Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Random Thoughts: Hatuwezi kufanya biashara zingine zaidi ya kuuza t-shirt zenye maandishi ya single tunazotoa?

Unakumbuka kile kipindi kila msanii alikuwa akimiliki duka la nguo? Well, sio kila msanii alikuwa na duka lake lakini ni kweli wengi walianzisha maduka yao. Kwa sasa ni wachache waliobaki katika biashara hiyo kwakuwa wengi maduka yao yaliishia kuwapa stress tu zaidi ya neema waliyokuwa wakitegemea kuipata. Dawa ya biashara isiyokuwa na faida ni kuifunga […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Rihanna ashinda kesi dhidi ya duka la Uingereza lililokuwa likiuza T-shirt zenye picha yake

Rihanna ameshinda kesi yake dhidi ya duka kubwa la Topshop la nchini Uingereza lililokuwa likiuza T-shirts zenye picha yake. Mahakama ya rufaa ya jijini London imetoa katazo la kuuzwa kwa T-shirts hizo zilizokuwa zikiuzwa bila ridhaa ya Rihanna. Staa huyo aliishtaki kampuni mama ya Topshop, Arcadia kwa kudai fidia ya dola milioni tano mwaka 2013 […]

 

9 years ago

Bongo5

Vitabu ni zaidi ya maandishi by Faraja Nyalandu

11357008_405079516346127_1607457850_n

Kila mwisho wa mwaka huwa ninataja tano bora ya vitabu nilivyosoma mwaka huo. Nimefanya hivyo kwa miaka miwili, unaweza kuona tano bora ya 2013 hapa na hata ya 2014 katika post hii ya Instagram.

11357008_405079516346127_1607457850_n

Kusoma Vitabu ni Tabia

Ninapenda kusoma vitabu, sikumbuki lini nilianza kupenda kusoma vitabu lakini nakumbuka ni tabia niliyokua nayo tokea mtoto. Mama yangu alikuwa mwalimu aliyehakikisha ualimu wake hauishii tu shuleni anapomaliza vipindi bali aliuleta mpaka nyumbani.

Kupe anayefaa

Nikisoma...

 

11 years ago

Habarileo

Wazazi CCM kuuza sekondari zenye hali mbaya

JUMUIYA ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imetangaza kuziweka sokoni shule zake za sekondari, ambazo ziko katika hali mbaya. Aidha, imesema itashirikiana na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), kwa ajili ya kuziokoa shule nyingine ambazo zinasuasua.

 

9 years ago

Mwananchi

Mfano wa biashara zenye mafanikio

Wiki iliyopita tulijadili mbinu za kuepuka matumizi mabaya ya rasilimali fedha. Miongoni mwa mambo niliyoyaorodhesha katika kumsaidia mtu kuepuka matumizi mabaya ya fedha ni kuhakikisha unachonunua ni kile ulichopanga, kununua bidhaa za nyumbani kwa wingi hasa zisizoharibika na weka mkazo katika zile ambazo ni bora.

 

10 years ago

Bongo5

Wasomi wengi hawawezi kufanya biashara, ila wanasaidia biashara nyingi kukua

Unapotazama kwa umakini suala la uchumi na mambo ya biashara utagundua wamiliki wakubwa wa biashara nyingi sio wasomi sana ukilinganisha na walioajiriwa kuendesha hizo biashara. Nilipokuwa nikisoma maelezo ya mtu mmoja alizungumzia kitu fulani cha msingi ambacho kinatukabiri sisi ambao kwa namna moja ama nyingine tunasema ni wasomi lakini hatuwezi kuendesha biashara zetu wenyewe. Kitu […]

 

10 years ago

Bongo5

Kanye asimamisha taxi kupiga picha na paparazzi aliyevaa t-shirt iliyomvutia, t-shirt zanunuliwa kama njugu

Kanye West hana urafiki na paparazzi.. lakini paparazzi mmoja amemvutia rapper huyo. Kanye West akiwa na paparazzi ambaye rapper huyo aliyependa t-shirt yake Akiwa kwenye mitaa ya jiji la New York, Alhamis wiki hii ndani ya taxi, Yeezy aliamua kusimama na kushuka kumpiga picha paparazzi aliyekuwa akimpiga picha kwakuwa alipenda tu t-shirt aliyokuwa amevaa. Kanye: […]

 

10 years ago

Mwananchi

Wapigakura wa Tanzania na biashara ya kuuza kura

Ilani ya chama chochote cha siasa ni ahadi ya matarajio ambayo hupewa mpigakura. Pia, katika aina tatu za wapiga kura wa Tanzania, iliyo bora ni ile ya wanaopiga kura kwa kuridhishwa na ilani ya chama husika.

 

10 years ago

GPL

LUNGI: NIMEFANYA SANA BIASHARA YA KUUZA UNGA

Wiki hii katika kolamu yetu hii tunaye Lungi Maulanga, msanii wa filamu Bongo ambaye pia anafanya biashara. Mwandishi Wetu Hamida Hassan alikutana naye maeneo f’lani jijini Dar na kumbana kwa maswali 10 ambayo aliyajibu kwa umakini wa hali ya juu. Tiririka naye… Mwigizaji wa Bongo Muvi, Lungi Maulanga.  Ijumaa: Hebu tuambie kuhusu maisha yako ya kimapenzi.
Lungi: Nina mpenzi wangu ambaye nampenda sana na...

 

10 years ago

Africanjam.Com

ORODHA YA CLUB 50 ZENYE THAMANI ZAIDI DUNIANI

 Klabu ya Manchester United ya nchini England imetangazwa kuwa klabu yenye thamani kuliko zote duniani kufuatia utafiti uliondeshwa katika kipindi cha miezi 12 iliyopita , utafiti uliohusisha klabu kubwa za soka duniani.

Thamani ya United imeongezeka maradufu kutokana na mikataba kadhaa ya udhamini na biashara ambayo imekuwa ikiingia kila mara chini ya uongozi wa Mkurugenzi wa klabu hiyo Ed Woodward.

        Chini ya uongozi wake thamani ya United imekuwa kubwa hali ambayo imefanya timu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani