Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ubunge waipasua CCM Kilombero

Abdulrahman Kinana

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana

Na Mwandishi Wetu, Ifakara

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kilombero kimeingia katika malumbano baada ya baadhi ya makada wake kudaiwa kuanza kampeni za kuwania ubunge mwaka 2015 kabla ya wakati.

Hatua hiyo inaelezwa ni moja ya mikakati inayofanywa na baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya ambao wamekuwa wakiwabeba watu wanaotangaza nia ya kulitaka jimbo hilo na kuambatana nao katika mikutano kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu.

Kutokana na kile...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KADA WA CCM ASSENGA ATANGAZA NIA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KILOMBERO

Kada wa CCM Abubakar Assenga akitangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Kilombero, mbele ya ummati wa wananchi waliofurika katika Uwanja wa mpira wa Asante Afrika, Ifakara katika jimbo hilo mkoani Morogoro, jana. Picha na Bashir Nkoromo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mawaziri mizigo waipasua CCM

HALI si shwari ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufuatia uteuzi wa mawaziri uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni ambapo sasa makundi mbalimbali yameanza kuibuka na kushambuliana kwa maneno...

 

10 years ago

Michuzi

KADA WA CCM ASSENGA ALITAKA JIMBO LA KILOMBERO

 Kada wa CCM, Abbakar Assenga akitangaza nia ya kugombea Ubunge jimbo la Kilombero mkoani Morogoro, mbele ya umati wa wananchi waliofurika kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kining'ina, Ifakara, leo Msanii wa muiziki wa Bongo Fleva, Ali Kiba, akizungumza na umati wa wananchi waliohudhuria mkutano huo wa Kada wa CCM, Abubakari Assenga (kushoto) aliyetangaza nia ya kugombea Ubunge jimbo la Kilombero kwenye mkutano huo Ali Kiba akiwapa hi, umati wa...

 

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI: Patachimbika CCM na Ukawa majimbo ya Mvomero na Kilombero

>Leo tunaanza uchambuzi wa majimbo ya Mkoa wa Morogoro, tukiukamilisha mkoa huu tutakuwa tumehesabu jumla ya mikoa 17 ambayo tumefanikiwa kuchambua majimbo yote yaliyomo kwenye mikoa hiyo.

 

5 years ago

Michuzi

CHADEMA YATIKISIKA KILOMBERO,VIONGOZI WAKE WAJIVUA UANACHAMA NA KUHAMIA CCM

VIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wilaya ya Kilombero wamejivua uanachama wa Chadema hicho  na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.

Waliojivua uanachama wa Chadema ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Ifakara CHADEMA, Mashaka Mbilinyi, Diwani kata ya Mbasa ,Chiza  Shungu, Mwenyekiti wa kamati huduma za Jamii Ifakara, Digna Nyangile, Diwani Viti Maaalum Ifakara, Antony Mwampunga Kamanda wa Red Briged wilaya Kilombero, Clarens  Manyota na Baraka Masala.

Wanachama hao wapya...

 

5 years ago

CCM Blog

CHADEMA YAPATA MAAFA KILOMBERO,VIONGOZI WAKE WAJIVUA UANACHAMA NA KUHAMIA CCM


Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM Bushiru Ali akimpa mkono  Mbunge wa viti Maalum wa wilaya  ya kilombero Dkt.Getrude Lwakatare  wakati wa ziara yake ya kutembelea miradi mbalimbali ya Chama hicho mkoani Morogoro wengine ni viongozi wa Mkoa wa Chama hicho.
Morogoro TanzaniaVIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wilaya ya Kilombero wamejivua uanachama wa Chadema hicho  na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.

Waliojivua uanachama wa Chadema ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Uenyekiti waipasua CHADEMA

Mikakati kumtosa mpinzani wa Mbowe yaivaWagombea wengine wageuzwa kiini macho Mtandao wa Zitto hatari, kuendelea kufyekwa NA MWANDISHI WETU
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetangaza majina ya makada wake wanaowania nafasi za uongozi ngazi ya taifa huku majina ya vigogo na wabunge yakisheheni.
Tayari uchaguzi huo umezidi kukiweka njiapanda chama hicho kutokana na makada wengi kuenguliwa kwenye ngazi za majimbo na mikoa, ikiwa ni mkakati wa kuwatosa wanachama wapenda...

 

11 years ago

Mwananchi

Muundo wa Muungano waipasua CWT

Msimamo wa Makamu wa Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Honoratha Chitanda kuunga mkono serikali moja ndani ya Bunge Maalumu la Katiba huenda ukamgharimu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani