Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bilal mgeni rasmi majadiliano ya Vijana Malengo ya Milenia baada ya 2015

Mohamed-Gharib-Bilal

Makamu wa Rais wa Tanzania, Dr. Mohamed Gharib Bilal.

Makamu wa Rais wa Tanzania, Dr. Mohamed Gharib Bilal ataungana na taasisi ya ONE pamoja na Restless Development katika majadiliano na vijana walio na miaka 15 ikiwa na lengo la kuwapa nafasi vijana kutoa mawazo yao kwa watunga sera namna ambavyo  wanatarajia vipaumbele vyao vya maendeleo viwe ili wawe na ustawi mzuri ifikapo mwaka 2030.

Majadiliano hayo ambayo ni sehemu ya ‘action2015’, ikiwa ni msukumo kutoka kwa wananchi unaoendeshwa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal Mgeni rasmi mkutano wa wanasayansi vijana duniani

dsc_0189

Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal.

Na Rose Masaka, MAELEZO

Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal anatarajia kuwa mgeni rasmi wa kongamano la wanasayansi vijana duniani linalotajiwa kufanyika Jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 11 hadi 14 Agosti mwaka huu.

Lengo la kongamano hilo ni kubuni mikakati na mipango ya pamoja katika tansia ya jiolojia ya madini hususani maendeleo na usimamizi rasilimali hizo kwa manufaa ya ukuaji uchumi na fursa kwa nchi husikak, ambapo jumla ya Mataifa 40...

 

10 years ago

Habarileo

Bilal mgeni rasmi harambee ya yatima

MAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Gharib Billal (pichani) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye harambee ya ujenzi wa kituo cha watoto yatima cha New hope Family.

 

9 years ago

Habarileo

Bilal mgeni rasmi sherehe za Idd leo

BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limetangaza kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya sherehe za Idd El Hajj leo yanayofanyika kitaifa mkoani Mara ni Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal.

 

10 years ago

StarTV

Dk. Bilal mgeni rasmi mkesha wa mwaka mpya.

Na Grace Semfuko,

Dar Es Salaam.

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Gharib Bilal anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye Mkesha maalum wa mwaka mpya utakaofanyika Desemba 31 Jijini Dar Es Salaam kwa ajili ya kuliombea Taifa amani na utulivu kwa mwaka ujao wa 2015.

 

Mkesha huo ulioandaliwa na kamati maalum ya mikesha ya mwaka mpya tayari maandalizi yake yamekamilika ambapo pia utafanyika kwenye mikoa mingine 16 Nchini na wakuu wa mikoa hiyo watakuwa wageni...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Dk Bilal mgeni rasmi tamasha la MOWE leo


NA EMMANUEL MOHAMED
MAKAMU wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la wanawake wajasiriamali mali (MOWE), litakalofanyika leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es salaam.  

Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mwenyekiti wa tamasha hilo, Helihaka Mrema, alisema tamasha hilo lina lengo la kuwakutanisha wajasiriamali hao na wadau mbalimbali ili kuboresha ubora wa bidhaa zao kwa lengo la kukidhi haja ya masoko ya ndani na nje.
Helihaka alisema tamasha...

 

10 years ago

Habarileo

Bilal mgeni rasmi tuzo kwa kampuni bora

Makamu wa Rais, Dk Ghalib BilalMAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya kutoa tuzo kwa kampuni bora kwa mwaka 2014.

 

11 years ago

Michuzi

DKT BILAL MGENI RASMI UZINDUZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU

Na Concilia Niyibitanga MAELEZO 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Gharib Bilal, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2014, katika uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba, mkoani Kagera Mei tarehe 2. Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara wakati akiongea na Waandishi wa Habari Mjini Bukoba kuhusu Mbio hizo.
Mwenge huo utakaobeba ujumbe usemao “Katiba ni Sheria Kuu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani