Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MADAI YA KUBEBA UNGA: RAY C AJISALIMISHA POLISI

Stori Na Musa Mateja/Ijumaa Wikienda
BAADA ya kukiri kwa mdomo wake kutumia madawa ya kulevya ‘unga’ na baadaye ‘kustaafu’, madawa hayohayo yamemletea msanii Rehema Chalamila ‘Ray C’ ‘msala’ ambao umemfanya yeye mwenyewe, kwa hiyari yake ajisalimishe polisi. Msanii wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ akiwa Hospitali ya Mwananyamala . Hivi karibuni, Ray C...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KINYAIYA AFUNGUKA MADAI YA KUUZA UNGA

Na Gladness Mallya/Ijumaa
BAADA ya tetesi kuzagaa kwamba Mtangazaji wa Clouds TV, Benny Kinyaiya anafanya biashara haramu ya kuuza madawa ya kulevya ‘unga’ ambapo husafiri mara kwa mara kinyemela kwenda Ulaya, mwenyewe amefungukia tuhuma hizo. Mtangazaji wa Clouds TV, Benny Kinyaiya. Akichati na gazeti hili juzi akiwa nchini Uingereza, Benny alisema kuwa anashangazwa na madai hayo kwani hajawahi na wala hafikirii...

 

11 years ago

GPL

UNGA WAZIDI KUMTESA RAY C

Rehema Chalamila ‘Ray C’ katika pozi. NA MAKONGORO OGING' MSANII mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Rehema Chalamila ‘Ray C’ ambaye aliwahi kuathirika na utumiaji wa ‘unga’, hivi karibuni alitinga ofisi ya kitengo cha kupambana na kudhibiti madawa ya kulevya na kuomba kupatiwa majina, idadi na sehemu walipo watumiaji wa mihadarati hiyo ili aweze kuwasaidia kwa kuwapa somo, kitu...

 

10 years ago

GPL

RAY C AWAPA SOMO LA UNGA KIBA, DIAMOND

Mkongwe kwenye muziki wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’. Stori: Laurent Samatta
SOMO! Mkongwe kwenye muziki wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’, ametoa tahadhari kwa wasanii kutotumia madawa ya kulevya (unga) ndani ya mwaka huu 2015 huku akiwatupia jicho zaidi nyota wanaofanya vizuri kwenye gemu kwa sasa, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Ali Kiba. Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul...

 

10 years ago

GPL

MCHUNGAJI GWAJIMA AJISALIMISHA POLISI

Mchungaji Josephat Gwajima. MCHUNGAJI Kiongozi wa Kanisa la Uzima na Ufufuo, Josephat Gwajima leo amejisalimisha kituo cha polisi kati kuhojiwa juu ya kutoa lugha chafu dhidi ya Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo. Gwajima alirekodiwa kwenye ibada ya kanisa lake Jumapili iliyopita ambapo ‘alimtusi’ Pengo akituhumu kuwa ni msaliti kwani amekwenda kinyume na...

 

10 years ago

StarTV

Mtuhumiwa ajisalimisha Polisi Geita.

Na Salma Mrisho,

Geita.

Waendesha Pikipiki mjini Geita wameizingira ofisi ya Polisi Mkoa baada ya mtu wanayemtuhumu kuhusika kwenye matukio ya wizi na mauaji ya waendesha bodaboda kukimbilia polisi kujisalimisha.

 

Waendesha bodaboda hao ambao wamekaa kwa muda nje ya ofisi hiyo wamefikia maamuzi ya kwenda nyumbani kwa mtuhumiwa ili wachome nyumba yake wakidai mtuhumiwa huyo amekuwa akikamatwa na kuachiwa.

 

Ilikuwa ni majira ya saa tatu asubuhi waendesha wakija mmojammoja nje ya ofisi ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Mgombea Chadema ajisalimisha polisi

Aliyetarajiwa kuwa mgombea wa udiwani wa Kata ya Mtae wilayaniLushoto kupitia Chadema na kutojitokeza kurejesha fomu hatimaye ajisalimisha polisi.

 

11 years ago

Habarileo

Mbunge Lema ajisalimisha Polisi

MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema amejisalimisha Polisi jijini hapa, ingawa amesema hawezi kuhojiwa kwa kuwa wakili wake hayupo. Lema alisema hayo leo jijini hapa wakati akitoka Kituo Kikuu cha Polisi .

 

10 years ago

Mwananchi

Mbowe ajisalimisha polisi, Shughuli zasimama

>Shughuli za kiserikali katika Wizara ya Mambo ya Ndani na ofisi jirani, jana zilisimama kwa siku nzima kutokana na hekaheka zilizoibuka baina ya polisi na wafuasi wa Chadema pale mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe alipojisalimisha polisi.

 

10 years ago

Mwananchi

Gwajima ajisalimisha polisi, atakiwa kwa DC

>Wakati  Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akijisalimisha kwa Jeshi la Polisi, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amemtaka aripoti ofisini kwake keshokutwa kutoa maelezo kuhusiana na tuhuma za kumkashifu kiongozi mwenzake wa dini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani