WAZIRI MKUU PINDA AWASILI MWANZA KUFUNGA MAONYESHO YA NANENANE
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mwanza, Dr. Anthony Diallo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza August 7, 2014 ambako anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha sherehe za wakulima Nanenane mjini Mwanza August 8, 2014.Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi, Evarest Ndikilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Erasto Zambi baada ya kuwasili...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-jNXOK5856h8/U-TVr-pnDCI/AAAAAAAF96k/egiG2tm5l9g/s72-c/unnamed+(73).jpg)
MH. PINDA AFUNGA MAONYESHO YA NANENANE KANDA YA ZIWA JIJINI MWANZA
![](http://3.bp.blogspot.com/-jNXOK5856h8/U-TVr-pnDCI/AAAAAAAF96k/egiG2tm5l9g/s1600/unnamed+(73).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-691VFTxJ90U/U-TVtDO-coI/AAAAAAAF96s/JX6dIPjzVts/s1600/unnamed+(74).jpg)
11 years ago
Dewji Blog08 Aug
Waziri Mkuu afunga Nanenane Mwanza
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama Batamzinga kwenye banda la wilaya ya Ukerewe katika maonyesho ya wakulima Nanenane ya kanda ya ziwa yaliyofanyika jijini Mwanza August 8, 2014 na kufungwa na Waziri Mkuu. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Mwanza , Mhandisi Evarest Ndikilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea tuzo ya Kilimo Kwanza kutoka kwa Yusuf Sinare Yusuf ambayo imetolea na Baraza la Taifa la Kuendeleza Wakulima (ACT) kwa niaba ya wakulima, wafugaji na...
10 years ago
VijimamboWAZIRI MKUU PINDA ALIPOFUNGA MAONESHO YA WAKULIMA NANENANE KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINIâ€
11 years ago
Dewji Blog03 Aug
Pinda afungua maonyesho ya Nanenane Mbeya
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kitazama mkungu wa Ndizi uliletwa katika maonyesho ya nanenane Mbeya na Bosco Luambano (kulia) wa Kijiji cha Hanga wilayani Namtumbo katika maonyesho yaliyofanyika kwenye viwanja vya John Mwakangale Augost 2, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama Mhogo kutoka kijiji cha Itunya wilayani Mpanda katika maonyesho ya nanenane aliyoyafungua jana kwenye viwanja vya John Mwakangale Mbeya.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akibeba Boga...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-YIFxXfdeNDM/VTpjNxuBuPI/AAAAAAAHS-M/wK7buTADjik/s72-c/unnamed%2B(7).jpg)
WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA AWASILI MJINI DODOMA
![](http://2.bp.blogspot.com/-YIFxXfdeNDM/VTpjNxuBuPI/AAAAAAAHS-M/wK7buTADjik/s1600/unnamed%2B(7).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-AyTCU5OQJzM/VTpjONN4VGI/AAAAAAAHS-I/YSffn4W0gd8/s1600/unnamed%2B(8).jpg)
10 years ago
Dewji Blog05 Aug
Pinda afungua maonyesho ya nanenane kitaifa Lindi
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua maonyesho ya Nanenane kitaifa kwenye uwanja wa Ngongo Lindi Agosti 4, 2015. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa lindi, Mwantumu Mahiza na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-FKxT5x-35Hk/U1KiOIH38RI/AAAAAAAFb1I/W08ieLjmBeE/s72-c/unnamed+(27).jpg)
WAZIRI MKUU,MH. PINDA AFUNGA MAONYESHO YA TAASISI ZA MUUNGANO
![](http://4.bp.blogspot.com/-FKxT5x-35Hk/U1KiOIH38RI/AAAAAAAFb1I/W08ieLjmBeE/s1600/unnamed+(27).jpg)
10 years ago
Vijimambo24 Apr
WAZIRI MKUU MHE MIZENGO PINDA AWASILI MKOANI DODOMA
![waz1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/04/waz1.jpg)
![waz2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/04/waz2.jpg)
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU PINDA AWASILI OMAN KWA ZIARA YA KIKAZI