Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MALI ZA BILIONEA ZAZUA TAFRANI BAADA YA KUFARIKI DUNIA

Deogratius Mongela na Chande Abdallah
DUNIA haina huruma! Siku mbili baada ya kumzika mumewe ambaye alikuwa bilionea maarufu Dar, Amir Tabu, mjane wake, Mwanahamis Rajab ameingia kwenye tafrani kubwa na mashemeji zake kisa, mali za marehemu huku akitimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa akiishi na mumewe. Mjane, Mwanahamis Rajab alipokuwa na mume wake wakati wa harusi yao, Amir Tabu. Tukio hilo la kusikitisha lililoshuhudiwa na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

TAJIRI AFA, MALI ZAZUA BALAA!

Na Waandishi Wetu MALI za aliyekuwa tajiri maarufu Dar, marehemu Charles John Mallya zimezua balaa baada ya mke mkubwa, Philomena Masechu ambaye anadai kuchuma naye kiasi kikubwa cha mali hizo kusema amedhulumiwa na mke mdogo, akimtaja Mariana kwa kushirikiana na watoto wa wake wengine wa marehemu.
Marehemu Charles John Mallya enzi za uhai wake. Akizungumza na gazeti hili kwa masikitiko, Philomena alisema uchochezi mkubwa...

 

11 years ago

GPL

AGONGWA NA KUFARIKI DUNIA HAPOHAPO

Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Meshak John Lusito amegongwa na gari na kufariki dunia leo eneo la Gezaulole, Kigamboni Dar, aliyemgonga amekimbia na gari lake na inasemekana ni  kiongozi! (PICHA NA GLOBAL WhatsApp +255 753 715 779)

 

11 years ago

CloudsFM

MSICHANA ABAKWA HADI KUFARIKI DUNIA

Mfanyakazi wa ndani, Isabella Andrew (18), amefariki dunia na kifo chake kikidaiwa kusababishwa na kubakwa na watu wasiojulikana.Mwili wa msichana huyo ulikutwa ukiwa umeharibika katika moja ya pagale, lililopo Area C, Dodoma Mjini na mwandishi wetu alishuhudia ukitolewa hapo kwa machela huku polisi wakiwahoji mashuhuda wa tukio hilo.

Mkazi wa Mtaa wa Kiwanja cha Ndege, Jackson Coy aliyekuwa akiishi na binti huyo alisema msichana huyo alipotea tangu Jumamosi iliyopita.

Kamanda wa Polisi Mkoa...

 

10 years ago

Mwananchi

Wahamiaji 650 wazama baharini na kufariki dunia

Zaidi ya wahamiaji haramu 650 wanahofiwa kufariki dunia katika Bahari ya Mediterranean baada ya boti walizokuwa wakisafiria kuzama, katika matukio mawili tofauti.

 

10 years ago

Dewji Blog

Kikongwe apigwa risasi na polisi na kufariki dunia

DSC00179111

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, SACP, Geofrey Kamwela.

Na Nathaniel Limu, Singida

KIKONGWE mmoja mkazi wa kitongoji cha Ilolo kata ya Iglansoni tarafa ya Ihanja wilaya ya Ikungi, Joyce Maragabu (65),amefariki dunia baada ya kupigwa kwa risasi na askari polisi waliokuwa wakijihami dhidi ya kundi kubwa la wananchi waliokuwa wakitaka kuwavamia,ili wasiweze kumkamata mhalifu.

Askari hao walikuwa wakitaka kumkamata Nkida Gwisu, aliyekuwa akituhumiwa kumshambulia mtu...

 

9 years ago

BBCSwahili

Chuo kikuu chafungwa baada ya mwanafunzi kufariki Kenya

Chuo kikuu cha Maseno, magharibi mwa Kenya kimefungwa baada ya mwanafunzi kufariki kufuatia makabiliano kati ya wanafunzi na polisi.

 

5 years ago

Michuzi

KESI YA KUGOMBEA MALI ZA BILIONEA ULOMI YARUDI MAHAKAMANI KUTAKA MJANE AONDOLEWE

Mjane Zainabu Mkwama na mtoto wa marehemu Mume wake Julius Olomi wakiwa mahakamani wakipinga kutaka kuondolewa katika usimamizi wa mirathi**** Na Mwandishi wetu,KESI ya kugombea mali za marehemu bilionea  Jubilate Olomi imerejeshwa tena mahakamani kuu Kanda ya Moshi,baada ya mdogo bilionea huyo, Werandumi Ulomi kuomba Mjane wa bilionea huyo,Zainabu Mkwama kuondolewa kusimamia mirathi.
Werandumi kupitia Wakili wake,Joseph Ngiloi amewasilisha maombi ya dharura mahakama kuu kanda ya Moshi,kuomba...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wanawake 8,500 kufariki dunia kila mwaka kwa sababu ya ujauzito

DSC07909

Mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali la Evidence for Action (E4A) Tanzania,Craig John Felar, akitoa mada yake juu ya kampeni ya ‘Muokoe Mama muokoe mtoto mchanga’ (Mama ye) kwenye semina iliyohudhuriwa na baadhi ya viongozi kutoka vilabu vya waandishi  habari mikoa mbalimbali nchini .Semina hiyo ya siku mbili iliyoandaliwa na UTPC,ilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa Lion hotel jijini Dar.

DSC07908DSC07908

Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vilabu vya waandishi wa habari Tanzania ,wakifuatlia...

 

10 years ago

Michuzi

WATANO WATHIBIKA KUFARIKI DUNIA JIJINI DAR ES SALAAM KUTOKANA NA MAFURIKO

Watu watano wameripotiwa kupoteza maisha jijini Dar es Salaam kutokana na athari za mafuriko kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha jiji. Mvua hizo zinazonyesha kwa siku tatu mfululizo zimesababisha vifo vya watanzania hawa katika maeneo tofauti ya jiji la Dar es Salaam kama ifuatavyo:
1.    Mnamo tarehe 06/05/2015 majira ya saa moja kamili usiku huko maeneo ya Magomeni Kinondoni jijini Dar es Salaam mtu mmoja jina SHABAN S/O IDD, Miaka 73, Mkazi wa Manzese alisombwa na maji ya mto...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani