COASTAL UNION WAIFUATA NDANDA MTWARA

TIMU ya Coastal Union ya Tanga imeondoka mkoani hapa leo asubuhi kuelekea mkoani Mtwara kwa ajili ya mechi yao ya Ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Ndanda SC itakayochezwa Jumamosi wiki hii.
Coastal Union ambayo mechi yao iliyopita dhidi ya Mbeya City iliyochezwa kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani haikupata matokeo mazuri sana baada ya kulazimishwa sare hivo itaingia kwenye mechi hiyo mithili ya mbogo aliyejeruhiwa msituni.
Akizungumzia maandalizi ya kuelekea mchezo huo,Kocha Mkuu wa Coastal...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo02 Sep
Ndanda yaanza kujinoa Mtwara
BAADA ya kutoka sare ya kufungana bao 1-1 na Azam FC, kikosi cha Ndanda FC, kimeanza kujinoa kwenye Uwanja wa Chuo cha Ualimu kilichopo Mikindani Manispaa ya Mtwara kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania bara ambao utaanza Septemba 12.
11 years ago
Michuzi
NSSF YADHAMINI PAMBANO LA SIMBA NA NDANDA FC MKOANI MTWARA



Kwa habari kamili na...
10 years ago
Habarileo02 Sep
Coastal Union yazama 1-0
TIMU ya soka ya Coastal Union ya Tanga jana imeshindwa kuutumia vyema uwanja wake wa Mkwakwani baada ya kufungwa bao 1-0 na Ruvu Shooting ya Pwani katika mchezo wa kirafiki wa kujipima nguvu kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania Bara Septemba 12, mwaka huu.
11 years ago
Michuzi.jpg)
Barabara ya Ndanda kwenda Masasi mkoani Mtwara ni balaa tupu
Barabara ya Ndanda kwenda Masasi eneo la Kijiji cha Mkalapa,limekuwa ni majanga matupu kama inavyoonekana katika picha hapo chini,kwani barabara hiyo imeharibika vibara kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha matika maeneo mbali mbali hapa nchini.
Abiria wanaofanya safari katika maeneo hayo,inapaswa wajiandae kwa kupoteza masaa kadhaa katika eneo hilo,kwani mambo hayajakaa sawa.
Hivyo wakala wa Barabara Mkoa wa Mtwara (TANROADS),wanapaswa kulishughulikia swala...
10 years ago
TheCitizen05 Feb
Cannavaro aizamisha Coastal Union
10 years ago
Raia Mwema08 Jul
Nilichoshuhudia uchaguzi Coastal Union
MWALIMU wangu Ernest Sungura, aliwahi kunifundisha kuwa mwandishi wa makala hatumii nafsi ya kwan
Hafidh Kido
11 years ago
Mwananchi10 Jun
Coastal Union ipo imara
11 years ago
Mwananchi22 Aug
Coastal Union yamfungia Banda
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
Coastal Union yajivunia Chipo
UONGOZI wa klabu ya Coastal Union ya Tanga, umemmwagia sifa Kocha Mkuu wa timu hiyo, Yusuph Chipo, kutokana na uwezo wake kiutendaji aliouonesha kwa kipindi kifupi ambacho amekabidhiwa majukumu. Akizungumza...