Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miaka 20 mgogoro wa ardhi Loliondo imetosha

Ni zaidi ya miaka 20 sasa imepita bila mgogoro wa ardhi katika eneo la Pori Tengefu la Loliondo Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha kupatiwa ufumbuzi wa kudumu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NYALANDU ATINGA LOLIONDO KUJADILIANA NA MADIWANI KUHUSIANA NA MGOGORO WA ARDHI KATIKA MAENO HAYO

  Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akisalimiana na baadhi aya madiwani wa Loliondo juzi alipokwenda kujadiliana nao kuhusu mgogoro wa ardhi katika maeneo hayo. Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ngorongoro, Raphael ong'oi akizungumza wakati ea kikao na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kujaduli mgogoro wa ardhi Loliondo.Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akiw ana mkuu wa wilaya ya Loliondo EliasLala lawai alipowasili katika ueanja wa ndege wa Waso,...

 

10 years ago

Vijimambo

MGOGORO WA ARDHI ULIODUMU KWA MIAKA 15 BILA UTATUZI WAMALIZWA NA MH.LUKUVI.

Hatimaye mgogoro wa ardhi wa zaidi hekta 200 baina ya wananchi wa chasimba na uongozi wa kiwanda cha saruji cha Twiga umemalizwa na waziri wa nyumba na maendeleo ya makazi Mhe.Wiliam Lukuvi akitangaza kubadili matumizi ya ardhi hiyo kuwa ya makazi yao kutoka mikononi kiwanda kama eneo la kuchimba madini.

Waziri Lukuvi ambaye ameandika historia katika mgogoro huo uliodumu kwa zaidi ya miaka 15 alifuatana na uongozi wa kiwanda,manispaa Kinondoni,Tanesco,mbunge wa kawe idara ya maji,piolisi na...

 

10 years ago

Habarileo

Kamala: Mgogoro Loliondo unashughulikiwa na Serikali

BALOZI wa Tanzania nchini Ubelgiji, Dk Diodorus Kamala ameliambia baraza la mabalozi wa nchi za kundi la Afrika, Caribbean na Pasifiki (ACP) kuwa Serikali ya Tanzania imeanza kuchukua hatua za kutatua mgogoro wa ardhi katika eneo la Loliondo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Ardhi yawatangazia umma kuwasilisha malalamiko ya mgogoro ya Ardhi mkoa wa Dar

IMG-20141114-WA0009

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Lukuvi.

WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI INAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA MHE. WAZIRI WA ARDHI ATAPOKEA MALALAMIKO YA WANANCHI WENYE MIGOGORO INAYOHUSU ARDHI KATIKA MKOA WA DAR ES SALAAM TAREHE 22 – 23, SEPTEMBA, 2015 KUANZIA SAA 4.00 ASUBUHI MAKAO MAKUU YA WIZARA. KATIKA TUKIO HILO, MNATAKIWA KUZINGATIA YAFUATAYO;-

1.TAREHE 22 SEPTEMBA 2015 ATAPOKEA MALALAMIKO YA WANANCHI KWA MANISPAA YA KINONDONI;

2.TAREHE...

 

10 years ago

Vijimambo

Sakata la ardhi Loliondo: Wafugaji sasa watishia kuinyima kura CCM

Mwenyekiti wa Halmashauri ya CCM Wilaya ya Ngorongo, Mkoa wa Arusha, pamoja na madiwani wake wamesema wamechoka kwa vitendo vya usumbufu, unyanyasaji na kuishi maisha yasiyoeleweka kufuatia hatua ya Waziri wa Maliasili na Utalii kutaka kutwaa ardhi yao.

Wamesema malengo hayo ya waziri yakitekelezwa wapo tayari kurudisha kadi zote za CCM na kuwaeleza wananchi wao katu wasiwapigie kura wagombea wote wa chama hicho.

Walisema serikali kupitia Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu,...

 

11 years ago

BBCSwahili

7 wauawa kwenye mgogoro wa ardhi TZ

Watu saba wameuwa na wengine wamejeruhiwa katika mapigano ya jamii za wakulima na Wafugaji mkoani Manyara nchini Tanzania.

 

10 years ago

Habarileo

RC kumaliza mgogoro wa ardhi Nyakato

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo.KATIKA kukabiliana na mgogoro wa ardhi katika eneo la Mahangu C kata ya Nyakato wilayani Ilemela, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo ameahidi kupeleka wataalamu wengine kwa ajilii ya kufanya uhakiki mpya.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tume yaundwa mgogoro wa ardhi Ndarakwai

SERIKALI imeunda Tume ya Maridhiano itakayoshughulikia chanzo cha mgogoro baina ya mwekezaji wa Ndarakwai na wafugaji wa kimasai walivamia na kuchoma moto nyumba 16 katika shamba la mwekezaji huyo mwezi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani