago
BBCSwahili14 Feb
Zuma: hakuna ruhusa mgeni kumiliki ardhi
9 years ago
StarTV24 Nov
Waajiri wakumbushwa kutoa ruhusa kwa Michezo Ya Shimuta. Â
Michuano ya SHIMUTA inayohusisha wafanyakazi wa mashirika ya umma, kampuni za watu binafsi na taasisi zilizopo hapa nchini imezinduliwa rasmi mkoani Arusha huku washiriki wakiwataka waajiri kuwaruhusu wafanyakazi kushiriki katika michezo.
Washiriki hao wameeleza sababu ya baadhi ya waajiri wasio na mapenzi na michezo kushindwa kutoa hamasa sehemu za kazi kwa kutokujua faida zitokanazo na michezo.
Ni wajibu wa viongozi kuinua na kuendeleza michezo mahala pa kazi “ni kauli mbiu yenye...
5 years ago
MichuziHatimaye Mjane na watoto wapewa ruhusa kuendelea kuchimba mgodi wa Ulomi.
Mjane wa bilionea Jubilate Ulomi, Zainabu Mkwama na watoto wake wamepewa haki kuendelea kuchimbaji madini ya tanzanite katika mgodi wa bilionea huyo na kutupwa maombi ya kusimamishwa uchimbaji.
Mdogo wa bilionea huyo,Werandumi Ulomi alikuwa amewasilisha maombi ya kutaka kusitishwa uchimbaji huku akidai yeye alikuwa anamiliki mgodi na...