Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hali mbaya Magereza

Wakati idadi ya wafungwa ikizidi kuongezeka nchini, Serikali imesema katika mwaka wa fedha 2014/15 itaendelea kumlisha mfungwa mmoja kwa Sh500 kwa siku.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MASKINI JACK HALI MBAYA

Stori: Shakoor Jongo
MODO mwenye mvuto Bongo Jacqueline Patrick ‘Jack’, ambaye yuko mahabusu ya Gereza la Qincheng nchini China kwa madai ya kunaswa na madawa ya kulevya nchini humo, anazidi kuteseka, safari hii akidaiwa kukabiliwa na tatizo kubwa la kiafya. Jacqueline Patrick ‘Jack’. Kwa mujibu wa chanzo chetu, Jack anasumbuliwa na ugonjwa wa kukosa hamu ya kula, hali iliyomfanya apoteze uzito wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Ronaldo bado hali mbaya

Cristiano Ronaldo amezua tena wasiwasi kwa mashabiki wa Ureno baada ya jana asubuhi kuonekana akitoka katika hoteli akiwa na barafu katika goti lake la kushoto huku wakijiandaa na mchezo mgumu wa kwanza dhidi ya Ujerumani.

 

9 years ago

StarTV

Watanzania watahadharishwa hali mbaya ya hewa

Mamlaka ya hali ya hewa nchini imewatahadharisha wananchi kuwa mabadiliko ya tabia nchi yanayotokana na uharibifu wa mazingira huenda yakasababisha hali mbaya ya hewa nchini na kukosekana kwa mvua kwa wakati.

Hali hii itasababisha kuwepo kwa hali mbaya ya chakula na ukosefu wa maji kwa muda mrefu katika maeneo kame.

Mkurugenzi wa utafiti wa mamlaka ya hali ya hewa nchini Ladislaus Chang’a amesisitiza kuwa iwapo wananchi hawatoweza kubadilika kitabia huenda nchi ikakumbwa na maafa makubwa...

 

10 years ago

Vijimambo

RIPOTI MAALUM:Muhimbili hali ni mbaya

  Huduma zazidi kuzorota
  Wagonjwa wakosa matumainiHali ya huduma za tiba katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) ni mbaya kutokana na tatizo kubwa la bajeti ya kuwezesha wagonjwa kutibiwa kwa wakati na kupata dawa na vifaa tiba, jambo ambalo hata uongozi wa hospitali hiyo umelithibitisha.

Kukosekana kwa fedha za kutosha za kuendesha hospitali hiyo huku ikielemewa na madeni mengi ya watoa huduma, kumefanya ubora wa huduma za kitabibu zinazotolewa kuwa duni kiasi cha kwamba mgonjwa asiye...

 

11 years ago

BBCSwahili

MSF: Hali mbaya ya kibinadamu CAR

Shirika la misaada la Medecins Sans Frontiers, linasema kuwa ghasia katika Jamuhuri ya Afrika ya Kati, zimekithiri na kufika viwango vya kutisha sana kiasi cha kutia wasiwasi

 

11 years ago

GPL

MSANII BONGO MUVI HALI MBAYA

Stori: Musa Mateja
MASKINI! Hali ya kiafya ya msanii wa Komedi Bongo, Ismail Issa Makombe ‘Mapembe’ inazidi kuwa mbaya kutokana na kuugua maradhi ya ini kwa muda mrefu huku ikidaiwa kuwa wasanii wenzake wamemtelekeza. Ismail Issa Makombe 'Mapembe' alivyo sasa. Mapembe ambaye anapiga mzigo katika Kampuni ya Al-Riyam inayozalisha kipindi cha vichekesho cha Vituko Show kinachorushwa kwenye Runinga ya Channel Ten,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Hali mbaya ya hewa ni kikwazo Ufaransa

Polisi nchini Ufaransa wameeleza kuwa hali mbaya ya hewa itakwamisha zoezi la utafutaji miili ya na hivyo kuchukuwa siku kadhaa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Nyalandu: Ujangili nchini hali mbaya

WAKATI juhudi zikifanyika kupambana na ujangili nchini, Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu amesema hali ni mbaya. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, wakati wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani