Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zuma: hakuna ruhusa mgeni kumiliki ardhi

Rais Zuma ataka pendekeza kuwa wageni wasiruhusiwe kumiliki ardhi Afrika Kusini ili Waafrika wapate nafasi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

CELG yajizatiti kutoa elimu ya kumiliki ardhi

UKOSEFU wa elimu ya sheria ya ardhi na haki ya kumiliki ni moja ya changamoto inayowakabili Watanzania wengi, hali inayoibua migogoro ya mara kwa mara. Hali hiyo pia inachangiwa kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

JANE MAGIGITA: Alipigania wanawake kumiliki ardhi

WIKI hii Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Equality for Growth (EfG), Jane Magigita, ametunukiwa na Ubalozi wa Marekani nchini Tuzo ya Dk. Martin Luther King. Tuzo hiyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Hakuna mmiliki mgogoro wa ardhi Kiwangwa’

WAKATI mgogoro wa ardhi ya mwekezaji Ester Shayo iliyoporwa na Kombo Juma, anayedai amepewa na Rais Jakaya Kikwete ukiendelea, Mwenyekiti wa zamani wa Kijiji cha Kiwangwa, Salimu Adamu, amesema wote...

 

10 years ago

Mwananchi

Sofu: Bila uhakika wa ardhi hakuna Katiba mpya

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Veronika Sofu ameitahadharisha Serikali kuwa isipoingiza suala la ardhi katika Rasimu ya Katiba, wananchi hawataipitisha wakati wa kupiga kura ya maoni.

 

5 years ago

Michuzi

MGENI, MGENII MGENI HUYU MGENI, ANAUA WAZEE, VIJANA MPAKA WATOTO

Charles James, Michuzi TVMWANZONI mwa miaka ya 2000 Lejendi wa Muziki, Marehemu Kapteni John Komba na Bendi yake ya TOT waliingia 'booth' kurekodi ngoma waliyoipa jina la Mgeni.
Mgeni ulikua ni wimbo ambao ulimuelezea mgeni (Ukimwi) ambaye alikua ameingia kwa kasi nchini huku akiua watu kwa fujo. Wazee, Vijana hadi Watoto walikua wahanga wa mgeni huyu. 
Sogea hapa; Mwishoni mwa mwaka jana, Desemba 31, 2019 watu walikesha wakifurahia kuuaga mwaka huo na kuukaribisha mwaka mpya wa 2020.
Watu...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA ARDHI,NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI ANGELA KAIRUKI MGENI RASMI SIKU YA WAJANE DUNIANI ITAKAYOFANYIKAJUNI 23 MWAKA HUU.

Mwenyekiti  wa  Chama cha Wajane Tanzania, Rose Sarwatt akizungumza na waandishi  wa habari hawapo pichani  juu maazimisho siku ya wajane Duniani itakayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jeshini jijini Dar es Salaam Juni 23 mwaka huu. Maadhimisho hayo yatalenga  kusaidia wajane kisheria, kupata elimu pale wanapo kwama  kushawishi  jamii kuandaa wosia ili kupunguza  au kuondoa usumbusu. Kulia ni  Katibu Chama cha Wajane Tanzania John Shabani  mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Uingereza yaomba ruhusa ya jeshi lake

Uingereza imesema kuwa inafanya mazungumzo na kenya ili kutatua mzozo kuhusu mafunzo ya wanajeshi wake nchini humo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Lazima ruhusa ya kushika mimba Uchina

Wanawake walio kwenye ndoa sharti kupata kibali cha kushika mimba, la sivyo wanatozwa faini na adhabu nyingine.

 

9 years ago

StarTV

Waajiri wakumbushwa kutoa ruhusa kwa Michezo Ya Shimuta.  

 

 

Michuano ya SHIMUTA inayohusisha wafanyakazi wa mashirika ya umma, kampuni za watu binafsi na taasisi zilizopo  hapa nchini imezinduliwa rasmi mkoani Arusha  huku washiriki wakiwataka waajiri kuwaruhusu wafanyakazi kushiriki katika michezo.

Washiriki hao wameeleza sababu ya baadhi ya waajiri wasio na mapenzi na michezo kushindwa kutoa hamasa sehemu za kazi kwa kutokujua faida zitokanazo na michezo.

 Ni wajibu wa viongozi kuinua na kuendeleza michezo mahala pa kazi “ni kauli mbiu yenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani