KESI YA KUGOMBEA MALI ZA BILIONEA ULOMI YARUDI MAHAKAMANI KUTAKA MJANE AONDOLEWE
![](https://1.bp.blogspot.com/-4pDIlFMgD1g/Xl4xKhWGoXI/AAAAAAABDUk/Tq8x9JPm4nUOWXnLVF2kZQVI6mIzHKlQQCLcBGAsYHQ/s72-c/a4f38e2e-4965-4006-84e3-37ff0f45673a.jpg)
Mjane Zainabu Mkwama na mtoto wa marehemu Mume wake Julius Olomi wakiwa mahakamani wakipinga kutaka kuondolewa katika usimamizi wa mirathi**** Na Mwandishi wetu,KESI ya kugombea mali za marehemu bilionea Jubilate Olomi imerejeshwa tena mahakamani kuu Kanda ya Moshi,baada ya mdogo bilionea huyo, Werandumi Ulomi kuomba Mjane wa bilionea huyo,Zainabu Mkwama kuondolewa kusimamia mirathi.
Werandumi kupitia Wakili wake,Joseph Ngiloi amewasilisha maombi ya dharura mahakama kuu kanda ya Moshi,kuomba...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-x__ggAuJpM0/XpoJ_DDdPWI/AAAAAAALnRk/4R_mTFTJzhgHmkwSwBz9Q26KkEcPiMyZQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200408-WA0290.jpg)
Hatimaye Mjane na watoto wapewa ruhusa kuendelea kuchimba mgodi wa Ulomi.
![](https://1.bp.blogspot.com/-x__ggAuJpM0/XpoJ_DDdPWI/AAAAAAALnRk/4R_mTFTJzhgHmkwSwBz9Q26KkEcPiMyZQCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200408-WA0290.jpg)
Mjane wa bilionea Jubilate Ulomi, Zainabu Mkwama na watoto wake wamepewa haki kuendelea kuchimbaji madini ya tanzanite katika mgodi wa bilionea huyo na kutupwa maombi ya kusimamishwa uchimbaji.
Mdogo wa bilionea huyo,Werandumi Ulomi alikuwa amewasilisha maombi ya kutaka kusitishwa uchimbaji huku akidai yeye alikuwa anamiliki mgodi na...
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Baada ya headlines za bilionea wa 24 Afrika kutaka kuinunua klabu ya Simba, hii ndio kauli rasmi ya Simba …
Baada ya stori nyingi kuingia katika headlines kwa siku za hivi karibuni kuhusu uamuzi wa moja kati ya mabilionea wa Afrika kutaka kuinunua klabu ya Simba, mengi yameandikwa na mengi yameongewa, najua unahitaji kufahamu kuhusu stori za bilionea Mohamed Dewji ambaye maarufu kama MO kuweka bayana dhamira yake ya kutaka kuinunua Simba kupitia kipindi cha […]
The post Baada ya headlines za bilionea wa 24 Afrika kutaka kuinunua klabu ya Simba, hii ndio kauli rasmi ya Simba … appeared first on...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mrjGDDFzeeGD3wiJOr9QeaC6FTs46HDdunM9Egwz4usB*N-pmkP0nKp6GOFtUWElLUgbczQlcue8tyqBP4PIAQvIBJCee7BP/mali.jpg)
MALI ZA BILIONEA ZAZUA TAFRANI BAADA YA KUFARIKI DUNIA
10 years ago
GPLKESI BILIONEA WA UNGA YAPIGWA KALENDA
9 years ago
Mwananchi05 Oct
Kesi ya bilionea Msuya kuanza kunguruma leo
9 years ago
Mtanzania20 Oct
Mawakili wakata rufaa kesi ya bilionea Msuya
NA SAFINA SARWATT, MOSHI.
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Moshi imeahirisha kesi ya mauaji ya bilionea Erasto Msuya, baada ya upande wa utetezi kukata rufaa kutokana na kutoridhishwa na uamuzi uliotolewa wa kutupilia mbali ombi lao la kutopokewa kwa maelezo ya mshtakiwa wa tatu.
Upande wa utetezi unaongozwa na jopo la mawakili wanne ambao ni Hudson Ndusyepo anayemwakilisha mshtakiwa wa kwanza, Majura Magafi anayewawakilisha mshtakiwa wa pili na tano, Emmanuel Safari anayemwakilisha...
9 years ago
Vijimambo08 Oct
Mabishano makali yaibuka kesi mauaji bilionea Msuya.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Mahakama-08Oct2015(1).png)
Baadhi ya washtakiwa wa kesi ya mauaji ya kukusudia ya mfanyabiashara, bilionea wa madini ya Tanzanite, Erasto Msuya, wakitoka nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Moshi jana, baada ya kusikiliza ushahidi unaotolewa na mashahidi wa upande wa mashtaka. PICHA NA GODFREY MUSHIMahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Moshi, imeipokea ripoti ya uchunguzi wa kifo cha mfanyabiashara bilionea wa madini ya Tanzanite, Erasto Msuya (43), iliyosainiwa na Mganga Mkuu wa Wilaya ya Hai, Dk. Paul Chaote,...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-kqvjFhP5Y0k/XuNoxwOSCnI/AAAAAAALtiE/RR884UVQAXIO-SP_6NACekhiRj11bO7RwCLcBGAsYHQ/s72-c/01..jpeg)
BARUA ZAWASILISHWA KUTAKA KUFUTWA KESI ZA UDHALILISHAJI WANAWAKE NA WATOTO ZANZIBAR
11 years ago
MichuziMMOJA AACHIWA HURU KESI YA MAUAJI YA BILIONEA WA MADINI ERASTO MSUYA
OFISI ya mkurugenzi wa Mashtaka Nchini imemfutia mashtaka ya mauaji,mmoja kati ya watuhumiwa nane wa mauaji ya kukusudia dhidi ya mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite bilionea , Erasto Msuya (43).
Hati ambayo imetumika kumwachia huru Joseph Damas (Chusa) ambaye pia ni mfanyabiashara maarufu wa madini hayo imetolewa na kusainiwa na mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) Elieza Feleshi na kisha Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuiwasilisha kwa Hakimu...