Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WENGI WAJIUNGA NA NSSF MAONYESHO YA NANENANE

 Meneja Kiongozi wa Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume akiwaelezea faidaza kujiunga na mfuko huo wakazi wa Mkoa wa Lindi waliofika kwenye banda la NSSF kwenye maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa mkoani humo. Meneja Kiongozi wa Masoko Na Uhusiano Eunice Chiume akiwapa Maelezo ya Faida za kuwa Mwanachama wa NSSF wanachama waliotembelea banda la NSSF mkoani Lindi. Mwanachama wa Hiari, Mrisho Mpoto akilipia michango yake kwenye maonesho ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BANDA LA NSSF LAVUTIA WENGI MAONYESHO YA NANENANE

Meneja wa Mfuko wa PPF Kanda ya Kusini, Ndandavala akipewa maelezo na Ofisa Uhusiano  Muandamizi  Salim Kimaro alipotembelea Banda la NSSF kwenye maonyesho ya Nananane.Afisa Uendeshaji Muandamizi Bi. Kabona Kandoro akitoa Maelezo ya faida mbambali kwa mmoja wa wakazi wa Lindi waliotembelea kwenye banda la NSSF.Mmoja wa watu waliojitokeza katika banda la NSSF wakati wa maonyesho ya Nanenane mkoani Lindi. Wakazi wa Mkoa wa Lindi wakipata maelezo kuhusu mafao yanayotolewa na Shirika la Taifa la...

 

9 years ago

Michuzi

WAKULIMA ZAIDI YA 300 WA MKOA WA MTWARA WAJIUNGA NA NSSF

SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) limeandikisha wakulima wa Korosho zaidi ya 300 mkoani mtwara kwenye kampeni ijulikanayo kama NSSF Kwanza ambayo ilifanyika mahususi ili kuwafikia watu ambao wako kwenye sekta isiyo rasmi.
Kampeni hiyo yenye malengo ya kufikia umma wa Watanzania ambao haujafikiwa na elimu ya Hifadhi ya jamii, Kuwaandikisha kujiunga na NSSF ili kuongeza wigo wa wanachama na pia Kupata mrejesho wa huduma zetu kutoka kwa wanachama wa mfuko.
Imemaliza mkoani Mtwara na...

 

10 years ago

Michuzi

NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA KITAIFA YA NANENANE LINDI

Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) inashiriki kwenye maonesho ya Nananane ambayo Kitaifa yanafanyika kwenye viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.Katika maonesho hayo ambayo yanabebwa na Kauli Mbiu ya Matokeo Makubwa Sasa: Tuchague viongozi bora kwa maendeleo ya  kilimo na ufugaji , NSSF itakuwa ikitoa huduma mbalimbali zikiwemo elimu juu ya scheme zake za Wakulima na Wavuvi, kuandikisha wanachama wapya, kutoa taarifa za michango  na kutoa elimu ya mafao mbalimbali yatolewayo na NSSF kama...

 

11 years ago

Dewji Blog

Pinda afungua maonyesho ya Nanenane Mbeya

PG4A8231

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kitazama mkungu wa Ndizi uliletwa katika maonyesho ya nanenane Mbeya na Bosco Luambano (kulia) wa Kijiji cha Hanga wilayani Namtumbo katika maonyesho yaliyofanyika kwenye viwanja vya John Mwakangale Augost 2, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A8242

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama Mhogo kutoka kijiji cha Itunya wilayani Mpanda katika maonyesho ya nanenane aliyoyafungua jana kwenye viwanja vya John Mwakangale Mbeya.

PG4A8358

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akibeba Boga...

 

10 years ago

Mwananchi

Tuyape maonyesho ya Nanenane mtazamo mpya

Kesho ni kilele cha Sikukuu ya Wakulima, Nanenane ambayo maadhimisho yake kitaifa yanafanyika mkoani Lindi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda afungua maonyesho ya nanenane kitaifa Lindi

IMGS7391

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua maonyesho ya Nanenane  kitaifa  kwenye uwanja wa Ngongo Lindi Agosti 4, 2015.  Kushoto  ni Mkuu wa Mkoa wa lindi, Mwantumu Mahiza na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGS7426

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama mashine ya kunyonyoa kuku wakati alipotembelea banda la kampuni ya ubia kati ya watanzania na wachina ya  Poly Machinery ya Millennium Busibess Park jijijni Dares salaam, baada ya kufungua maonyesho ya...

 

10 years ago

Michuzi

SIKU YA PSPF YAFANA SABASABA WENGI WAJIUNGA NA MFUKO

·         ORIGINAL KOMEDI WAWA KIVUTIO
Siku ya PSPFiliyoandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF ilifana na kuvutia mamia ya wananchi waliotembelea maonesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam yaliyomalizika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.Siku hiyo ni maaluma kwa ajili ya kutoa elimu ya Mfuko wa PSPF kwa umma ili waweze kupata uelewa mpana wa sekta ya Hifadhi ya Jamii hususan bidhaa na huduma zinazotolewa na PSPF, kwa mwaka huu, PSPF ililenga kuhimiza watanzania kujiunga na...

 

11 years ago

Michuzi

MH. PINDA AFUNGA MAONYESHO YA NANENANE KANDA YA ZIWA JIJINI MWANZA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea tuzo ya Kilimo Kwanza kutoka kwa Yusuf Sinare Yusuf ambayo imetolea na Baraza la Taifa la Kueneleza Wakulima (ACT) kwa niaba ya wakulima, wafugaji na wavuvi nchini katika monyesho ya wakulima Nanenane yaliyofanyika kikanda na kufungwa na Waziri Mkuu jijini Mwanza August 8, 2014. Waziri Mkuu, izengo Pinda akitazama batamzinga kwenyebanda la wilaya ya Ukerewe katika maonyesho ya wakulima Nanenane ya kanda ya ziwa yaliyofanyika jijini Mwanza August 8,...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU PINDA AWASILI MWANZA KUFUNGA MAONYESHO YA NANENANE

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mwanza, Dr. Anthony Diallo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza  August 7, 2014  ambako anatarajiwa kuwa  mgeni rasmi katika kilele cha sherehe za wakulima Nanenane mjini Mwanza August 8, 2014.Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi, Evarest Ndikilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula  na Ushirika, Erasto Zambi baada ya kuwasili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani