Wazazi CCM kuuza sekondari zenye hali mbaya
JUMUIYA ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imetangaza kuziweka sokoni shule zake za sekondari, ambazo ziko katika hali mbaya. Aidha, imesema itashirikiana na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), kwa ajili ya kuziokoa shule nyingine ambazo zinasuasua.
habarileo
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-0ONyBCD4_A0/XlvfirDBYTI/AAAAAAALgPQ/zazNni1QN6ozj5NmQZosa9GYQtKwBnN0ACLcBGAsYHQ/s72-c/MVUAAAAAAAAAAAAAAA%2B%25281%2529.jpg)
11 years ago
Bongo501 Aug
Random Thoughts: Hatuwezi kufanya biashara zingine zaidi ya kuuza t-shirt zenye maandishi ya single tunazotoa?
Unakumbuka kile kipindi kila msanii alikuwa akimiliki duka la nguo? Well, sio kila msanii alikuwa na duka lake lakini ni kweli wengi walianzisha maduka yao. Kwa sasa ni wachache waliobaki katika biashara hiyo kwakuwa wengi maduka yao yaliishia kuwapa stress tu zaidi ya neema waliyokuwa wakitegemea kuipata. Dawa ya biashara isiyokuwa na faida ni kuifunga […]
10 years ago
Bongo508 Dec
Utafiti waitaja Tanzania miongoni mwa nchi zenye watu wenye roho mbaya Afrika!
Kwa mujibu wa ripoti ya World Giving Index 2014, Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye watu wenye roho mbaya barani Afrika. Hiyo ni kwa mujibu wa utafiti uliodhaminiwa na Charities Aid Foundation (CAF) na kufanywa na kampuni ya utafiti ya Gallup na kuhusisha nchi 135 duniani kote. Data hizo zilikusanywa kuanzia mwaka 2013. Tanzania ilikamata […]
10 years ago
Tanzania Daima05 Nov
Ujenzi maabara za Sekondari ni ishara mbaya ya uongozi
SI mara ya kwanza kwako wewe msomaji kusikia kwamba Tanzania kuna ombwe la uongozi. Imesemwa sana na watu wa kada na nyakati tofauti kwa mambo yanavyokwenda katika taifa letu si...
11 years ago
Mwananchi18 May
Hali mbaya Magereza
Wakati idadi ya wafungwa ikizidi kuongezeka nchini, Serikali imesema katika mwaka wa fedha 2014/15 itaendelea kumlisha mfungwa mmoja kwa Sh500 kwa siku.
11 years ago
Mwananchi14 Jun
Ronaldo bado hali mbaya
Cristiano Ronaldo amezua tena wasiwasi kwa mashabiki wa Ureno baada ya jana asubuhi kuonekana akitoka katika hoteli akiwa na barafu katika goti lake la kushoto huku wakijiandaa na mchezo mgumu wa kwanza dhidi ya Ujerumani.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6A05RJELsOAhBobfkALaWCUr9DO0T7XRXJzf70BPUPfEvpzoK7ol4dO4rKTVf28pHqWDAXcQ1Qj0NoFVVf41FCbeMeLQHx*b/jack.jpg?width=650)
MASKINI JACK HALI MBAYA
Stori: Shakoor Jongo
MODO mwenye mvuto Bongo Jacqueline Patrick ‘Jack’, ambaye yuko mahabusu ya Gereza la Qincheng nchini China kwa madai ya kunaswa na madawa ya kulevya nchini humo, anazidi kuteseka, safari hii akidaiwa kukabiliwa na tatizo kubwa la kiafya. Jacqueline Patrick ‘Jack’. Kwa mujibu wa chanzo chetu, Jack anasumbuliwa na ugonjwa wa kukosa hamu ya kula, hali iliyomfanya apoteze uzito wa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sTg6vyO*vvEtnnqOa1lmR*WcbFgzACVw*iasPWc55*Gt3Nr4NYBvIlpFFHIDYmgY0EEEUC0dCdOL01Xg6gXB3tBo4VaCoxNA/bongomuvi.jpg?width=650)
MSANII BONGO MUVI HALI MBAYA
Stori: Musa Mateja
MASKINI! Hali ya kiafya ya msanii wa Komedi Bongo, Ismail Issa Makombe ‘Mapembe’ inazidi kuwa mbaya kutokana na kuugua maradhi ya ini kwa muda mrefu huku ikidaiwa kuwa wasanii wenzake wamemtelekeza. Ismail Issa Makombe 'Mapembe' alivyo sasa. Mapembe ambaye anapiga mzigo katika Kampuni ya Al-Riyam inayozalisha kipindi cha vichekesho cha Vituko Show kinachorushwa kwenye Runinga ya Channel Ten,...
10 years ago
BBCSwahili21 Jan
Hali mbaya ya hewa yaikabili Zambia
Matokeo ya uchaguzi mkuu wa Zambia uliofanyika jana yatatangazwa kama ilivyopangwa awali.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania