Uenyekiti waipasua CHADEMA
![](http://4.bp.blogspot.com/-HBnh2_9Xexc/VAgrLcxzdGI/AAAAAAAABnk/9rsycSvZg-g/s72-c/Freeman%2BMbowe.jpg)
Mikakati kumtosa mpinzani wa Mbowe yaivaWagombea wengine wageuzwa kiini macho Mtandao wa Zitto hatari, kuendelea kufyekwa NA MWANDISHI WETU
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetangaza majina ya makada wake wanaowania nafasi za uongozi ngazi ya taifa huku majina ya vigogo na wabunge yakisheheni.
Tayari uchaguzi huo umezidi kukiweka njiapanda chama hicho kutokana na makada wengi kuenguliwa kwenye ngazi za majimbo na mikoa, ikiwa ni mkakati wa kuwatosa wanachama wapenda...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Chifu Biringi ajitosa uenyekiti CHADEMA Dodoma
DIWANI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kata ya Makulu, Wilaya ya Dodoma Mjini, Chifu Ally Biringi, amejitosa kuchukua fomu kuwania uenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Dodoma. Akizungumza...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xtBPm6ISfdAS-IO9TOjzddmj1GmaV99Cjoe5liwkRA*OOgu1zCXlxe00ZfPOLEz9UA5USASIIkC3ZRghWp6aILmLJsX*pzIa/CHADEMA2.jpg?width=650)
FREEMAN MBOWE ASHINDA NAFASI YA UENYEKITI CHADEMA
9 years ago
Mwananchi13 Dec
CCM, Chadema waendelea kukabana umeya, uenyekiti
11 years ago
Tanzania Daima27 Jan
Mawaziri mizigo waipasua CCM
HALI si shwari ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufuatia uteuzi wa mawaziri uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni ambapo sasa makundi mbalimbali yameanza kuibuka na kushambuliana kwa maneno...
10 years ago
Mtanzania06 Oct
Ubunge waipasua CCM Kilombero
![Abdulrahman Kinana](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Abdulrahman-Kinana.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
Na Mwandishi Wetu, Ifakara
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kilombero kimeingia katika malumbano baada ya baadhi ya makada wake kudaiwa kuanza kampeni za kuwania ubunge mwaka 2015 kabla ya wakati.
Hatua hiyo inaelezwa ni moja ya mikakati inayofanywa na baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya ambao wamekuwa wakiwabeba watu wanaotangaza nia ya kulitaka jimbo hilo na kuambatana nao katika mikutano kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu.
Kutokana na kile...
11 years ago
Mwananchi23 Apr
Muundo wa Muungano waipasua CWT
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8pnqwPqNt2P5YMZ14eu4bcDXUJTfRrnXfEHemNoRbTDhJlqrOZtl1SJwTp3hDa6i9gv2VrKCtMJqau5f5lyzb3Sg4f*siY-N/diamond.jpg?width=650)
WEMA, PENNY WAIPASUA FAMILIA YA DIAMOND
10 years ago
Tanzania Daima02 Sep
Mawazo ashinda uenyekiti Geita
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mkoani Geita kimemchagua Alphonce Mawazo kuwa Mwenyekiti katika uchaguzi uliyofanyika mwishoni mwa wiki. Uchaguzi huo uliyofanyika ukumbi wa Alpha Hotel mjini hapa ulijumuisha majimbo...
11 years ago
Mwananchi11 Dec
Manji kutogombea uenyekiti Yanga