LUNGI: NIMEFANYA SANA BIASHARA YA KUUZA UNGA
![](http://api.ning.com:80/files/hMNECPNor99j9ofY0zSy1WURRbS4dJps7HL99DB2dopkfTzglsawAjOduDoXCDBxA*28b3PQe*hs1trgk1lAUyqoAtYzRlYR/Lungi.jpg?width=650)
Wiki hii katika kolamu yetu hii tunaye Lungi Maulanga, msanii wa filamu Bongo ambaye pia anafanya biashara. Mwandishi Wetu Hamida Hassan alikutana naye maeneo f’lani jijini Dar na kumbana kwa maswali 10 ambayo aliyajibu kwa umakini wa hali ya juu. Tiririka naye… Mwigizaji wa Bongo Muvi, Lungi Maulanga.  Ijumaa: Hebu tuambie kuhusu maisha yako ya kimapenzi. Lungi: Nina mpenzi wangu ambaye nampenda sana na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hpMD5afDfdYHvXB5V9zOgTDStMSFtV*h3YpZ7fplnBlSbJbBDxJ1YOOwaXDp-m6NhUQMIfNfPpjZeywP7Zh5Bps*qOC5Ogp*/MAINDA.jpg)
MAINDA NIMEFANYA SANA ANASA, SASA BASI!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YIi6je0KpJMmK-jsJehv5enu9SStPZ4G*0S-aYEH5EkcceM43jDHcC8RIJb*hwFUhNmnYJ4Me29LZaEwcSiZQha2VaeJB*MR/Kinyaiya.jpg)
KINYAIYA AFUNGUKA MADAI YA KUUZA UNGA
10 years ago
Mwananchi10 Jun
Wapigakura wa Tanzania na biashara ya kuuza kura
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-AHtCAqhEx-Y/XvSfh6YnF_I/AAAAAAALvZA/GMhSF9u2y_saCX-gR-Zw2ijpolspJrvagCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200624-WA0041.jpg)
NAMNA BIASHARA YA UTUMWA ILIVYOANZA KWA KUUZA WAFUNGWA IRISH
![](https://1.bp.blogspot.com/-AHtCAqhEx-Y/XvSfh6YnF_I/AAAAAAALvZA/GMhSF9u2y_saCX-gR-Zw2ijpolspJrvagCLcBGAsYHQ/s400/IMG-20200624-WA0041.jpg)
Katika miaka ya 1660 Irishi ilikua kitovu cha biashara ya utumwa na wengi wao waliuzwa katika maeneo ya Antigua na Montserrat na kwa wakati huo asilimia 70 ya watu Montserrat walikuwa watumwa kutoka Irish.
Irish imeandikwa katika historia kwa kuwa kitovu cha biashara ya wanadamu...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-2FiiBRag-jg/Xn7vD8puiZI/AAAAAAALlXI/XYoSohMRpes1jAHh3787DDqgFGhb_DwEQCLcBGAsYHQ/s72-c/10238663-ethanol-pure-concentrated-ethyl-alcohol-in-bottle.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-KPucvek-SBQ/XoJDftBK65I/AAAAAAALloE/XOTv2kKRVcQz8lgeaF2sRSIsLiJlstGVACLcBGAsYHQ/s72-c/a146cae1-59a5-4c64-8e04-3ac8ab04f5fc.jpg)
MKUU WA MKOA WA KIGOMA APIGA MARUFUKU WATOTO KUUZA BIASHARA MAENEO MBALIMBALI
Na Editha Karlo-Michuzi Blog,Kigoma.
MKUU wa mkoa Kigoma Emanuel Maganga amepiga marufuku kwa wanafunzi na watoto kutumika kuuza bidhaa kwenye masoko na maeneo ya biashara na badala yake wazazi watekeleze agizo la serikali la watoto na wanafunzi hao kukaa nyumbani.
Akizungumza leo wakati akifanya Ziara kwenye masoko ya Buzebazeba Ujiji, Mwanga na Kibirizi kukagua utekelezaji wa agizo la serikali kujilinda dhidi ya virus vya Corona alisema kuwa watoto watakaokuwepo wakiuza kwenye masoko wazazi...
10 years ago
Bongo Movies24 Apr
Haya Ndio Madhira Aliyokumbana Nayo Faiza Akiwa ‘Air port’ Kutokana na Kushamili Kwa Biashara ya Unga
“Siku nilivyokua nasafiri katika uwanja wetu nikasimamishwa ktk chumba flani hapo air port kuhojiwa na kupewa onyo juu madawa ya kulevya na nikaambiwa kuwa siku Jack alivyo pita walimpa onyo Kama walilo nipa mim matokeo yake ndio ilikua safari yake ya mwisho ndio akakamatwa.
Na hata nilipo fika safari yangu nikahojiwia hivyo hivyo baada ya kufika HK kwa hivyo inaonekana wazi ambavyo hii biashara imekua kubwa Tanzania maana kila unapo pita wana kushuku na mm huwa inanitokea mara kwa mara na...
11 years ago
Bongo501 Aug
Random Thoughts: Hatuwezi kufanya biashara zingine zaidi ya kuuza t-shirt zenye maandishi ya single tunazotoa?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oJI0y6HlVvTYIRj17r-pkgs69p3EYzIukSbbgFRM8yVcYLoe42uTujiS*WsMCQ14Kzk3vZuUne7ccW0Lb46MBb6XNCpUywQ-/unga.jpg?width=750)