Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JUMUIA YA WAZAZI CCM KINONDONI WAENDA MOROGORO KUJINOA

 Baadhi ya viongozi wa Jumuia ya Wazazi Kata za wilaya ya Kinondoni Dar es Salaam, wakiwa kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya Kinondoni wakati wakisubiri kuanza safari ya kwenda Morogoro leo kwa ajili ya semina yao ya mafunzo itakayoanza kesho.  Wakisubiru usafiri ofisi ya CCM wilaya ya Kinondoni.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Mbunge wa jimbo la Morogoro kusini atekeleza ahadi yake ya kuiwezesha CCM wilaya ya Morogoro vijijini

IMG_0168

Mbunge wa Jimbo la Morogoro kusini Mh Innocent Kalogeris (kulia) akikabidhi Pikipiki 11 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Morogoro Vijijini Mh Jazar ikiwa ni ahadi yake aliyoitoa ya kusaidia chama cha Mapinduzi kujitegemea kiuchumi. Mh Kalogeris amekabidhi pikipiki hizo akiwa na lengo kila kata kuwa na Pikipiki moja uwe mradi wa Chama ili kuwezesha Kila kata Kuendesha Shuguli za Chama Bila kuwa wategemezi .Mbunge Kalogeris amehadi kuhakikisha kata zote za jimbo hilo zinapatiwa Pikipiki.Mh...

 

11 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAZAZI YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM (TAIFA) AWAAPISHA WANACHAMA 367 WAPYA WA CCM WILAYA YA NYASA MKOANI RUVUMA


 Mwenyekiti  wa Jumuiya ya wazazi ya Chama Cha mapinduzi CCM (Taifa) Bw. Abdallah  Bulembo aliyevaa taji shingoni akicheza ngoma ya asili katika kijiji cha Kingirikiti Wilaya ya Nyasa wakati wa Ziara yake siku ya jana.  Mwenyekiti  wa Jumuiya ya wazazi ya Chama Cha mapinduzi CCM (Taifa) Bw. Abdallah  Bulembo akiwaapisha wanachama wapya wa  CCM  Kikundi cha akina mama  kikitoa burudani.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wauguzi kujinoa Marekani

CHAMA cha Wauguzi Tanzania (Tana), kimesaini mkataba wa makubaliano na Shirika la Colom Foundation Inc kuendesha mafunzo ya uuguzi yatakayofanyika nchini Marekani. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es...

 

10 years ago

Habarileo

Wazazi waongeza nguvu kampeni za CCM

JUMUIYA ya Wazazi ya CCM imeunda timu ya watu 31 kwa ajili ya kuongeza nguvu katika kampeni za uchaguzi ili kuhakikisha CCM inashinda kwa kishindo katika uchaguzi huo.

 

10 years ago

Habarileo

Ndanda yaanza kujinoa Mtwara

BAADA ya kutoka sare ya kufungana bao 1-1 na Azam FC, kikosi cha Ndanda FC, kimeanza kujinoa kwenye Uwanja wa Chuo cha Ualimu kilichopo Mikindani Manispaa ya Mtwara kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania bara ambao utaanza Septemba 12.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwadui sasa kujinoa Afrika Kusini

Kocha wa Mwadui, Jamhuri Kihwelu ‘Julio’ ndiye pekee ambaye msimu huu atakipeleka kikosi chake nje ya nchi kwa ajili ya kujifua kujiandaa na msimu mpya wa ligi.

 

11 years ago

Habarileo

Wazazi CCM kuuza sekondari zenye hali mbaya

JUMUIYA ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imetangaza kuziweka sokoni shule zake za sekondari, ambazo ziko katika hali mbaya. Aidha, imesema itashirikiana na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), kwa ajili ya kuziokoa shule nyingine ambazo zinasuasua.

 

9 years ago

Habarileo

Wazazi CCM wagawa ardhi kwa kila kata

JUMUIYA ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kibaha Mjini, imezigawia Jumuiya zake za kata ardhi yenye ukubwa wa hekari moja kwa lengo la kuziendeleza kiuchumi.

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete afungua Mkutano wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa jumuiya ya Wazazi ya CCM Bwana Abdallah Majura Bulembo wakiikingia katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam ambapo alifungua mkutano wa Makatibu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM,Mkoa na Wilaya.Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM taifa Abdallah Majura Bulembo akimpa zawadi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa Mkutano wa jumuiya hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo.Rais Dkt.Jakaya Mrisho...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani