KINYAIYA AFUNGUKA MADAI YA KUUZA UNGA
![](http://api.ning.com:80/files/YIi6je0KpJMmK-jsJehv5enu9SStPZ4G*0S-aYEH5EkcceM43jDHcC8RIJb*hwFUhNmnYJ4Me29LZaEwcSiZQha2VaeJB*MR/Kinyaiya.jpg)
Na Gladness Mallya/Ijumaa BAADA ya tetesi kuzagaa kwamba Mtangazaji wa Clouds TV, Benny Kinyaiya anafanya biashara haramu ya kuuza madawa ya kulevya ‘unga’ ambapo husafiri mara kwa mara kinyemela kwenda Ulaya, mwenyewe amefungukia tuhuma hizo. Mtangazaji wa Clouds TV, Benny Kinyaiya. Akichati na gazeti hili juzi akiwa nchini Uingereza, Benny alisema kuwa anashangazwa na madai hayo kwani hajawahi na wala hafikirii...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FkLMylrJqnVvgbjB9CsruVh-KDufv1lBG9rYylQElyW5tyZIY7S-SVKMSFcXTWxK3V*kGI6B03X-iHLHOdRSBTdjd-VssJX-/2.jpg)
MADAI YA KUBEBA UNGA: RAY C AJISALIMISHA POLISI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hMNECPNor99j9ofY0zSy1WURRbS4dJps7HL99DB2dopkfTzglsawAjOduDoXCDBxA*28b3PQe*hs1trgk1lAUyqoAtYzRlYR/Lungi.jpg?width=650)
LUNGI: NIMEFANYA SANA BIASHARA YA KUUZA UNGA
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/mamalulu.jpg?width=650)
MADAI YA KUUZA NYUMBA, MAMA LULU AWAKA!
5 years ago
Michuzi![](https://img.youtube.com/vi/mCBbLNpePMI/default.jpg)
10 years ago
CloudsFM20 Nov
ALLY KIBA AFUNGUKA MADAI YA KUTOMTUMIA R KELLY KAMA FURSA KWENYE MUZIKI WAKE
Mkali wa ngoma ya Mwana DSM, Ally Kiba kama unakumbuka alishiriki kwenye project ya One 8, ambayo baadhi ya wasanii wakubwa barani Afrika waliteuliwa na kwenda nchini Marekani wakakaa studio moja na msanii wa kimataifa R Kelly, ambaye aliwaandikia ngoma ya Hands Across The World na Wakai Record.
Ndani ya ngoma hiyo kuna sauti za wasanii kama 2face, Ali Kiba, Amani, Navio, JK, Movaizhaleine, Fally Ipupa. Project hiyo ilisimamiwa na Rock Star 4000, na Sony Music.
Sasa zengwe limeibuka hivi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oJI0y6HlVvTYIRj17r-pkgs69p3EYzIukSbbgFRM8yVcYLoe42uTujiS*WsMCQ14Kzk3vZuUne7ccW0Lb46MBb6XNCpUywQ-/unga.jpg?width=750)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/tvqd86maILqaorLoP3BDLhX4nLK9-zb2tLq1T4byGnM7ZWkIbBBokm0lLM0I*k1wAwDrl5M7ZcJWPGz1JQ5FlfImrXOQxq00/5.jpg?width=640)
11 years ago
GPL19 Feb
GLOBAL TV ONLINE ; MTU KATI NA BENNY KINYAIYA
9 years ago
StarTV02 Dec
Mwili waharibika kwa madai ya kuhifadhiwa chini kwa  madai ya uzembe Sekou Toure
Mwili wa kijana aliyekuwa akiishi mitaani jijini Mwanza marehemu Baraka Hamisi hatimaye umezikwa baada ya kukosa hifadhi katika jokofu la maiti kwa takribani siku sita katika Hospitali ya Mkoa wa Mwanza Sekou Toure
Marehemu Bakari Hamisi mwenye umri wa miaka 22 kijana wa mitaani aliyekuwa akijishughulisha na biashara ndogondogo alifariki dunia alipokuwa akipelekwa hospitalini hapo na vijana wenzake wa mitaani kwa ajili ya kupata matibabu.
Awali kabla ya kufikwa na mauti, vijana wenzake wa...