Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MKUU,MH. PINDA AFUNGA MAONYESHO YA TAASISI ZA MUUNGANO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi ya kinyago cha umoja kutoka kwa Naibu Waziri , Ofisi ya Makau wa Rais, Umy Mwalimu baada ya kufunga monyesho ya Taasisi za Muungano kwenye viwanja vya Mnazi Moja jijini dar es salaam Aprili 19, 2014. Kulia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha, Mwiguli Nchemba na kulia kwake Ni Kati Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Florens Turuka. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu)

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Pinda afungua maonyesho ya taasisi za Muungano

PG4A6673

Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi ya kinyago cha umoja kutoka kwa Naibu Waziri , Ofisi ya Makau wa Rais, Umy Mwalimu  baada ya kufunga monyesho ya Taasisi za Muungano kwenye viwanja vya Mnazi Moja jijini dar es salaam Aprili 19, 2014. Kulia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha, Mwiguli Nchemba na kulia kwake Ni Kati Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Florens Turuka. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu)

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AFUNGA MKUTANO WA KUHUSU KUWALINDA TEMBO AFRIKA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Kiongozi wa Shirika la Maendeleo la wa Mataifa (UNDP Adminostrator) na Waziri Mkuu wa zamani wa Newzealand, Helen Clark wakati alipofungua mkutano kuhusu Tembo barani Afrika (The African Elephant Conference) kwenye hoteli ya Hyatt Regency mjini Dar es salaam May 10, 2014.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU PINDA AWASILI MWANZA KUFUNGA MAONYESHO YA NANENANE

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mwanza, Dr. Anthony Diallo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza  August 7, 2014  ambako anatarajiwa kuwa  mgeni rasmi katika kilele cha sherehe za wakulima Nanenane mjini Mwanza August 8, 2014.Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi, Evarest Ndikilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula  na Ushirika, Erasto Zambi baada ya kuwasili...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AFUNGA MAONYESHO YA NANE NANE JIJINI MBEYA LEO

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na wakulima na wananchi wa  mikoa ya Kanda ya Nyanda za juu kusini wakati akifunga maonesho ya sherehe za wakulima Nanenane katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya Agost 8 ,2015b .Picha Jamiimojablog.Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akizungumza katika sherehe hizo za wakulima Nanenaneb Kanda ya Nyanda za juu kusini katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.wananchi na wakulima wa mikoa ya Kanda ya Nyanda za juu kusini wakimsikiliza...

 

10 years ago

Michuzi

HOTUBA YA MHESHIMIWA MIZENGO P. PINDA (MB), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI WA KUHITIMISHA SHUGHULI ZA MKUTANO WA 16 NA 17 WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 29 NOVEMBA, 2014

I:UTANGULIZI                                  a)Masuala ya jumla
Mheshimiwa Spika,1. Leo tunahitimisha shughuli za Mkutano wa Kumi na Sita na Kumi na Saba wa Bunge lako Tukufu.  Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu mwenye wingi wa Rehema kwa kutufikisha salama siku ya leo.
Mheshimiwa Spika,2. Mkutano huu ulijumuisha kujadili kazi kubwa zifuatazo:
Kwanza: Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2015/2016;
Pili:Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi wa Mwaka 2014 [The Tax Administration...

 

11 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Mizengo Pinda atembelea banda la kampuni ya Property International Limited katika maonyesho ya Sabasaba

1w

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Miengo Pinda akiwasili kwenye banda la Kampuni ya Property Itnernational Limited ya jijini Dar es salaam wakati alipotembelea banda hilo Katika maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa (TANTRADE) kwenye viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam, Ili kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na kampuni hiyo inayojihusisha na miradi mikubwa ya upimaji na uuzaji wa viwanja vilivyopimwa kitaalamu maeneo mbalimbali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani