MGENI, MGENII MGENI HUYU MGENI, ANAUA WAZEE, VIJANA MPAKA WATOTO
![](https://1.bp.blogspot.com/-__roV-ZxewA/XpgoLIUgx4I/AAAAAAALnJg/8C-8SeBuCBI3rDD-4464LcP5aVaWm-EYwCLcBGAsYHQ/s72-c/_111266929_corona.png)
Charles James, Michuzi TVMWANZONI mwa miaka ya 2000 Lejendi wa Muziki, Marehemu Kapteni John Komba na Bendi yake ya TOT waliingia 'booth' kurekodi ngoma waliyoipa jina la Mgeni.
Mgeni ulikua ni wimbo ambao ulimuelezea mgeni (Ukimwi) ambaye alikua ameingia kwa kasi nchini huku akiua watu kwa fujo. Wazee, Vijana hadi Watoto walikua wahanga wa mgeni huyu.
Sogea hapa; Mwishoni mwa mwaka jana, Desemba 31, 2019 watu walikesha wakifurahia kuuaga mwaka huo na kuukaribisha mwaka mpya wa 2020.
Watu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog14 Jan
Bilal mgeni rasmi majadiliano ya Vijana Malengo ya Milenia baada ya 2015
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dr. Mohamed Gharib Bilal.
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dr. Mohamed Gharib Bilal ataungana na taasisi ya ONE pamoja na Restless Development katika majadiliano na vijana walio na miaka 15 ikiwa na lengo la kuwapa nafasi vijana kutoa mawazo yao kwa watunga sera namna ambavyo wanatarajia vipaumbele vyao vya maendeleo viwe ili wawe na ustawi mzuri ifikapo mwaka 2030.
Majadiliano hayo ambayo ni sehemu ya ‘action2015’, ikiwa ni msukumo kutoka kwa wananchi unaoendeshwa...
11 years ago
Dewji Blog08 Aug
Makamu wa Rais Dkt. Bilal Mgeni rasmi mkutano wa wanasayansi vijana duniani
Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal.
Na Rose Masaka, MAELEZO
Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal anatarajia kuwa mgeni rasmi wa kongamano la wanasayansi vijana duniani linalotajiwa kufanyika Jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 11 hadi 14 Agosti mwaka huu.
Lengo la kongamano hilo ni kubuni mikakati na mipango ya pamoja katika tansia ya jiolojia ya madini hususani maendeleo na usimamizi rasilimali hizo kwa manufaa ya ukuaji uchumi na fursa kwa nchi husikak, ambapo jumla ya Mataifa 40...
11 years ago
Dewji Blog11 Jun
Mama Salma Kikwete mgeni rasmi kwenye tamasha la kwanza la vitabu vya hadithi kwa watoto wa shule za msingi
Baadhi ya watoto wa shule za msingi jijini Dar wakifanya mazoezi ya maigizo kwa ajili ya tamasha la kesho kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa.
Na Mwandishi wetu
WANAFUNZI wa shule za Msingi nchini, wameshauriwa kuwa na mazoea ya kusoma vitabu kwa lengo la kuwa wagunduzi wa vitu mbalimbali.
Akizungumza jijini Dar es Salaam,Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Soma, Demere Kitunga wakati wa maandalizi ya tamasha la kwanza la vitabu vya hadithi kwa watoto wa Shule za msingi.
Kitunga amesema...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/06/DSC_0481.jpg)
MAMA SALMA KIKWETE MGENI RASMI KWENYE TAMASHA LA KWANZA LA VITABU VYA HADITHI KWA WATOTO WA SHULE ZA MSINGI
9 years ago
Habarileo28 Sep
JK mgeni rasmi Tamasha la Amani
RAIS Jakaya Kikwete amekubali kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Kuombea Amani nchini litakalofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Jumapili wiki hii. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama, Rais Kikwete amekubali kuwa mgeni rasmi siku hiyo katika tamasha la kuombea amani Tanzania kuelekea katika Uchaguzi Mkuu mwezi ujao.
10 years ago
Mwananchi21 Aug
Kikwete mgeni rasmi Feasssa
10 years ago
Habarileo03 Apr
JK mgeni rasmi mkutano wa ALAT
RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) utakaokwenda sambamba na maadhimisho ya miaka 30 ya jumuiya hiyo, kwa kupokea maandamano na pia kutoa tuzo kwa viongozi bora wa Serikali za Mitaa nchini.
10 years ago
Habarileo26 May
JK mgeni rasmi Siku ya Ualbino
RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Siku ya Kimataifa ya Ualbino Duniani, inayotarajiwa kufanyika kwa siku tano kuanzia Juni 9 katika Viwanja vya Shekhe Amri Abeid, Arusha.
10 years ago
Habarileo25 Jun
JK mgeni siku ya dawa za kulevya
RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani, yatakayo fanyika kitaifa kesho, wilayani Bagamoyo mkoani Pwani.