Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JE NI WAJIBU MWANAMKE KUMTUNZA MWANAUME KISHERIA?.

Na  Bashir  Yakub.Kisheria  ndoa inapokuwa  imefungwa   kuna  haki  za  msingi  ambazo  huibuka.  Hizi  huitwa  haki  za  moja  kwa  moja  ( automatic  right). Huitwa  haki  za  moja  kwa  moja   kwakuwa   hazina  uhiari  katika  kutekelezwa  kwake.  Kuwapo  kwa  ndoa  ndio  kuwapo  kwake  na  hivyo  haihitaji  mtu  kuziomba. Kimsingi  haki  hizi  zipo  nyingi  ambapo  tutaona  baadhi  yake hapa   huku  makala  yakijikita  katika   haki  moja ya  matunzo  kwa  wanandoa.


1.BAADHI  YA  HAKI ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Nani ana wajibu wa kujishusha, mwanamke au mwanaume?-2

WIKI iliyopita tuliianza mada hii nzuri yenye elimu kuhusu mpango wa Mungu katika ndoa.

Tuliishia pale Mungu alipokuwa akitoa adhabu kwa nyoka. Adhabu hiyo pia aliitoa kwa mwanaume (Adam) na kwa mwanamke (Eva).

ENDELEA SASA…

Mwanamke aliambiwa atazaa kwa uchungu, huo ndiyo uhalisia. Hadi leo mwanamke anaendelea kuzaa kwa uchungu. Jukumu hilo ni la kwake, si la mwanaume. Mwanaume anatekeleza lile la kwake la kutafuta na kula kwa jasho.

Hii ina maana kubwa sana katika maisha yetu. Kweli...

 

10 years ago

Mwananchi

Fahamu haki na wajibu wa mfanyakazi kisheria

Huwezi kudai kitu ambacho hufahamu kuwa kipo na hata kama unajua kipo hujui kinapatikanaje na hata kama unajua kinavyopatikana hujui nani anawajibika kukupatia.

 

10 years ago

Mwananchi

Fahamu haki, wajibu wa mwanahisa kisheria

Haki na wajibu ni sawa na pande mbili za sarafu moja. Ili iwepo haki lazima wajibu uwepo. Kwa hiyo ni muhimu sana mwanahisa ukafahamu wajibu wako ili upate uhalali na nguvu za kutosha za kudai na kuzisimamia haki zako.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwanamke ana haki ya kumiliki mali kisheria

Ukimuelimisha mwanamke umeielimisha jamii. Ni wakati wa kuondokana na mfumo dume. Mwanamke akiwezeshwa anaweza. Mwanamke ndiye mlezi wa familia.

 

10 years ago

GPL

NANI ANASTAHILI KUHONGWA, MWANAUME AU MWANAMKE?

NAMSHUKURU sana Mungu kwa kuweza kunikutanisha na wewe rafiki wa safu hii. Nafurahi kupata meseji zenu ambazo zinaonesha jinsi gani mliguswa na mada ya wiki iliyopita iliyokuwa na ujumbe wenye tafsiri ya kujiongeza pale unapoona umpendaye hapokei simu, hajibu meseji, mapenzi yamepungua.
Nilishauri kama ukiona mpenzi wako ana sifa hizo, ujiongeze haraka na kuchukua hatua. Hakuna haja ya kuendelea kukaa na mtu ambaye tayari hana...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Dk. Nagu: Mwanamke anahitaji jitihada za mwanaume

IMEELEZWA kuwa harakati za kumkomboa mwanamke katika suala la kugombea nafasi mbalimbali za uongozi, sio lake peke yake bali zinahitajika jitihada za wanaume pia. Kauli hiyo imetolewa jijini Dar es...

 

10 years ago

GPL

MAHAKAMA YAKUBALI ALIYEKUWA MWANAUME AWE MWANAMKE

Audrey Mbugua akiwa nje ya mahakama ya awali. MAHAKAMA Kuu imeamuru Baraza la Kitaifa la Mitihani Kenya (KNEC), libadilishe jina cheti cha mlalamikaji ambaye amekuwa akipigana atambuliwe kuwa mwanamke. Jaji Weldon Korir jana Jumanne aliagiza KNEC impe cheti kipya…

 

10 years ago

Mwananchi

Hivi kuna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke?

Kati ya vitu vinavyowachanganya watu wengi ni swali kwamba: Je, mwanaume na mwanamke wanaweza kubaki kuwa marafiki na wasijiingize katika uhusiano wa kimapenzi?

 

11 years ago

Mwananchi

Mwanamke hupevuka kiakili mapema kuliko mwanaume

>Imekuwa ni dhana ya muda mrefu miongoni mwa wanajamii katika Afrika  kuwa   msichana hawezi kuolewa na mwanamume waliyelingana umri kwa kuwa ni vigumu kuelewana na kuheshimiana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani