Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hatimaye Mjane na watoto wapewa ruhusa kuendelea kuchimba mgodi wa Ulomi.

Mjane Zainabu Mkwama na mtoto wa marehemu Mume wake Julius Olomi wakiwa mahakamani Wiki iliyopita wakipinga kutaka kuondolewa katika usimamizi wa mirathi

Mjane wa bilionea Jubilate Ulomi, Zainabu Mkwama na watoto wake wamepewa haki kuendelea kuchimbaji madini ya tanzanite katika mgodi wa bilionea huyo na kutupwa maombi ya kusimamishwa uchimbaji.

Mdogo wa bilionea huyo,Werandumi Ulomi alikuwa amewasilisha maombi ya kutaka kusitishwa uchimbaji huku akidai yeye alikuwa anamiliki mgodi na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KESI YA KUGOMBEA MALI ZA BILIONEA ULOMI YARUDI MAHAKAMANI KUTAKA MJANE AONDOLEWE

Mjane Zainabu Mkwama na mtoto wa marehemu Mume wake Julius Olomi wakiwa mahakamani wakipinga kutaka kuondolewa katika usimamizi wa mirathi**** Na Mwandishi wetu,KESI ya kugombea mali za marehemu bilionea  Jubilate Olomi imerejeshwa tena mahakamani kuu Kanda ya Moshi,baada ya mdogo bilionea huyo, Werandumi Ulomi kuomba Mjane wa bilionea huyo,Zainabu Mkwama kuondolewa kusimamia mirathi.
Werandumi kupitia Wakili wake,Joseph Ngiloi amewasilisha maombi ya dharura mahakama kuu kanda ya Moshi,kuomba...

 

11 years ago

GPL

HATIMAYE WALEMAVU WAPEWA ENEO LA KUFANYIA BIASHARA

Bw. David Nyendo, mlemavu ambaye pia ni Mkurugenzi wa Haki za Binadamu na Maendeleo ya Kiuchumi kwa walemavu akisisitiza jambo katika eneo walilopewa. Mlemavu akisikiliza jambo. Baadhi ya walemavu wakiwa katika eneo…

 

10 years ago

Dewji Blog

Wafanyakazi wa mgodi wa North Mara wapewa tuzo za umahiri 2014, kwa umakini na uwajibikaji kazini

Chapman_tuzo

Meneja Mkuu wa Mgodi wa North Mara, Gary Chapman, akionyesha wafanyakazi wenzake wa mgodi huo, tuzo ya umahiri ya mwaka 2014, (Excellence Awards 2014), waliyonyakua kwa kuwa mgodi wenye kuzingatia usalama kwa kiwango cha juu, wakati wa utoaji tuzo hizo awamu ya pili iliyofganyika kwenye mgodi huo Jumanne usiku Machi 23, 2015.

Chapman_Albert_Le poer trench

Meneja mkuu wa mgodi wa North Mara, Gary Chapman, (kushoto), akishuhudia wakati Le Poer Trench, (katikati) na Albert Rudman, wakionyesha tuzo za umahiri za mwaka...

 

10 years ago

Mwananchi

Kapteni Komba afariki, aacha mjane na watoto 11

Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mkurugenzi wa Kikundi cha Tanzania One Theatre (TOT) Kepteni John Komba amefariki dunia leo alipokuwa akipelekwa katika hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam baada ya kuzidiwa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Watoto wapewa jina la Papa Kenya

Akina mama kadhaa katika mji wa Kakamega uliopo magharibi mwa Kenya wameamua kuwaita watoto wao jina la Papa Francis.

 

10 years ago

Habarileo

Watoto yatima Temeke wapewa vyakula, nguo

SHIRIKA lisilo la kiserikali la Save Vulnerable Foundition (SVF), linalojishughulisha na kusaidia watu wanaoishi kwenye mazingira magumu, limetoa msaada wa vyakula, nguo na mafuta ya kula kwa watoto yatima wanaoishi kwenye kituo cha Yatima Group Trust Fund kilichopo Chamazi Manispaa ya Temeke.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watoto wanaoishi mazingira hatarishi wapewa ujuzi

HALMASHAURI zote nchini, zimetakiwa kuona umuhimu wa kutenga fedha katika bajeti zao ili kuweza kusomesha watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi, pia wale ambao hawana malezi maalumu. Ushauri huo umetolewa juzi...

 

5 years ago

Michuzi

Wananchi Wapewa Mbinu za Kuwachuja Wagombea 2020 Kupitia Huduma kwa Watoto


Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akisalimiana na wananfunzi wa shule ya Sekondari Kizwite kabla ya kuwazawadia fedha baada ya kutumbuiza kwa wito unaohamasisha ilinzi kwa watoto katika sherehe za uzinduzi wa Mkakati wa Miaka mitano (2020 – 2025) wa kukabiliana na mimba za utotoni mkoa wa Rukwa.
Wanafunzi wa shule ya Msingi majengo wakitoa burudani mbele ya mgeni rasmi mkuu wa mkoa wa Rukwa (hayupo pichani) kwa wimbo wao wa kuhamasisha kumjali na kumpatia haki mtoto katika ...

 

11 years ago

Michuzi

WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU WA KITUO CHA CHILD IN THE SUN WAPEWA MSAADA WA VIFAA VYA SHULE NA TCAA

Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)Ally CHangwila akimkabidhi msaada wa Madaftari na vyakula mbalimbali Samson Ali (12) ambaye ni mmoja wa watoto waishio katika mazingira magumu ambao hivi sasa wanalelewa katika Kituo cha Child In The Sun kilichopo Manzese Dar es Salaam kituo hicho kinachomilikiwa na Kanisa Katoliki.watoto hao wanapatikana kwa kukusanywa mitaani. Mwalimu wa Kituo cha Kulea watoto waishio katika mazingira Magumu cha Child In The Sun kilichopo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani