Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chifu Biringi ajitosa uenyekiti CHADEMA Dodoma

DIWANI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kata ya Makulu, Wilaya ya  Dodoma Mjini, Chifu Ally Biringi, amejitosa kuchukua fomu kuwania uenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Dodoma. Akizungumza...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mgimwa, Chifu wawaponda Chadema

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya uzinduzi rasmi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Kalenga huku Chifu wa Wahehe, Abdu Sapi Mkwawa akikisuta Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kutoa taarifa za uongo kwamba anamuunga mkono mgombea wao, Grace Tendega.

Katika uchaguzi huo, CCM imemsimamisha Godfrey Mgimwa, mtoto wa marehemu Dk William Mgimwa aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, baada ya kushinda kwa kishindo kura za maoni za chama hicho dhidi ya wagombea wengine...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Uenyekiti waipasua CHADEMA

Mikakati kumtosa mpinzani wa Mbowe yaivaWagombea wengine wageuzwa kiini macho Mtandao wa Zitto hatari, kuendelea kufyekwa NA MWANDISHI WETU
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetangaza majina ya makada wake wanaowania nafasi za uongozi ngazi ya taifa huku majina ya vigogo na wabunge yakisheheni.
Tayari uchaguzi huo umezidi kukiweka njiapanda chama hicho kutokana na makada wengi kuenguliwa kwenye ngazi za majimbo na mikoa, ikiwa ni mkakati wa kuwatosa wanachama wapenda...

 

9 years ago

Mwananchi

CCM, Chadema waendelea kukabana umeya, uenyekiti

Vyama vya CCM na Chadema vinaendelea kukabana koo maeneo mbalimbali katika kuwania nafasi ya umeya na uenyekiti wa halmashauri.

 

10 years ago

GPL

FREEMAN MBOWE ASHINDA NAFASI YA UENYEKITI CHADEMA

Freeman Mbowe akiwasalimia wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema. Freeman Mbowe ameshinda tena nafasi ya Uenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa baada ya kupata jumla ya kura 789 huku mpinzani wake Ngambaranyela Mongatero akipata kura 20. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema wakifuatilia…

 

5 years ago

CCM Blog

CHIFU ADAM WA PILI ASIMIKWA RASMI KUWA CHIFU WA WAHEHE

   Chief Adam wa Pili Adam Abdul Adam Sapi Mkwawa Mwamuyinga jana alisimikwa rasmi na kukabidhiwa miiko ya utawala wa kabila la Kihehe baada ya kufikisha umri wa kuongoza.

Hafla hiyo imefanyika katika Uwanja wa Mashujaa uliopo Kalenga Mkoani Iringa ambapo Umoja Wa Machief Tanzania UMT umeshiriki.
Chief Adam wa Pili anachukua nafasi ya baba yake, Chief Abdul Mfwimwi aliyefariki mwaka 2005.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Salum Mwalim ajitosa CHADEMA

MWANAHABARI Salum Mwalim, amejitosa kugombea ujumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia nafasi za Zanzibar. Mwalim ambaye kwa sasa ni Meneja Uhusiano wa nje wa...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atawazwa kuwa chifu msaidizi wa waluguru na chifu kingalu huko kinole, morogoro, apewa jina la Chidukila

 CHIFU wa Waluguru Kingalu Mwanabanzi wa 14, akijiandaa kumtawaza Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Chifu Msaidizi wa kabila hilo katika sherehe za aina yake zilizofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi ya Kinole, kata ya Makuyuni, Morogoro vijijini Agosti 22, 2014.  Rais Kikwete pia alipewa jina la CHIDUKILA, lenye kumaanisha "muibukaji", kwa maana ya kwamba Rais Kikwete ana uhuru wa kuibuka kijijini Kinole bila taarifa wala kusubiri kualikwa.
 CHIFU wa Waluguru Kingalu Mwanabanzi wa 14,...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA CHIFU KINGALU WA 14 WA WALUGURU, NA KUSIMIKWA KWA CHIFU KINGALU 15 KIJIJINI KINOLE, MOROGORO


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole na pia kumpongeza Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru wa Mkoa wa Morogoro Chifu Kingalu wa 15 baada ya kusimikwa rasmi kijijini Kinole mkoani Morogoro leo Alhamisi Julai 3, 2015 kufuatia kifo na hatimaye mazishi ya kaka yake Marehemu Chifu Kingalu wa 14.
Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru wa Mkoa wa Morogoro Chifu Kingalu wa 15 akiongea machache baada ya kusimikwa rasmi kijijini Kinole mkoani Morogoro leo Alhamisi Julai 3, 2015 kufuatia kifo na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani