‘Hakuna mmiliki mgogoro wa ardhi Kiwangwa’
WAKATI mgogoro wa ardhi ya mwekezaji Ester Shayo iliyoporwa na Kombo Juma, anayedai amepewa na Rais Jakaya Kikwete ukiendelea, Mwenyekiti wa zamani wa Kijiji cha Kiwangwa, Salimu Adamu, amesema wote...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima08 May
Wakazi wa Kiwangwa ithaminini ardhi yenu
WAKATI Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, ikishika kasi ya maendeleo kutokana na upanuzi wa miundombinu, Kata Kiwangwa imejikuta ikiingia kwenye mgogoro wa uuzaji ardhi. Migogoro hiyo inatokana na wenyeji wa...
9 years ago
Dewji Blog22 Sep
Wizara ya Ardhi yawatangazia umma kuwasilisha malalamiko ya mgogoro ya Ardhi mkoa wa Dar
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Lukuvi.
WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI INAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA MHE. WAZIRI WA ARDHI ATAPOKEA MALALAMIKO YA WANANCHI WENYE MIGOGORO INAYOHUSU ARDHI KATIKA MKOA WA DAR ES SALAAM TAREHE 22 – 23, SEPTEMBA, 2015 KUANZIA SAA 4.00 ASUBUHI MAKAO MAKUU YA WIZARA. KATIKA TUKIO HILO, MNATAKIWA KUZINGATIA YAFUATAYO;-
1.TAREHE 22 SEPTEMBA 2015 ATAPOKEA MALALAMIKO YA WANANCHI KWA MANISPAA YA KINONDONI;
2.TAREHE...
10 years ago
Mwananchi29 Jan
Haki za mmiliki wa ardhi kisheria
10 years ago
Mwananchi05 Feb
Haki za mmiliki wa ardhi kisheria-2
11 years ago
BBCSwahili13 Jan
7 wauawa kwenye mgogoro wa ardhi TZ
10 years ago
Habarileo16 Jan
RC kumaliza mgogoro wa ardhi Nyakato
KATIKA kukabiliana na mgogoro wa ardhi katika eneo la Mahangu C kata ya Nyakato wilayani Ilemela, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo ameahidi kupeleka wataalamu wengine kwa ajilii ya kufanya uhakiki mpya.
10 years ago
Tanzania Daima04 Dec
Tume yaundwa mgogoro wa ardhi Ndarakwai
SERIKALI imeunda Tume ya Maridhiano itakayoshughulikia chanzo cha mgogoro baina ya mwekezaji wa Ndarakwai na wafugaji wa kimasai walivamia na kuchoma moto nyumba 16 katika shamba la mwekezaji huyo mwezi...
10 years ago
Mwananchi18 Jan
Miaka 20 mgogoro wa ardhi Loliondo imetosha
10 years ago
Habarileo04 Jun
Mgogoro mwingine wa ardhi wazuka Arumeru
SAKATA la migogoro ya ardhi katika wilaya ya Arumeru mkoani Arusha imekuwa ikichukua sura mpya kila kukicha, sasa kumeibuka mgogoro mwingine wa kugombea mpaka kati ya Kijiji cha Olkung’wadu wilayani humo na kijiji cha Lekimurunyi cha wilayani Siha, Mkoani Kilimanjaro.