MITAMBO YA DKT. BASHIRU YAANZA KULIPUKA MTWARA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally akiendelea na ziara yake ya siku tatu Mkoani Mtwara, Mbunge wa Tandahimba Ndg. Katan Ahmed Katan amejivua uanachama wa CUF na kujiunga na CCM hapo jana.
Mbunge huyo wa Tandahimba, amejiunga na CCM jana tarehe 21 Februari, 2020 katika mkutano wa ndani uliokuwa ukiendelea katika jimbo la Nanyamba Mtwara vijijini, ambapo amepokelewa na Katibu Mkuu kwa niaba ya wanachama wote wa CCM.
Katibu Mkuu akifafanua kabla ya kumpokea Mbunge huyo,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziDKT. BASHIRU AWASILI MTWARA KWA ZIARA YA KIKAZI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally amewasili Mkoani Mtwara kwa ziara ya siku tatu.
Dkt. Bashiru amewasili asubuhi ya leo tarehe 21 Februari, 2020 uwanja wa ndege wa Mtwara mjini na kupokelewa na mamia ya wanachama, wapenzi na mashabiki wa CCM.
Katibu Mkuu atatembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo katika wilaya za Mtwara Vijijini na Masasi na kuzindua mashina ya wakereketwa wa CCM ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa maagizo ya Halmashauri Kuu ya CCM ya...
11 years ago
MichuziMitambo ya IPTL yaanza kuzalisha megawati 100
UZALISHAJI umeme katika kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) umefikia megawati 100 ambayo ni kiwango cha juu cha uwezo wa mitambo yake, kiwango kilichofikiwa tarehe 15 Juni, huku uongozi wa kampuni hiyo wakiahidi kutekeleza mipango mkakati yake yote ya utanuzi kwa awamu.
Hayo yalibainishwa na Katibu na Mwanasheria Mkuu wa...
10 years ago
GPLOIL MPYA YA MAGARI NA MITAMBO YAANZA KUUZWA NCHINI
5 years ago
MichuziDKT. BASHIRU AFAFANUA UKOMO WA WABUNGE, WAWAKILISHI NA MADIWANI
Pamoja na mambo mengine, akifafanua suala hilo, Katibu Mkuu ameeleza kuwa ni vema Wabunge, Wawakilishi na Madiwani wa CCM wakaachwa waendelee kutekeleza majukumu yao kikatiba ikiwa ni pamoja na kuwa wajumbe wa vikao mbalimbali kwa mujibu wa...
5 years ago
Michuzi15 Feb
DKT. BASHIRU AKERWA NA UBADHIRIFU WA FEDHA MOROGORO VIJIJINI
……………………………………………………………………………………………….
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally ametoa akerwa na ubadhirifu wa fedha katika fidia ya ujenzi wa kituo cha Afya Mikese Morogoro Vijijini.
Dkt. Bashiru amekerwa na ubadhirifu huo kutokana na matumizi mabaya ya fedha, ambapo fidia ya shilingi milioni 300 ya majengo ya zahanati kutoka kampuni ya ujenzi wa reli ya kisasa kujenga jengo moja pekee ukilinganisha na shilingi milioni 380 zilizokuwa zikisimamiwa na Halmashauri kufanikiwa...
5 years ago
CCM Blog24 May
DKT. BASHIRU AKEMEA MATUMIZI MABAYA YA MITANDAO YA KIJAMII
Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally amekemea watu wanaotumia mitandao ya kijamii kupotosha jamii na hata kufikia hatua ya kuzua vifo kwa wengine, kama alivyofanya anayejiita Kigogo2014 katika mtandao wa twitter alipotoa taarifa za uongo za kifo cha Mtendaji wa Jumuiya ya CCM wilayani Rombo.
Ameyasema hayo alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Jengo la CCM mkoa wa Pwani leo tarehe 23 Mei, 2020 akitokea Dar es salaam kuelekea Makao Makuu ya Chama na Serikali...
5 years ago
CCM Blog5 years ago
CCM BlogDKT. BASHIRU ASHIRIKI MAZISHI YA ALIYEKUWA KATIBU MKUU CUF
Mwili wa Marehemu Khalifa ambaye enzi ya uhai wake aliwahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Gando, umeswaliwa katika Msikiti wa Maamur uliopo Upanga jijini Dar es Salaam na kuzikwa katika makaburi ya Kisutu.
Viongozi mbalimbali...
5 years ago
CCM BlogDKT. BASHIRU AHIMIZA HAKI KWA WATENDAJI WA CCM WILAYANI
Dkt. Bashiru ameeleza hayo wakati akifungua semina ya mafunzo kwa makatibu wa CCM ngazi ya wilaya kote nchini na kuonya kuwa miongoni mwa mambo yanayovunja haki ni rushwa na kuwataka makatibu hao kusimamia haki kwa...