Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndanda yaanza kujinoa Mtwara

BAADA ya kutoka sare ya kufungana bao 1-1 na Azam FC, kikosi cha Ndanda FC, kimeanza kujinoa kwenye Uwanja wa Chuo cha Ualimu kilichopo Mikindani Manispaa ya Mtwara kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania bara ambao utaanza Septemba 12.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

COASTAL UNION WAIFUATA NDANDA MTWARA

TIMU ya Coastal Union ya Tanga imeondoka mkoani hapa leo asubuhi kuelekea mkoani Mtwara kwa ajili ya mechi yao ya Ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Ndanda SC itakayochezwa Jumamosi wiki hii.
Coastal Union ambayo mechi yao iliyopita dhidi ya Mbeya City iliyochezwa kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani haikupata matokeo mazuri sana baada ya kulazimishwa sare hivo itaingia kwenye mechi hiyo mithili ya mbogo aliyejeruhiwa msituni.
Akizungumzia maandalizi ya kuelekea mchezo huo,Kocha Mkuu wa Coastal...

 

10 years ago

Michuzi

NSSF YADHAMINI PAMBANO LA SIMBA NA NDANDA FC MKOANI MTWARA


 Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali mstaafu Joseph Simbakalia akikagua timu ya Simba wakati wa mchezo wa kirafiki na timu ya Ndanda FC uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara.Kikosi kamili cha timu ya Simba kilichopambana na Ndanda FC.
Kikosi cha Ndanda FC kikiwa klatika picha ya pamoja kabla ya pambano lao na Simba.Wachezazaji wa Simba na Ndanda wakichuana katika uwanja wa Nangwanda Sijaona.Mashabiki wa soka wakifuatilia pambano la Simba na Danda FC.
Kwa habari kamili na...

 

11 years ago

Michuzi

Barabara ya Ndanda kwenda Masasi mkoani Mtwara ni balaa tupu

Na Abdulaziz Video,Masasi.
Barabara ya Ndanda kwenda Masasi eneo la Kijiji cha Mkalapa,limekuwa ni majanga matupu kama inavyoonekana katika picha hapo chini,kwani barabara hiyo imeharibika vibara kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha matika maeneo mbali mbali hapa nchini.
Abiria wanaofanya safari katika maeneo hayo,inapaswa wajiandae kwa kupoteza masaa kadhaa katika eneo hilo,kwani mambo hayajakaa sawa.
Hivyo wakala wa Barabara Mkoa wa Mtwara (TANROADS),wanapaswa kulishughulikia swala...

 

5 years ago

Michuzi

MITAMBO YA DKT. BASHIRU YAANZA KULIPUKA MTWARA


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally akiendelea na ziara yake ya siku tatu Mkoani Mtwara, Mbunge wa Tandahimba Ndg. Katan Ahmed Katan amejivua uanachama wa CUF na kujiunga na CCM hapo jana.

Mbunge huyo wa Tandahimba, amejiunga na CCM jana tarehe 21 Februari, 2020 katika mkutano wa ndani uliokuwa ukiendelea katika jimbo la Nanyamba Mtwara vijijini, ambapo amepokelewa na Katibu Mkuu kwa niaba ya wanachama wote wa CCM.

Katibu Mkuu akifafanua kabla ya kumpokea Mbunge huyo,...

 

9 years ago

Michuzi

TPDC YAANZA KUZALISHA GESI YA KWANZA HUKO MNAZI BAY, MTWARA

Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwa kushirikiana na kampuni za Maurel and Prom na Wentworth Resources, leo hii wameendelea na zoezi nyeti la kutoa gesi asilia katika kisima namba 3 kilichopo Mnazi Bay (MB3) kwenda katika kiwanda cha kuchakata gesi asilia kilichopo Madimba, Mtwara. 
Zoezi hili ni muendelezo wa ukamilishaji wa mradi mkubwa wa Serikali wa kuzalisha gesi asilia kwa madhumuni ya kuzalisha umeme hapa nchini.
Akiongea wakati wa zoezi hilo, Mkurugenzi Mtendaji wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wauguzi kujinoa Marekani

CHAMA cha Wauguzi Tanzania (Tana), kimesaini mkataba wa makubaliano na Shirika la Colom Foundation Inc kuendesha mafunzo ya uuguzi yatakayofanyika nchini Marekani. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es...

 

9 years ago

Mwananchi

Mwadui sasa kujinoa Afrika Kusini

Kocha wa Mwadui, Jamhuri Kihwelu ‘Julio’ ndiye pekee ambaye msimu huu atakipeleka kikosi chake nje ya nchi kwa ajili ya kujifua kujiandaa na msimu mpya wa ligi.

 

11 years ago

GPL

JUMUIA YA WAZAZI CCM KINONDONI WAENDA MOROGORO KUJINOA

 Baadhi ya viongozi wa Jumuia ya Wazazi Kata za wilaya ya Kinondoni Dar es Salaam, wakiwa kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya Kinondoni wakati wakisubiri kuanza safari ya kwenda Morogoro leo kwa ajili ya semina yao ya mafunzo itakayoanza kesho.  Wakisubiru usafiri ofisi ya CCM wilaya ya Kinondoni.…

 

11 years ago

Michuzi

WAREMBO WANAOSHINDANIA MISS TABATA 2014 WAENDLEA KUJINOA KWENYE UKUMBI WA DAR WEST PARK

 Warembo wanaoshindania miss Tabata 2014 wakiwa kwenye pozi wakati wa mazoezi ya shindano hilo na fainali itakalofanyika siku ya Ijumaa tarehe 06/06/ 2014. Mashindano haya ya Miss Tabata 2014 yatafanyika kwenye ukumbi wa Dar West Park.  Mwalimu Pasilida Mandari anayewanoa warembo watakaochuana vikali kwenye shindano la Miss Tabata 2014 akizungumza na warembo hao wakati wa mazoezi.  Warembo watakaochuana vikali kwenye shindano la Miss Tabata 2014 wakiwa watokelezea kwenye pozi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani