Presha ya ubunge CCM yapanda
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeagiza kurudiwa kwa kura za maoni kesho katika majimbo matano nchini, kutokana na dosari mbalimbali zilizojitokeza wakati wa mchakato wa upigaji kura hizo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZNt8FIknlRMf2zpmbdH7Q1BjMAh*BXMOObh06-olWaij09ehE*BOSQ*uvmuMqWA9w2-aSdyagL5a2ljG*KRt33*AwZKrgPOl/CCMJB.gif?width=650)
JB PRESHA YAPANDA
9 years ago
Habarileo11 Dec
Presha yapanda Ligi Kuu
LIGI Kuu Tanzania Bara iliyokuwa imesimama karibu mwezi mmoja na nusu inatarajiwa kuendelea tena kesho katika viwanja mbalimbali, huku timu mbalimbali zikitamba kuibuka na ushindi. Timu mbalimbali tayari zimeshasogea vituoni kwa ajili ya michezo yao ya kesho na nyingi zikitamba kwamba zitang’ara ili kujiweka vyema katika msimamo wa ligi.
10 years ago
Mwananchi08 Jul
Presha juu CCM
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-jLloq0WUJQg/VNjjVGDnwqI/AAAAAAAAs64/KvQxUEh6Z5k/s72-c/9H.jpg)
HAKUNA MGOMBEA ATAKAYEPITISHWA CCM KWA PRESHA ZA MAKUNDI
![](http://4.bp.blogspot.com/-jLloq0WUJQg/VNjjVGDnwqI/AAAAAAAAs64/KvQxUEh6Z5k/s1600/9H.jpg)
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema, hakuna kitakayempitisha kugombea urais 2015, kwa presha za makundi au wapambe.
Akizungumza kwa nyakati tofauti katika vyumba vya habari vya magazeti ya Habari Corporation, na Mwananchi Communication Ltd, jijini Dar es Salaam, leo, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema, mfumo wa CCM katika kuwapata wagombea ni imara kiasi kwamba hautaweza kuathiriwa na presha za makundi wakati wa kuteua mgombea urais katika uchaguzi mkuu...
10 years ago
Dewji Blog10 Feb
NAPE: Hakuna mgombea atakayepitishwa CCM kwa presha za makundi, ni kwa kukidhi vigezo vya kanuni na katiba za chama tu
NA BASHIR NKOROMO
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema, hakuna kitakayempitisha kugombea urais 2015, kwa presha za makundi au wapambe.
Akizungumza kwa nyakati tofauti katika vyumba vya habari vya magazeti ya Habari Corporation, na Mwananchi Communication Ltd, jijini Dar es Salaam, leo, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema, mfumo wa CCM katika kuwapata wagombea ni imara kiasi kwamba hautaweza kuathiriwa na presha za makundi wakati wa kuteua mgombea urais katika uchaguzi mkuu...
10 years ago
Habarileo18 Jul
Ubunge CCM kama urais
WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaowania kibali cha chama hicho ili wagombee ubunge, wamejitokeza kwa wingi katika baadhi ya majimbo na kufanya mchakato huo kuwa na mvuto wa aina yake, unaofanana na ule wa urais.
9 years ago
Mwananchi14 Aug
CCM yapitisha wagombea ubunge
10 years ago
Mtanzania06 Oct
Ubunge waipasua CCM Kilombero
![Abdulrahman Kinana](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Abdulrahman-Kinana.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
Na Mwandishi Wetu, Ifakara
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kilombero kimeingia katika malumbano baada ya baadhi ya makada wake kudaiwa kuanza kampeni za kuwania ubunge mwaka 2015 kabla ya wakati.
Hatua hiyo inaelezwa ni moja ya mikakati inayofanywa na baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya ambao wamekuwa wakiwabeba watu wanaotangaza nia ya kulitaka jimbo hilo na kuambatana nao katika mikutano kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu.
Kutokana na kile...