Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wazazi waongeza nguvu kampeni za CCM

JUMUIYA ya Wazazi ya CCM imeunda timu ya watu 31 kwa ajili ya kuongeza nguvu katika kampeni za uchaguzi ili kuhakikisha CCM inashinda kwa kishindo katika uchaguzi huo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kampeni za nguvu

Kama nilivyoelezea huko nyuma, niliamua kuchukua likizo bila malipo mwaka 1995 ili kuja kukaa Tanzania kwa zaidi ya miezi sita kufuatilia mambo ya uchaguzi huo mkuu nikiwa hapa nchini.

 

10 years ago

Michuzi

uzinduzi wa kampeni ya awamu ya pili ya wazazi nipendeni

 Mkurugenzi wa Kitengo cha Ubora wa Huduma za Afya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Ali Mohamed Ali (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam, wakati akitoa tamko kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dk. Donan Mmbando katika uzinduzi wa kampeni ya awamu ya pili ya wazazi nipendeni uliofanyika Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Afya ya Uzazi na Mtoto Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Georgina Msemo na Mshauri wa...

 

9 years ago

Vijimambo

KAMPENI ZA CCM ZAPAMBA MOTO,MWIGULU,LOVENESS MAMUYA WASHIRIKI UFUNGUZI WA KAMPENI KISESA-MEATU

Mwigulu Nchemba na Mgombea Ubunge Jimbo la Kisesa-Meatu Ndg.Mpina wakiwasili Uwanja wa Mkutano hii leo wakati wa Ufunguzi wa kampeni katika Jimbo hilo.Mapokezi ya Mgombea Ubunge Jimbo la kisesa wakati wa Mkutano wa kufungua kampeni za Ubunge na Udiwani hii leo.Mwigulu NChemba akisalimiana na Wananchi wa Kisesa hii leo alipokwenda kufanya ufunguzi wa kampeni katika Jimbo hilo.Makada wa chama cha Mapinduzi wakifuatilia Mkutano wa Kufungua Kampeni Jimbo la Kisesa.Kada Mtiifu wa Chama cha...

 

11 years ago

Michuzi

Airtel yasaidia Afya ya Uzazi kupitia kampeni ya Wazazi Nipendeni

 Airtel Tanzania imetangaza kuendelea kushirikiana na M-Heath Tanzania katika Kampeni ya Wazazi nipendeni baada ya kuwa na ushirikiano wa mwaka mmoja wenye mafanikio  makubwa  katika  kuwasaidia kina mama wajawazito na watoto wachanga Akiongea kuhusu mpango huo Meneja huduma kwa jamii Hawa Bayumi alisema”  katika kutambua umuhimu na changamoto zinazoikumba sekta ya Afya ya uzazi, Airtel tumeonelea ni vyema tukashirikia na wenzetu wa M- Health katika kuwawezesha kina mama wajawazito kupata...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wahamasishaji jamii kuongeza nguvu ya kampeni mpya ya uzazi wa mpango Kigoma

E80A5052

Mkurugenzi Mkuu wa shirika la World Lung Foundation Dk.Nguke Mwakatundu (katikati) akizungumza katika mkutano na Waandishi wa habari,waganga wakuu wa wilaya mkoani Kigoma na wahamasishaji jamii kuhusu uzazi wa mpango ikiwa ni sehemu ya  kampeni ya uzazi wa mpango ijulikanayo thamini uhai Jitofautishe.

*Wahamsishaji jamii waliofuzwa watafanya kazi na kampeni ya Thamini Uhai kuhamasisha faida za uzazi wa mpango*

Mkutano na waandishi wa habari mkoani Kigoma umeainisha nafasi muhimu ya...

 

11 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAZAZI YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM (TAIFA) AWAAPISHA WANACHAMA 367 WAPYA WA CCM WILAYA YA NYASA MKOANI RUVUMA


 Mwenyekiti  wa Jumuiya ya wazazi ya Chama Cha mapinduzi CCM (Taifa) Bw. Abdallah  Bulembo aliyevaa taji shingoni akicheza ngoma ya asili katika kijiji cha Kingirikiti Wilaya ya Nyasa wakati wa Ziara yake siku ya jana.  Mwenyekiti  wa Jumuiya ya wazazi ya Chama Cha mapinduzi CCM (Taifa) Bw. Abdallah  Bulembo akiwaapisha wanachama wapya wa  CCM  Kikundi cha akina mama  kikitoa burudani.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA KAMPENI YA AWAMU YA PILI YA WAZAZI NIPENDENI WAFANYIKA DAR ES SALAAM LEO

 Mkurugenzi wa Kitengo cha Ubora wa Huduma za Afya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Ali Mohamed Ali (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati akitoa tamko kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dk. Donan Mmbando katika uzinduzi wa kampeni ya awamu ya pili ya wazazi nipendeni uliofanyika Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Afya ya Uzazi na Mtoto Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Georgina Msemo na Mshauri...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampeni ya ‘Wazazi Nipendeni’ kuzinduliwa rasmi leo viwanja vya Mwembe Yanga jijini Dar

Mshauri wa masuala ya Malaria kutoka Taasisi ya Jhpiego, Jasmin Chadewa (kushoto), akitoa huduma ya kumpa dawa ya vitamini A, mtoto Rahim Simai,  viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam leo asubuhi ikiwa ni utoaji huduma wa elimu ya afya kwa wajawazito na matumizi ya dawa aina ya SP, upimaji wa malaria pamoja na matumizi ya vyandarua kama muendelezo wa huduma za afya ya mama mjamzito na mtoto kuelekea uzinduzi wa awamu ya pili wa Kampeni ya Wazazi Nipendeni utakaofanyika kesho katika...

 

9 years ago

Dewji Blog

CCM kufunga kampeni zake kwa kishindo, Magufuli, Mgombea mwenza na Rais Kikwete kufunga kampeni Mkoani Mwanza

magufuli3

Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwa kwenye gari pamoja na Mgombea mwenza (picha  ya Maktaba yetu wakati wa kampeni zinazoendelea za wagombea hao).

CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania.

Kufunga Kampeni

CCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo.  Kampeni za CCM zitafungwa Kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa mitano. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani