Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lulu : Kuhongwa ni Presha Tu!

UBUYU: Mrembo na staa wa Bongo Movies, Elizabeth  Michael, ‘Lulu’ ametoboa kuwa  fedha za kuhongwa na wanaume ni nzuri lakini zina presha kubwa kwa msichana aliyepewa.

Lulu alisema kuwa wasichana walio wengi wanapenda kupokea fedha na vitu mbali mbali kutoka kwa wanaume lakini changamoto kubwa inayowakuta ni namna ya kulipa fadhila ya walivyopewa

" vitu vya kuhongwa ni vizuri lakini vina presha kubwa katika suala la kulipa fadhila kwani msichana unalazimika kufanya kila aina ya ujuacho ili...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SKENDO YA MASTAA KUHONGWA MAGARI: LULU AANDIKA HISTORIA

Stori: SHAKOOR JONGO
Limekuwa ni jambo la kawaida kwa baadhi ya mastaa wa Kibongo kuonesha au kupiga picha anaponunua gari jipya huku suala la kuonesha kadi ya gari likiwa gumu na ahadi zisizokwisha lakini mwigizaji ‘sexy’ mwenye mvuto kwenye tasnia ya filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameandika historia ya tofauti. Mwigizaji ‘sexy’ mwenye mvuto kwenye tasnia ya filamu Bongo,...

 

10 years ago

Vijimambo

LULU ASEMA NYUMBA ALIYOMZAWADIA MAMA YAKE SI YA KUHONGWA, AMEJENGA KWA MIAKA MINNE

Mwanzoni mwa mwaka huu (2015) mrembo na muigizaji wa filamu, Elizabeth “Lulu” Michael aliwa-surprise watu wengi pale alipomzawadia mama yake nyumba aliyojenga Kimara, jijini Dar es- Salaam.
Lulu alimpa zawadi hiyo mama yake kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa January, 2015. Je Lulu aliwezaje kufanya mambo makubwa kama hayo katika umri mdogo na kwa kipato cha kuigiza peke yake? Hayo ni maswali ambayo wengi walijiuliza, kiasi cha kuwafanya wengine waamini kuwa labda amehongwa.Lulu amesema...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hivi Mbowe ni wa kuhongwa vijisenti?

KIONGOZI wa watuhumiwa wa uasi na usaliti ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zitto Kabwe, ameendelea kumshambulia kwa tuhuma za uongo Mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman...

 

9 years ago

GPL

AUNT ADAIWA KUHONGWA GARI

Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson ‘Mama Cookie’mpenzi wake, Moses Iyobo ‘Mozes’. MWANDISHI WETU BAADA ya kuanika picha za gari lake jipya aina ya Audi A4 kwenye akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Instagram akimshukuru mpenzi wake, Moses Iyobo ‘Mozes’ kwa kumzawadia ‘mkoko’ huo, staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson ‘Mama Cookie’ anadaiwa kuhongwa gari hilo na kigogo. Gari analodaiwa...

 

10 years ago

GPL

SHAMSA AJITETEA SKENDO YA KUHONGWA SIMU

Gabriel ng’osha STAA wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amefunguka kuwa ameeleweka vibaya alipoandika mitandaoni kuwa hajawahi kununua simu za bei mbaya zaidi ya kupewa na watu. ... Soma zaidi===>http://bit.ly/1Io5jQQ

 

10 years ago

GPL

NANI ANASTAHILI KUHONGWA, MWANAUME AU MWANAMKE?

NAMSHUKURU sana Mungu kwa kuweza kunikutanisha na wewe rafiki wa safu hii. Nafurahi kupata meseji zenu ambazo zinaonesha jinsi gani mliguswa na mada ya wiki iliyopita iliyokuwa na ujumbe wenye tafsiri ya kujiongeza pale unapoona umpendaye hapokei simu, hajibu meseji, mapenzi yamepungua.
Nilishauri kama ukiona mpenzi wako ana sifa hizo, ujiongeze haraka na kuchukua hatua. Hakuna haja ya kuendelea kukaa na mtu ambaye tayari hana...

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli afichua mpango mawakala CCM kuhongwa

MGOMBEA Urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli ameelezea kuandaliwa kwa mpango wa kugawa fedha kwa mawakala siku ya upigaji kura ili kushawishi kuchaguliwa kwa mmoja wa wagombea urais wa upinzani na hivyo amewataka watakaofikiwa na fedha hizo kuzichukua lakini bila kumchagua mgombea huyo.

 

9 years ago

Habarileo

Akana kuhongwa asikate rufaa kura za maoni CCM

MMOJA wa wagombea Ubunge wa Jimbo la Bagamoyo mkoani Pwani ambaye alishindwa kwenye kura za maoni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdul Sharifu amekanusha kupewa fedha ili asikate rufaa dhidi ya matokeo.

 

11 years ago

Habarileo

Mangula asubiri Ukawa wajibu hoja za kuhongwa mabilioni

Makamu Mwenyekiti wa CCM, Tanzania Bara, Phillip MangulaMAKAMU Mwenyekiti wa CCM, Tanzania Bara, Phillip Mangula, amesema vyama vinavyounda Umoja wa Katiba Tanzania (Ukawa), vinasubiriwa kujibu tuhuma zinazokabili umoja huo, za kuhongwa mabilioni ya Shilingi, ili wasihudhurie katika Bunge Maalumu la Katiba, linalotarajiwa kuanza mwanzoni mwa Agosti mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani