NANI ANASTAHILI KUHONGWA, MWANAUME AU MWANAMKE?
![](http://api.ning.com:80/files/yKWLMefqYBzAVcezIo62uF653oFqKXWtK-03iJZJmuLGoBpXEGkUc49EC9CgH2B1ZNsnq4CqI9L5QsMMdST5AwmmoDoxnihR/C.jpg?width=650)
NAMSHUKURU sana Mungu kwa kuweza kunikutanisha na wewe rafiki wa safu hii. Nafurahi kupata meseji zenu ambazo zinaonesha jinsi gani mliguswa na mada ya wiki iliyopita iliyokuwa na ujumbe wenye tafsiri ya kujiongeza pale unapoona umpendaye hapokei simu, hajibu meseji, mapenzi yamepungua. Nilishauri kama ukiona mpenzi wako ana sifa hizo, ujiongeze haraka na kuchukua hatua. Hakuna haja ya kuendelea kukaa na mtu ambaye tayari hana...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Nani ana wajibu wa kujishusha, mwanamke au mwanaume?-2
WIKI iliyopita tuliianza mada hii nzuri yenye elimu kuhusu mpango wa Mungu katika ndoa.
Tuliishia pale Mungu alipokuwa akitoa adhabu kwa nyoka. Adhabu hiyo pia aliitoa kwa mwanaume (Adam) na kwa mwanamke (Eva).
ENDELEA SASA…
Mwanamke aliambiwa atazaa kwa uchungu, huo ndiyo uhalisia. Hadi leo mwanamke anaendelea kuzaa kwa uchungu. Jukumu hilo ni la kwake, si la mwanaume. Mwanaume anatekeleza lile la kwake la kutafuta na kula kwa jasho.
Hii ina maana kubwa sana katika maisha yetu. Kweli...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LB6l9Yyl8LBAyAuLM02bOQADrLqf9aRGZzWGE8psnndIjCu7k1Atjbl2ea4OSEUldCJlSUuWUCdK-WUyPXA06Tj6ZxopR62d/MAHABA.jpg)
MWANAMKE,MWANAUME, NANI ANAONGOZA KUTOA SIRI ZA UHUSIANO?
5 years ago
BBCSwahili02 Jun
Mwanaume aliyesababisha ghasia Marekani ni nani?
9 years ago
Michuzi21 Aug
JE NI WAJIBU MWANAMKE KUMTUNZA MWANAUME KISHERIA?.
1.BAADHI YA HAKI ...
10 years ago
Tanzania Daima05 Dec
Dk. Nagu: Mwanamke anahitaji jitihada za mwanaume
IMEELEZWA kuwa harakati za kumkomboa mwanamke katika suala la kugombea nafasi mbalimbali za uongozi, sio lake peke yake bali zinahitajika jitihada za wanaume pia. Kauli hiyo imetolewa jijini Dar es...
11 years ago
Mwananchi14 Mar
Mwanamke hupevuka kiakili mapema kuliko mwanaume
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/4hNukqhfhE3I-o05amPWD0K1pFdHBqkEX28XpfT6SasrodH5UkbPGYV2vlGoyCT92V-nvru9QOPMgo*HmidInexJNNhKXWJb/1JIKE.jpg?width=650)
MAHAKAMA YAKUBALI ALIYEKUWA MWANAUME AWE MWANAMKE
10 years ago
Mwananchi06 Dec
Hivi kuna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke?
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-9XJkEVihrOI/VLed96fNFKI/AAAAAAAAmfw/FpQsgcVWK70/s72-c/Happy-Couple.jpg)
Hakuna Mwanaume Rijali Anayeweza kuwa na Mwanamke Mmoja tu
![](http://2.bp.blogspot.com/-9XJkEVihrOI/VLed96fNFKI/AAAAAAAAmfw/FpQsgcVWK70/s640/Happy-Couple.jpg)
"Mchele mmoja mapishi mbalimbali", utakuta wewe...